Habari wadau naomba mwenye link ya wimbo fulani wa Bob Rudala/inafrica band unaoitwa Julie ama julieth anisaidie basi.
Ni wimbo fulani ulivuma miaka ile ya mwanzoni mwa 2000...
Asanteni sana
Huwa ni mpenzi wa Games especially Brain Game zinazohusisha Mathematics, Puzzle na Vitu vingine.
Limbo Ni Best Game , Ni game linalohitaji utulivu wa Akili Kuvipita vikwazo vilivyowekwa...
Amani ikae nanyi!
Naombeni jina la huu wimbo:
Kuna wimbo ambao Radio 1 huwa wanautumia kama "background melody" kwenye kipindi chao cha Zilipendwa kile cha Jumapili mchana (nadhani bado kinaanza...
Hii movie sijaiona. Ila kiukweli mimi si mpenzi wa bongo movie na kwa idadi ya movie za bongo nilizoangalia ni nadra sana kufika hata kumi. Hapo nyingi nimelazimishwa kuangalia kwenye mabasi...
Habari!
Kama kichwa cha habari kinavyouliza, mziki huu wa singeli ulikuja kwa kasi ya ajabu na kuna watu walidiriki kusema sasa huu ndo mziki utakaodumu muda mrefu, kwamba ndio aina ya muziki mpya...
Hadithi NINGEJUA 1
Mtunzi Christopher Adamu Kibona
Mahali Iringa, Tanzania
WhatsApp 0752773513/0683376813
Sehemu ya kwanza
"We mtoto embu amka, kulala gani huko mpaka saizi ?". Ilikua ni...
Mwigizaji wa filamu za bongo movie Jacob Steven a.k.a JB amesema filamu yao mpya ya KUMEKUCHA TUNU iliyoigizwa na mastaa wengi akiwpo na JB mwenyew ni ya kipekee tofauti na hizi zingine za bongo...
Utamu ni ngoma ya Dully Imetoka 2012 lakini bwana mmoja huko india ameitolea remix yake 2015 mwenyewe amejieleza kwenye maelezo ya video yake huko youtube video yenyewe hii hapa chini
Lakini...
Unaringa una nini kijuso
vijimeno kaa jini
Punguza kelele.mama kelele
Ni baadhi ya maneno nimeyasikia kwenye huu wimbo
Naombeni jina wakuu la huu wimbo
Ukilinganisha na machanel mangine ambazo ni kongwe hapa tanzania hakuna kama tv-e kwa vitu kama
-graphics zuri..kiasi kwamba hata video mbaya utaiona kali.
- sound ipo vizuri sana ..yaan kama...
Najitokeza kuomba msaada wakupatiwa nyimbo zifuatazo,maana kwamsaada wa google imeshindikana.
Mwenye nazo au ukiwa na mmoja kati ya huo naomba unipatie tafadhali
1. CCM ni ile ile
2...
Mimi ni mmoja ya watu ambao tangu zamani nilikua sipend kabisa kuangalia muvi za kibongo. Kuna ndugu yangu mmoja alinishawishi kwa kuniletea cd kama kumi hivi ila baada ya kuziangalia nimeapa...
Siku za hivi karibuni kumekuwepo na mabishano kati ya sinza na Tabata ni wapi panabamba kwa starehe
Kwa hapo awali wengi wanasema ilikuwa sinza lakini kwa sasa tabata imechukuwa nafasi...
Siku chache tangu Mwanadada Hoyce Temu anyakue taji la Miss Tanzania, mwaka 1999, Emmanuel Nkulila alitoa wimbo wa Tanzania Nzima Hakuna Mrembo kama Wewe. Stori zilizo zagaa...
Ohh, how about a round of applause
Yeah, standing ovation
Oooh ohh yeah, yeah yeah yeah yeah
You look so dumb right now
Standing outside my house
Trying to apologize
You're so ugly when you cry...
Kipindi Bongo movie ipo katika ubora wake, Dar 2 Lagos ndio movie iliyonivutia haswa na kufanya nishawishike kuinunua na inabaki movie pekee ya kibongo kuinunua.
Je wewe ni movie gani kutoka...
SABABU ZILIZONIFANYA NISIANGALIE BONGO MOVIE TENA!!.
1.Wachawi wanakamatwa na Mgambo.
2.Majeruhi na maiti zinabebwa kwa mikono mitupu
3.Jini anavuka barabara anaangalia kulia na kushoto...
[Verse 1]
Mujini Kipenzi, Silani Shilingi baby
Kupendana zamani ndo wanavyosemaga
Wazuri ni wengi, ila uongo mwingi baby
Wakishaviona vya ndani basi wanakumwaga
Ndo maana Ukichelewa dukani, mie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.