Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Msanii Diamond afunika kwenye fiesta ya Kigoma pamoja na kutokuwepo,ulipigwa wimbo wake shangwe alizopokea zilikuwa balaa wanakigoma hawana ajizi. Kwa upande wa Kiba naye alifanya vizuri japo...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
http://youtu.be/UwgabPD_HnU
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hizii ni Top 7 Za wiki zinazo BANG kwenye radio now Dully Sykes ft Lamar - Togola REFIX Heri Muziki - Nchi Yetu Muziki Wetu Mrap ft Ben Paul - Nikubembeleze Ace Hood ft Rich Homie Quan - We...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naombeni mnisaidie series nzuri ya kuangalia
0 Reactions
94 Replies
53K Views
Soma zaidi hapa THE INNOVATION HOUSE : Tetesi: siti mtevu kuvua taji la miss Tanzania
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana-Jamiiforums, Nilijitolea tangu siku ya Fiesta kuhesabu clouds watapiga mara ngapi nyimbo za Diamond vs za Kiba, mpaka sasa sijasikia wala kuona za Diamond, kwa sasa nipo likizo na niliamua...
9 Reactions
77 Replies
12K Views
Anakaa wapi huyu mwenye nguo ya maji ya bahari? http://www.eastafricantube.com/media/9032/Jahazi_Modern_Taarab_-_Mkuki_Part_2/ Yangu macho
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Saturday, October 25, 2014 ‘Tujuane’ to go regional Popular TV dating reality series ‘Tujuane’ is spreading its wings. Host Malonza Chege has been to Kampala, Uganda, and Dar es Salaam...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ali Kiba 97% Mwana Fa 94% Weusi 91% Mr blue & B.O.B 83% Stamina 71% Diamond Platnumz 65% Ommy Diampoz 62% madee &Tip Top 58% Young Killer 50% Yamoto band 47% Chege &Temba 42%...
2 Reactions
33 Replies
5K Views
Dear Ali Kiba 4real kuwa makini na hawa watu wanaofurahia kuzomewa kwa Diamond.Hawa watu wanaomchukia Diamond leo ni hawa hawa watakuchukia siku ukifika level za Diamond.Kwa zawadi ya sauti ya...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
Wale wasanii bora kabisa waliofunika Jana ,fa na kiba wanakuja kuchafua anga la burudani tena next week . Wimbo umetengenezwa na Dr Marco chali Verse ni za fa na chorus ni ya best vocalist of...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
wakuu have watched movies like, notebook,when harry met sally, keith, love jones and P.S i love you...the truth is these movies are good and heartbreaking. if you cant controll your tears, u may...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani, Kiswahili kinachanja mbuga kimataifa, na ni jukumu letu kukifikisha mbali zaidi. Hawa ni wanafunzi wa Kiswahili waliosoma kwa wiki takribani sita katika chuo Kikuu cha Florida, nchini...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Hasheem Thabeet Aondolewa Pistons: nyota wa kikapu ndani ya NBA mTanzania ametemwa na timu yake mpya Detroit Pistons kutoka jimboni Michigan aliyojiunga nayo siku kadhaa zilizopita.......
0 Reactions
17 Replies
2K Views
MTIFUANO Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 limepita lakini nyuma yake limeacha vita nzito iliyowahusisha mafahari wawili, Nasibu Abdul ' Diamond ' na Ali Kiba huku waandaaji wa tamasha hilo...
0 Reactions
61 Replies
8K Views
Napenda kujinasibu kuwa mi ni moja ya mashabiki wake wa kutupwa tokea udogo wangu, kama shabiki wake nimekuja kujua kuna mambo mengi watu hawafahamu kuanzia ilikuwaje akawa anabadilika rangi...
1 Reactions
208 Replies
36K Views
Nilikuwa nasikiliza wimbo wa 'No Mediocre' wa T.I na nikajiuliza hivi ule wimbo ungetafsiriwa kwa Kiswahili ungechezwa radioni? See this part of the lyrics: All I ---- is bad bitches I don’t...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sisi wanamkoani tunasema sasa fiesta yenu huko huko Dar es salaam, mmetugeuza shamba la bibi. Hivi ni Dar es salaam tu ndio wanaostaili kuletewa wasanii kutoka nje? Kwa ajili ya fiesta. Acheni...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Mimi sio mtaalamu wa muziki. Ila mimi ni mpenzi wa muziki kuanzia zilipendwa, RnB, Bongo Fleva, na hata Bolingo. Nimejaribu kuangalia muziki unavyokwenda naona kama kadri siku zinavyoenda na mziki...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimepokea malalamiko kutoka kwa wadau wengi wa burudani wakidai kuwa hawakuambulia kile alichokuwa akikiongea mwanamziki wa Marekani T.I zaidi ya ile mitusi yake... Wengine wameshaanza kuwaza...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom