Nitumie muda kidogo kutoa darsa kwa wadau wa tasnia ya filamu hususani Screenwriters, Producers and Directors. Mada ninayotaka kuzungumza ni namna ya utoaji wa Part I and Part II ya movies zetu...
Siku hizi watu hawapendi kufanya kazi wanakua wajinga nakutaka pesa bila kazi
Na huyu alioandika barua ya kumuita at mahakamani nahisi ni chizi
Hivi ukiitwa mahakamani kwa kesi ya madai unaambiwa...
KAMA kuna ujinga wanaoweza kuufanya wasanii wetu hapa nchini, basi ni kuwapoteza mashabiki wao kwa kujaribu kuwagawa kwa misingi ya itikadi za kisiasa n.k.
Pamoja na ukweli kwamba siasa...
Siku kadhaa zilizopita kumekuwa na taarifa kuhusu kufungiwa kwa video ya Nimevurugwa ya Snura,taaarifa hizi alizi-amplify meneja wake Snura Hk akidai kuwa sababu maalum bado hawajazipata...
kwa watembezi wa Kenya hasa jiji la Nairobi ni mashuhuda wa hili, yani kila kona kuna vibanda vinavyouza cd, na dvd za wasanii wa bongo si bongo fleva wala gospel, yani utafikiri uko kariakoo
hv...
Nimestuka kuna wizi mbaya unaofanywa na wasanii hasa wa filamu,utakuta msanii anatoa movie inapart mbili,wakati angeweza kuweka part 1 tu,ila utatizama part one inaishia mtu anaenda kazini kisha...
kutoka gazeti maarufu nchini Kenya ifuatayo ni orodha ya wasani matajiri
1.JAGUAR(KENYA)
2.PREZZO(KENYA)
3.CHAMELEON(UG)
4.BOBI WINE(UG)
5.BEBE COOL(UG)
Tz tuko nyuma
Wadau naomba mtu mwenye kujua sehemu nzuri ambayo mtu unaweza kutoka out na ukafurahi na rafiki zako. Binafsi mimi napendelea kutembelea sehemu ambayo naweza kuogelea katika swimming pool alafu...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,nina shida sana na hii Tamthiliya ya La Revenge iliyotikisa Bongo miaka kadhaa iliyopita,mwenye nayo au kujua jinsi ya kuipakua aniambie.
Hii ngoma mpya ya weusi GERE ni balaa tupu .flow kali ,beat kali ,kiukweli wamekuja kitofauti sana mara ya kwanza kuisikia nilishtuka kidogo lakini baada ya kuisikiliza tena nimewaelewa sana...
Kuna wimbo mmoja wa dansi, wa siku nyingi kidogo, sehemu ya maneno ni "ikiwa majungu ni mtaji yakaufanya utarike, ikiwa majungu ni biashara itakufanya ununuliwe. Ikiwa unaonaelimu ni ghali jaribu...
jamani naomba kujua hivi huu wimbo wa zamani unaoimba "Baba na mama nipeni demokrasia ya mapenzi" uliimbwa na bendi gani na unaitwaje ?natanguliza shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.