Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
http://youtu.be/MKUXvZCCjSg Published on Aug 11, 2014 This is an extract from the skit by the same students. To watch the whole skit (film), go...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimegundua matamasha mengi ya burudani ambayo hufanyika mikoa mbali mbali ya Tanzania hayafanyiki Arusha, kwa mfano fiesta, kili music, nyama choma etc Je wadau wa Arusha ni kwa nini?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu, Sijui nani anajua waliko hawa jamaa? ROY maganga , Ezekiel malongo , Ben Kiko , alex ngusa ,
0 Reactions
2 Replies
967 Views
Kwa wenzangu wana series nafikiri pilika za huyu jamaa mnazitambua ni sheeeeeeeedaaaa
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1-Fid q 2-Nikki mbishi 3-Stereo 4-One the incredible 5-Chindo man 6-Songa 7-Joh makini 8-Bou Nako 9-Young killer 10-P the mc Kwa mtazamo wangu hebu yako 2one
0 Reactions
7 Replies
7K Views
jamani natafuta sana hii tamthilia kila juhudi nazozifanya i endup gettin vipisi vpisi tafadhar msana jaman. Wapo watakaobeza na kukejer but naitafuta sana ni ya wafilipino.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Haya haya wale wazee wa movie za ki spy na intelligensia yule mtaalamu mtuhumiwa(Ex FBI agent)-Most wanted fugitive anayejua mambo mengi kushinda FBI wenyewe Mr Redington akiwa na mwanawe keen...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini hapa Jamvini Kuna Movies za Kihindi zinapatikana miaka ya Karibuni kwa TORRENTS unazipata tena na hivi AIRTEL wameleta OMG baasi ni kupakua tu...with English Subtittles Hii ni List ya...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
hawa madogo wanakuja juu aisee, mkubwa fella naye aonyeshe mabadiliko kwa kuongeza budget kwenye videos zao, bila hivyo watabakia anga hizi tu, cheki video yao hapa chini
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Habari wakuu!! Ki ukweli mimi ni mfuasi sana nyimbo za south africa na kuna Dj mmoja nimemkuta bar moja kinondoni inaitwa Uhuru peak jamaa ni mkali anaitwa Dj willz anagonga ngoma za bondeni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamaniii kwa mtu yoyote aliyoiona hii movie naombeni maoni yenu coz mm nimeiangalia mmh cjui nyie wana jf wenzangu
0 Reactions
1 Replies
833 Views
jamaa wanaimba ila wanaonufaika wengine kwel bongo ni bongoland
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa wale wapenzi wa series za kijasusi,siasa za kimafia, ugaidi na upelelezi wakae mkao wa kula. Huku tukiendelea kuisubiria homeland na kuendelea kuangalia series kali ya Arrow na sasa tukae...
11 Reactions
544 Replies
46K Views
bwana eeh kwa taarifa za uhakika msanii TI kutoka US anatarajiwa kutua bongo ndan ya leaders club tr.18 oct kama we n shabik wa TI nadhan unaelewa namanisha nn ¤no midiocre¤
0 Reactions
2 Replies
727 Views
jamani info za ndani ndio hizo. KK - Khalifa's Kush
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mara nyingi watalii wanaoingia Tanzania wanaimbiwa kibao cha Kenya ambacho ukweli ni kizuri. Kwa kuwa ni wimbo wa kenya basi unakuta tunatoa Kenya penye Kenya tunaweka Tanzania na inakuwa haina...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pegging down the top nightclubs in Europe is a hard one. In part it's difficult to pinpoint which European Nightclub's come out of top because of the sheer number of clubs across the continent...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
YOUNG KILLER bado ni msanii mchanga lakini mambo anayofanya ni makubwa. Kazi zake zimekuwa na ladha tofauti sana na ambacho tumesikia mpaka sasa kutoka kwa wasanii wa Hip Hop hapa nchini. Mfano...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwenye Zouk Rhumba huko Diamond na Ally Kiba hawana mpinzani anayewafuata. Ila kwa RnB basi Jux anatoa upinzani mkubwa kwa Rama Dee kwa sasa. Ametambulisha nyimbo mpya iitwayo sisikii, ni shida...
2 Reactions
25 Replies
6K Views
Tamasha hili litahusisha vikundi vya nndani vya Tanzania,jumla ya vikundi 136 vimethibitisha kushiriki vikiwemo vikundi 5 kutoka nje ya nchi vikundi hvyo ni kutoka norway,german,kenya na bbrazil...
0 Reactions
1 Replies
911 Views
Back
Top Bottom