Habari wana jamvi! Jaman naombeni link ya uzi wa riwaya ya wakili wa moyo... sikumbuki ni nani aliuweka but Nahitaji sana kuupitia... natumaini ntapewa ushirikiano!!!!
Watch "ALMOST I LOSE IT COVER_-Abby Jewel (ABBY JEWEL_OF " on YouTube
ALMOST I LOSE IT COVER_-Abby Jewel (ABBY JEWEL_OF : ALMOST I LOSE IT COVER_-Abby Jewel (ABBY JEWEL_OFFICIAL VIDEO) - YouTube
Hii coincidence imekaaje, fiesta ilienda Musoma siku moja kabla ikatokea ajali kubwa sana iliyogharimu maisha ya watu40, zamu hii wanaenda geita majanga tena, majambazi yakavamia kituo cha polisi...
leo nilikuwa eneo la uyole,mbeya. kulikuwa na ''tamasha'' la ngoma za asili. ngoma hizoma zimenikosha mno. nimeitambua ling'oma tu ambayo kiasili ni ngoma ya wanyakyusa. kutokana na ushamba...
click here Watch "Heri Muziki...Don't Judge me (Cover)" on YouTube
Heri Muziki...Don't Judge me (Cover): Heri Muziki...Don't Judge me (Cover) - YouTube
Ukibonyeza hiyo link utakubaliana na...
Hawa vijana wa yamoto band wana vipaji si mchezo. Nimezisikia nyimbo zao tatu, haina ubishi wapo vizuri. Kinachonivutia zaidi ni vijana wa umri mdogo kama wakiweka juhudi hivi hivi na wasipo...
Ukizungumzia muziki wa karne ya 20 huwezi maliza au kueleweka bila kuwataja Michael jackson na Elvis Presley...Je kati ya hawa wasanii wawili yupi alikuwa zaidi ya mwenzake??
Movie yoyote lazima ipitie hatua tano:
1. Development: Hapa ni hatua ya kwanza: Uvumbuzi wa wazo/kisa, ununuzi wa hakimiliki ya idea, Uandishi wa Script na pia pia lazima ijulikane pesa za...
Wanajamvi,
kwa anayekumbuka muziki wa kina Pepe Kalle na Wenge Musica BCBG nadhani vibao hivi viwili vitamsuza roho, pia Kwa Pepe Kalle anakaribia kutimiza miaka 16 tangu afariki. Sio mbaya...
Wanajamvi,inasikitisha kabisa kuona muziki wa dansi umesahaulika na kusababisha kufa kabisa. Miaka ya 1980 tulikuwa na bendi nyingi na walipiga miziki mizuri yenye ujumbe murua kwa jamii, kama...
Papa likambo likambo oh likambo té
Tovandi na ndako yo okangeli nga elongi
esali ngai pasi esengeli nayeba
nabengi yo na chambre po tosolola
namemi ndé ngambo ehh(x2)
ofingi fingi ngai eh pé...
WanaJF,
Nauliza hivi ule wimbo ni wa dini au?
Nilivyousikia kwa mara ya kwanza nikadhani ni Bony Mwaitege kaja na part-2 ya "Mama ni mama"
kabla ya kugundua kuwa ni sauti laini ya Papa Bello...
Usiku wa Jumamosi Agosti 30, 2014, majira ya saa 10 alfajiri, mwanamuziki nyota wa Bongo Flavor, Nasib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz alijikuta katika hali ya hatari hadi kuokolewa na Polisi...
Rejea kichwa cha habari!
Wako wapi wabongoflavor hawa?
Raha P
Kali P aka Kali popote
Dan McMamo
Ismael
Fatuma (dada wa hard mad)
Pauline Zongo
Pingu - Deso
Dogo Hamidu
Mr Paul
Mika Mwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.