Leo hii nguli huyu wa filamu za kuchekesha anatimizamiaka 59 ya kuzaliwa. Ingawa amecheza filamu nyingi lakini ukweli ni kwambawengi hapa nchini walimjua kupitia filamu Sarafina aliyoicheza mwaka...
Sugarhill Gang was one of the pioneer rapping act and their hit single, Rapper's Delight was the first commercial rap song in the world. That is right! I remember where I was back in 1979 when I...
Tukumbushane wasanii wakongwe wa muziki wa kizazi kipya (bongofleva) na nyimbo zilizowatoa, i mean nyimbo zilizofanya watanzania wengi kuwajua.
NB: Wasanii wakongwe namaanisha wa miaka ya 90...
Miezi ikapita, mawiki yakasonga hatimae siku, masaa na dakika zake zikapotea na sasa EFM inayopatikana katika masafa ya 93.7 imesikika hewani kwa majaribio kwa mara ya kwanza.
Redio hii...
Wadau naomba please mwenye wimbo wa MASELE chapombe wenye jina UZA NYUMBA WEKA HESHIMA BAA. Please mwenye nao naomba aniatach hapa either audio au video. Asante kwa msaada
Huwa sielewi kuna nini kwenye music industry ya Bongo as regards to Hip-Hop. Kwanini media inawabania sana promo maemcee wanaofanya hip hop ya ukweli???!! mfano.. jamii kubwa inafahamu zaidi uwepo...
Ni series zinazohusu uhusiano tata wa familia maarufu mji wa Florence ya Medici, Da Vinci na Pope wa Vatican.
Ina base kwenye true history ikiwa imejaa ihalisia na kusisimua.
Hii si ya kukosa !
Wadau wa music wote, mimi huwa napenda kufuatilia vitu kama hivi sana. Hapa nilipo sina TV kwa hiyo ninajaribu kuangalia online stream live. Lakini sijui link niliyoipata ntaenda nayo mpaka wapi...
nyimbo na mashairi yana nafasi kubwa sana katika kulikomboa taifa letu, cha kushagaza wasanii wetu wakisasa wamekuwa wakisifu na kuongelea ngono na pombe wamesahau taifa hili linahitaji...
Baada ya kipindi cha asubuhi cha power breakfast, jamaa akapiga wimbo wa ben pol jikubali. Ilpofikia anapoimba Lady Jay Dee iliminywa hata huwezi kuelewa kwa mgeni wa huu wimbo.
Nawauliza clouds...
Habari za jioni watanzania wenzangu, kutokana na kuwa nimekuwa nikisemwa sana, maneno mengi yasio na tija juu ya hili taji la umiss tanzania 2014,,,mpaka kupelekea nisiwe na amani na uhuru...
Soma zaidi hapa THE INNOVATION HOUSE Miss Tanzania Sitti Mtemvu amejivua taji la Miss Tanzania aliloshinda mwaka huu mjini Dar es Salaam baada ya kuzongwa na mashabiki kuhusu umri wake...
Only 10% of all the information we pick up when talking to someone is conveyed through words. 30% is conveyed through the emotional tone of the other persons voice, and 60% is conveyed through...
Isikie mwenyewe hapo chini. Ni bonge la ngoma, naipa 5 Mic. Big us sana Chid Benz. Ngoma imetulia kuanzia Bit hadi flow. Bongo kuna biti kali kama hizi?
Chid Benz Atoa Wimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.