Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Ingawa kuna msemo kuwa "anayejua anajua tu", ila kwa huyu Underground King toka Sinza napata wasiwasi kama atakuja kuandika line kali kama alizoandika katika wimbo wa Mchizi Wangu Remix. Line...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa aliyeangalia video ya wimbo wa nay wamitego uitwao Mr Nay. Naomba kujuzwa nini mahusiano ya kumfunga yule yule binti na mnyororo shingoni na ujumbe wa ule wimbo? na pili kuna mahusiano gani...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
The Yamoto Band live!! Vs The Skylight Band live!! - At Escape 1 Beach Club from 9.00PM Le Mutuz
3 Reactions
125 Replies
11K Views
..wadau wa hili JUKWAAA napenda kujua MATAMASHA makubwa ya MUZIKI AFRIKA MASHARIKI NA KATI na AFRIKA KWA UJUMLA.. karibuni wote
0 Reactions
0 Replies
1K Views
napenda mziki, na naufuatilia kiasi chake lakini bado sijaelewa hizi NA NA katika nyimbo zina maana gani. Rihann- What's My Name Trey Songz- Nana J Martins- Touchin Body Ianya- Kukere Brackets-...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello, everyone! Nice to meet you all and I am new here. This is our game Last Guardians and it is a action single game. This is a introduction about Last Guardians: The world is submitted by...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Film gani iliyo kukosha zaidi kati za Film za Aki na Ukwa wa Bongo Movies?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau naitafute torrent ya hiyo movie ya Denzel Washington (Mississippi Masala 1992) Kama kuna mtu mwenye clean copy anipe link please. Thanks
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Msaada mahali naweza download movies za wamarekani weusi
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Aries Spears on African Men - YouTube
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi ni kweli kuwa hip hop ni uhuni? hatuwezi kupata mawezo ya kujenga na ya kimapinduzi kutoka kwenye hip hop?. Si mwingine bali ni mama mmoja ambae jina lake haikuwa rahisi kufahamika,alikuwa...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Ni mshabiki mkubwa sana wa muziki wa Curtis James Jackson a.k.a 50 Cents. Nimeanza kufuatilia muziki wake na habari zake toka mwaka 2000. Kama wewe ni mshabiki wa 50 Cents...
0 Reactions
1 Replies
977 Views
Hebu nipe maoni mdau, Demoreel yangu ya Motion Graphics & 3D Animation hii hapa: MOTION GRAPHICS DEMOREEL - YouTube Kama unataka marketing video, Explainer/Promo video, Logo intro, Video intro...
1 Reactions
1 Replies
665 Views
If tomorrow never comes. Pata Burudani. Wameimba watu mbali mbali, ila original yake imeimbwa na Garth Brooks. Kevin Skinner yeye ameimba vizuri pia katika Amerca Got talent. "If...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Ni kati ya ngoma kali mno za jb mpiana http://youtu.be/OaBVjaRL89o
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu naombeni msaada kwa yeyote anayefahamu. wakuu naomba kuuliza kwa mtu anayefahamu TV, RADIO zinazofanya vipindi vya sanaa na utamaduni hapa tanzania
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Top 10 Richest Bollywood Actors in Net Worth Top 10 Richest Bollywood Actors in Net Worth 1. Shahrukh Khan Shahrukh Khan is the richest Bollywood actor in India with a net worth of US$600...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
wadau wa tamthilia za kimexico tv one wana tamthilia moja nzuri mno inaitwa the return"la patrona"kila jumatat hadi ijumaa saa kumi na moja na nusu jioni jamani nzuri nimeikutia kati ila...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari zenu ndugu, mimi huwa nikitafuta wimbo huwa siukosi lakini huu wimbo kwa kweli sijafanikiwa kuupata mpaka sasa. Nimekuja kwenu ambaye anao ninauomba coz ninaupenda sana. Ahsanteni.
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Habari wanajf, leo nilibahatika kuangali EATV kipindi kinaitwa 5 selekt (siyo select). Msanii Queen darleen alikuwa studio anahojiwa, aliulizwa ni msanii gani alimvutia kuingia kwenye muziki...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom