Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Kuna hili lingoma sijui linaitwaje.......limenisuuza mbayaaa.....Mwenye kuliimba anaitwa Mr Flavor......ni remix....kalipiga Kayanda kwenye top 20 leo Clouds (kwa waliokuwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
King Kiki, Ndala Kasheba, Kabeya Badu, Baziano hao ni baadhi ya wanamuziki waliokuweko kwenye kundi lile la muziki la Fauvette lililoleta nyimbo kama Vivi, Zula, Francisca na nyingine nyingi tamu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kuna wimbo mmoja naupenda sana lakini sina bahati ya kuujua wala kuwa nao!! Ni wa kitambo kidogo nimekuwa nikiusikia kwenye maredio tu, jina lake sijwahi kulijua. Wimbo sijui umeimbwa na nani ila...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
http://youtu.be/6k6tgTROu88 Published on Sep 13, 2014 Flavour (Nigeria) and Victoria Kimani (Kenya) with a fusion of Flavour’s 2013 smashing hit...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Msanii sam wa ukweli akiwa ktk maonyesho yake ktk wilaya ya liwale amekutana na majanga baada ya baunsa aliye kuwa anaangalia usalama getini na kukagua uhalali wa tiketi za kuingilia kupigwa kisu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
BURUDANI KEDEKEDE KATIKA KIJIWE KIPYA HAPA MUZIKI, VICHEKESHO, PICHA:cool2:
0 Reactions
0 Replies
671 Views
Haya promota VICTOR kashikiliwa na polisi, walionunua ticket kuona show yake wamegoma kuondoka hadi warudishiwe pesa na wamerudishiwa. Diamond hakuonekana ukumbi wa la face huko london ambapo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hebu tuambiane juu ya uelewa wa nyimbo hyo kama wewe unafahamu juu ya mafumbo ya nyimbo ile.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Photos Of President Uhuru Kenyatta and Akon At State House September 19, 2014 NEWS No...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Wakuu naombeni mwenye kuijua hii movie ilioneshwa ITV muda mrefu kidog ..nitaisimulia kidogo Iko hivi, kuna baba na familia yake walihamia mexico kama sikosei, alikua na watoto wakiume na wa kike...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TANZANIA KUNA WATANGAZAJI WENGI WA REDIO UKIWASIKILIZA HUWA WANAKUVUTIA NA WAPO WENGINE UKIWASIKILIZA WANAKUBOA KWANGU MIE WANAONIVUTIA WATANGAZAJI HAWA.... 1.arthony joseph....huyu ni wapo...
0 Reactions
122 Replies
26K Views
Habari wadau, mwenye hizi ngoma afanye msaada. 1. Nikki mbishi - feedback 2. Mr 2 - hii ni noma 3. Tanya blount- last time we made love 4. Kwaya Naioth Propheric Singers - angukia mikononi mwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
the real african music is back,,kama hujausikiliza huu wimbo kautafute,,,nimeamin Mziki mtamu wa bongo unadumazwa na presenters,, huu wimbo quality yake ni zaidi ya SKelew,,
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau, Naomba msaada kwa mwenye softcopy ya kitabu hiki Act like a Lady, Think like A man cha Steve Harvey. Natanguliza shukrani. Aliyenacho ani-PM nimpatie email. Asanteni.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ukisikiliza nyimbo nyingi za muziki wa dansi za mwishoni mwa miaka ya tisini na mwanzoni mwa miaka ya 2000, bendi nyingi hasa Twanga pepeta, Mchinga sound, TOT Plus wanamtaja sana huyu Maloni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wale wanaofatilia ile tamthilia ya maya inaendelea stay tune na wamama kuweni makini na kina maya wenu huko majumbani.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
ingia hapaMashaka Kisusi: New Music : Bob Haisa Feat. Bi Shakila - Ngoma Inogile
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Richard Kiel, the 7-foot-2 actor who most famously played the villainous Jaws in two James Bond films starring Roger Moore, The Spy Who Loved Me and Moonraker, and also appeared in Adam Sandler...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wale wapenzi wa ile series maarufu ya sons of anarchy imerudi kwa mara nyingine, sasa hivi wakianza na episode ya 7. Karibuni wakuu
0 Reactions
3 Replies
912 Views
Kwa wale wapenzi wa alternative rock msiache kusikiliza albamu mpya ya Coldplay ikienda kwa jina la GHOST STORIES ambayo imeimba maisha ya kweli ya vocolist Martin!
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom