Anaitwa Rod Temperton.
Pamoja na Michael Jackson kutoa Album yake iliyokuwa sokoni zaidi ya mwaka mzima, ni wimbo wa huyu jamaa ulikuja kubadilisha POP na MJ akawa King wa Pop duniani. Wengine...
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara amemteua Mheshimiwa Pindi Chana kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Filamu na Michezo ya kuigiza katika kipindi cha miaka mitatu ijayo...
Wakuu wapi naweza kuipata DVD ya hiyo movie kwa maeneo ya Morogoro au Dar es salaam?
Mwenye kufahamu please....hiyo movie mara ya mwisho kuiona ilikuwa mwaka 2001.
Futuhi ya startv nimetokea kukipenda sana hiki kipindi kinafundisha, kinaburudisha sana.
Tofauti na vipindi vingine ambavyo wao huburudisha tu ni kingine hufuata maadili ya kitanzania kuanzia...
MWANAJF;
Fuata hii link na ubarikiwe na wimbo huu wenye ujumbe mkuu sana katika maisha ya mwanadamu wa leo.
Kila la kheri.
Njia ya kalvari (Kurasini SDA choir) - YouTube
Unamkumbuka msanii aliyetamka hivyo ktk wimbo wake?
Huyu ni O-ten kijana aliyekuwa na bifu kali na Afande Sele.
Jamaa kaishiaga wapi? Hizi ni kauli kali zisizojenga ktk maisha!
Kama ulikuwepo...
STAILI, vionjo na mfumo mzima wa muziki umekuwa ukibadilika kila siku kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo hali ya kwenda na wakati.
Mabadiliko haya kwa upande mwingine yamekuwa sababu...
Umofia Kwenu wana JF,
Leo 30.12.2013 katika kipindi cha mkasi mwanadada Salama Jabir atakuwa anafanya interview na Mch. Anthony Lusekelo aka Mzee wa upako kwa mtaokiona mtujuze mambo atakayoongea...
Kwa wasanii wa muziki, Filamu na sanaa nyingine wa Tanzania na kwa wazazi wanaotamani watoto wao wawe wasanii wana mengi ya kujifunzi kwa kuangalia hii Video ambayo ni CNN product (AFRICAN...
Jamani naomba mawazo yenu. Kijana BEKA wa THT ana sauti nzuri na nyimbo zake nzuri sana ila labda hajafahamika. Namlinganisha yeye na Diamond Platnumz kuwa katika level moja ila Diamond mzoefu...
Msaada wana JF, nahitaji download manager,inakua inanisumbua kila nikii download inaniambia file incomplete, msaada kwa mdau anaejua jinsi ya kui download hii kitu, au dowload manager yoyote...
Mi ni mpenzi sana wa movies;uwongo mbaya hasa muvi za kimarekani kutokana na mpangilio wake wa stori kwa ujumla. mf utakuta mtu ka Nicolus Cage anaigiza ka mwalimu(lecturer) yaani jamaa anaitendea...
Mashabiki wa mpira wa miguu hukumbwa na kimuhe muhe wakati mtanange ukiwa unaendelea ambapo mmoja wapo ni kile kitu kinaitwa MIDADI.
Je una kumbukumbu ya tukio lolote la midadi ulilolipataa...
Tumechoshwa na habari na thread za Zitto Kabwe. Lets refresh our mind with these nice congolese songs
Pepe Kalle & Empire Bakuba- Mamie (Papy Tex) 1992 - YouTube
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.