Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Hayaaa, wale mliokuwa mnachochea na kuabudu kaulimbiu ya hainaga ushemeji nyie mnakula tuu. Huu ni ujumbe kwenu, Hahahhaaaa, Hii miziki ni sooo funny #Singeli
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Habarini wakuu, eti kwa Dar es Salaam ni duka gani naweza kupata DVDs za 3D movies?
0 Reactions
8 Replies
909 Views
jaman kuna mwanafunz alpata div3,,25(Civics-D,Kiswahili-D,History-D,Geography-D,Physics-D,Chemistry-D,Biology-C,English-C,Mathematics-F)kapangiwaga PCB,,,lakini huyu alpata...
0 Reactions
0 Replies
457 Views
Naombeni kujua haawa mabinti waliopanda jukwaaani kucheza na Chibbu nani unamfahamu na babake yuko wapi? naona washaharibika, hasa huyo aliyepanda jukwaani wa mwisho namashaka sana.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Sijui ni aina gani ya muziki huu? station kubwa kufululiza kupiga nyimbo hizi badala ya kupiga nyimbo za maana mmeweka vinyimbo vya hovyo anachoimba hakieleweki tunasikia vifilimbi tu hovyo...
2 Reactions
101 Replies
17K Views
Habari wanajamvi? Kwanza naomba niseme mie nimezaliwa na kukulia uswazi mpka nilipoanza maisha ndio nikahamia walau nusu uswazi... Uswahilini kwetu kwa wale wa maeneo ya...
1 Reactions
34 Replies
7K Views
RIWAYA: Jina NA: Frank Masai. SEHEMU YA 2. ENDELEA. Warusha ndege waliingia ndani ya Jet P 112, na kufunga mikanda yao. Na nyuma yao, walikaa Montana na watu wake. Wakashauriwa nao wavae mikanda...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
leo asubuhi wakati wa BP ulipigwa wimbo wa ben paul jikubali, kwenye verse ya kwanza kuna maneno yalifichwa, ikabidi niutafute huo wimbo nisikilize vizuri sehemu gani ni offensive, kwa namna...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Kipekee huwa nakubali ile ya Wagosi wa kaya lile song lao la tax yangu umempa deiwa! Tax yangu umempa deiwaka deoooooo bosi akijua itakuaa kimeoooo! Na ile ya Mandojo na Domo kaya ile sema basi...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Yeah wakuu, been longtime since we did this na ule uzi tulikua tunafanya kushare punchlines (freestyles) design umekua outdated kidogo hence I thought tunaweza create mpya to show some skills...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Saying I love you, Is not u the words, I want to hear from you, It's not that I want you, Not to say but if you only knew, How easy, it would be to show me how you feel, More than words, is...
1 Reactions
5 Replies
676 Views
Star wa bongo flava Alikiba anayefanya vizuri na ngoma yake ya `aje' ,imetangazwa kuwa number #1kwenye playlist ya streaming app iitwayo Deezer's Africa rising playlist ambayo makao makuu yake ni...
3 Reactions
0 Replies
672 Views
SIMULIZI: Jina NA: Frank Masai SEHEMU YA 1. "Ni siku nisizoweza kuzisahau. Ni siku zilizobadili maisha yangu na kuwa maisha mengine katika dunia hii. Siwezi kusahau, na siwezi kuthubutu kusahau...
2 Reactions
2 Replies
6K Views
Heshima mbele wakuu. Naomba msaada jinsi ya kudowload series ya American Odyssey. nasikia ninzuri sana ila nimejaribu torrent site zote nimekosa mwenye ujuzi tafadhali naomba msaada
0 Reactions
2 Replies
857 Views
Mkuu mshana jr nambie maneno hayo wamemaanisha nini?
0 Reactions
0 Replies
37K Views
ukiondo merlin,harrypoter,legend of sicker ni series gani nyingine za kutisha na zenye uchawi
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari wakuu, Nimesikia leo huu wimbo wa bongo fleva, una maneno haya "Tumetoka mbali sana baby, usisikilize maneno..." "Tumetoka mbali sana baby, usisikilize maneno..." "Na-na-na naaa.....na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Napata wapi movie ya akela and the bee kwenye simu yangu
0 Reactions
0 Replies
765 Views
Niki wa pili salute bro, weusi big up. Nimekapenda kanyimbo, katamu sana Icheki hapa. Hataree weekend inaenda namalizia bia yangu ya mwisho hapa.
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom