Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Nilichojifunza MTVmamaAward2016 jana. Mosi, tujipongeze Watanzania kwa kuanza kujipenyeza kwa wingi katika mashindano makubwa zaidi Kimziki Duniani chini ya MTV. Japo hatukuchukua tunzo yoyote...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakati Watanzania wengi macho na masikio yetu tukiwa tumeyaelekeza kwenye utoaji wa tuzo za MTVMama ambazo zimetolewa Afrika Kusini lakini usiku huo huo wa Oct 22 kuamkia Oct 23 nchini Marekani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Taarifa za ndani zinasema mwanabongofleva kutoka Temeke, aliye tikisa mwishoni mwa miaka ya tisini na mwanzoni mwa miaka ya bongofleva, Haruna Rashid Juma Kahena, alamaarufu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Msaada kwa mwenye ufahamu juu ya kufungua channel kwenye TV aina ya samsung bila kutumia decoder coz inapata local channel kwa kutumia antenna ndogo ya ndani
0 Reactions
0 Replies
638 Views
Leo nimeamka nikitafakari mashairi ya nyimbo hizi na yanayotokea barani kwa sasa. Jamani mwenye nyimbo hizi azisikilize na mwenye akili ataelewa.
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Nianze kwa kuwapa salamu zangu wana jukwaa Pia poleni kwa kilichotokea MTV.. Nianze na uelewa wangu juu ya hip hop,, hizi ni nyimbo zenye tija juu ya uelimishaji na ukombozi wa jamii toka way...
0 Reactions
0 Replies
656 Views
Habari wanajamvi? Sasa nimeamini walinzimia mic maana mpaka Sauti sol hawakuonekana King aliingia kama King wachaa kabisa...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Ebhana eehh sio mbaya kushare na nyinyi wenzangu kama una game yoyote kwene pc au unahitaj bas tusiwe wachoyo kushare Kama unahitaj pc games mm ninazo just contact me na ntakupa freee Mimi nina...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ukizungumzia Uganda,kwa upande wa Mziki hutakosa kuwataja vinara wake kama Joseph Chamellion, Blue3, Navio, Redio na Wezio, na wengine wengi tu Ni kama Tu ukaiongelea Tz usiwataje King...
2 Reactions
9 Replies
6K Views
Nipo nausikiliza huu wimbo siku ya tatu sasa. Kama kwa namna yoyote umekugusa ama unakukumbusha kitu ama kukufunza chochote. Sema kitu tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
905 Views
Salama ulikuwa na kipindi chako cha mkasi kila jumatatu kikiwa kinapendwa na kila rika ila ghafla kimya,tunaomba urudishe mkasi tena tunakosa uhondo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Artist:II Proud a.k.a Mr.II Song:Nimesimama Album: Ndani Ya Bongo(1997) Akili inanituma kusema nasimama asubuhi na mapema, nafungua macho naona ktu ambacho kwangu ni kama kiwingu we polisi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ukizungungumzia historia ya muziki wa Bongo Flava, haiwezi kukamilika bila kulitaja jina la mkongwe Juma Kassim Nature aliyewahi kutamba ngoma kama ‘Jinsi Kijana’, ‘Hili Game’ na zingine kibao...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
closer lyrics Paramount and Skydance Productions are re-teaming to put another movie in development, this one based on Never Go Back. Tom Cruise, who would reprise his role as a former military...
0 Reactions
1 Replies
668 Views
Binafsi nipo njiapanda naomba maoni yako nani zaidi?
1 Reactions
6 Replies
2K Views
About 200 European football games are under investigation in a match-fixing inquiry, German prosecutors have said. At least three of the games were in the Champions League and another 12 were in...
0 Reactions
1 Replies
946 Views
wakubwa habari za mchana .Naitwa Frank niliombaga chuo furan Uganda kinaitwa Cavendish univasity Uganda. kusoma bachelor of science in computer science lakin hata ivyo mm nimuajiliwa serikalini...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Najaribu kucheki movies za Bollywood lakini nashindwa kupata subtitles zake Youtube..
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Samahani wakuu mwenye hili tangazo la TRA kuhusu TIN number lenye lafudhi ya kisukuma naomba alitupie hapa,nimevutiwa nalo sana.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom