Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
raggae ni tofauti na miziki mingine ni mziki ambao hauchuji hata kidogo hasa ukiwasikiliza lucky dube .Dube alikuwa mtaalamu sana wa kinanda sikiliza wimbo .Back to my root vinanda humo...
0 Reactions
6 Replies
10K Views
kuna wimbo kashilikishwa Ali kiba sijui umeimbwa na nani,sijui jina la wimbo ila unapoanza jamaa anasema'anataka aonekane kwenye gazeti auze sura' msaada plz
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Je wajua haswaaa inatakiwa ifanywaje hii blowjob?
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Nafsi ya mtu ni jumba,jba la giza totoro, Tena lenye vingi vyumba,usiyojua zoke kasoro, Waweza kuhisi cha simba, kumbe chumba cha kongoro, Nafsi inabeba mengi, ni siri ya mwenye nayo. Machoni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nyimbo inaitwa 'how long''....daaah jamaa karudi vizuriiiiii sanaaaa...big up kwake maaana tulimis fleva zake mda mrefu sanaaaa....kama kawa Sony music wamesimamia mpango mzima mpaka Davido kapata...
0 Reactions
2 Replies
679 Views
kwa wale wapenzi wa Tv shows {series} za wamarekani...mara ngapi umekuta wakitumia kiswahili japo sentence mbili tatu ivi...daaaaa huwa nasikia raha sana nikikutana na hihi hali...for...
0 Reactions
0 Replies
787 Views
Riwaya: FORGIVENESS OF MAMA! Mwandishi: SEID BIN SALIM SEHEMU YA 06 bora nikose kibarua kwa ajili yako madam, naomba unisubiri hapo nje niende nimwambie nimeacha kazi ili japo tuongozane nipajue...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
I deem it fit for Tanzanian Artiste to come up with a song and/ or a film about Said. What do you think?
0 Reactions
2 Replies
895 Views
Ikiwa na muda mfupi tu chini siku 10 tu hakuna mtu mwenye hamu na Salome,kelele zote kwisha humu.Kabla haijatoka Salome mlikuja na fujo nyingi sana kuwa ile nyimbo na p square kidogo ikifikisha...
1 Reactions
54 Replies
6K Views
0 Reactions
0 Replies
541 Views
Video yake haivutii sana, lakini maneno anachoma mpaka kumoyo!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za usiku wakubwa nilikuwa nahitaji mwenye hii nyimbo ya malebo anitume hapa
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nikiwa kwenye gari niliona video ya wimbo wa hip hop ulionivutia sana. Sijui jina la wimbo wala msanii ila CHORUS yake ametumia wimbo wa PAPA WEMBA na DIAMOND! Msaada kwa anaeujua vizuri ili...
0 Reactions
2 Replies
756 Views
[emoji95][emoji95]New New New Video ya "KIJITI CHA MASELA" by GALLA BWAY @galla_bway ft @chippiippii x Gano produced by @t3 . its now out.....directed by @luiArts via YouTube @tornado_vibez...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
0 Reactions
0 Replies
469 Views
Kunawakati mechi hasa za mpira wa miguu huruzhwa live kupitia jamii forum,hii huwasaidia wenzangu na mimi ambao tunategemea sna sim tanashati. Kitu kinachonipa utata ni mechi nyingi...
0 Reactions
0 Replies
450 Views
Back
Top Bottom