Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Inaitwa "The Conjuring" Ni Moja Ya Movie Za Kutisha Sana. Kuna Watu Wamesadikika Kufa Wakati Wanaichek Kutokana Na Kutisha Kusiko Kwa Kawaida Ni Story Ya Kweli Iliyo Wahi Kutokea Ulaya. Kutokana...
0 Reactions
0 Replies
745 Views
Swalama wana JF , kwa yoyote anayejua wapi ntaweza pata nyimbo za kichagga ziwe za gospel ama za kitamaduni, kwa ajuaye anipatie link.Sababu nimetafuta kila kona mtandaoni nimekosa.
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Maishani kuna njia nyingi sana za kutoka kama una kipaji. Ila kwa wenzetu huko ameshavuta hela ya kumsukuma siku mbili tatu hivi, hapo bado YOUTUBE, bado live performance sehemu nyingine. Damiyr...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Unahitajika sana wakuu,msaada kwa mwenye nao. Ni hayo tu wakuu.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
RIWAYA: Jina NA: Frank Masai SEHEMU YA 3. ILIPOISHIA. Pale alipoirusha, alijikuta akitumia nguvu nyingi ambazo zilimfanya asogee mbele kidogo ya Frank, na kwa kuwa alimkosa mtu aliyekusudia...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Kuna wimbo unaitwa kuruthumu sijui ni jagwa music ama Omar Omar ndio kaimba ila upo kwenye maadhi ya mnanda flan HIV....naomba mwenye link jins ya kuupata maana u tube nimezunguka sijauona
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Aisee hii video imechefua sana baadhi ya watu lakini ndiyo hivyo, bonge la ngoma balaaa. Kasema mauji ya mtu mweusi siyo HOMICIDE bali ni GENOCIDE; vita dhidi ya madawa ya kulevya ni vita dhidi ya...
2 Reactions
2 Replies
836 Views
[Verse 1] Nataka nitoke kwenye Jamii Forum Niuze sura! Niseme ninatoka na Nifah… Kitandani kwisha na FaizaFoxy Ama Jimena Nilete matata mpaka kwa Heaven sent Kwenye redio zote, mpaka runinga...
9 Reactions
49 Replies
4K Views
Kura yangu imehamia kwa mzaramu, wewe je?
0 Reactions
2 Replies
10K Views
Kila nikiangalia hivi vipindi vya huyu mwanadada huwa nakereka na sauti tuipatayo sisi watazamaji...Yaani sauti ina mwangwi utadhani hicho kipindi anarekodia kwenye hall la kanisa kule ROME,Italy...
0 Reactions
0 Replies
651 Views
Msanii wa bongo fleva GK wa East coast team amekuja na ngoma yake hii inaitwa Mzuri Pesa. Itazame hapa kisha sema chochote
0 Reactions
0 Replies
2K Views
VideoMPYA: King Crazy GK bado yupo.... kaileta hii inaitwa 'mzuri pesa': VideoMPYA: King Crazy GK bado yupo.... kaileta hii inaitwa 'mzuri pesa' - millardayo.com
0 Reactions
0 Replies
978 Views
Wadau Hebu nisaidien majukumu ya huyo mtu maana kwenye official administration systeam sijawahi ona iyo nafasi. Na jamaa kwa nafasi iyo majukumu yake ni yapi? Kwanini wasingesema mkurugenzi wa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Got a good sense of humor?..good to meet you fam. Here we share all the best sitcoms we ever came across, regardless of the time. Without further ado, here are mines(in no specific order).. The...
1 Reactions
2 Replies
666 Views
Vile vi binti kwenye wimbo wa Inde wa Dully na Harmonizer ni vi dancer vya nani?? Natamani kuviona live kwenye stage.!!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu, Azam TV wana kipindi kiitwacho 'Midundo ya Kale' na wanatumia band iitwayo Utalii band katika ukumbi wa Club Infinity. Tokea nikutane na kipindi hiki siku ya Jumamosi na marejeo Jumapili...
2 Reactions
12 Replies
5K Views
Ben Pol Barnaba Boy Their latest songs: Joh Venture (Official Site): Ben Pol - MOYO MASHINE | Mp3 Download [New Song] JOH MUSICTZ: Download | Barnaba - Lover Boy | New [Song Mp3] Kama...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
BEN SWAX ft KALA JEREMIAH KESHA (Official video):
0 Reactions
1 Replies
1K Views
You are the one and only mami And I’m the one man army We sio mnyama ila unyamani maninja wanakuita mwami We ni soldier, I told ya, na sio uongo Nakumbuka zile hustle za Mbeya mpaka Nyamongo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom