Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
wana ndugu najua wengine watakuja kuuliza bongo satra seach mi najua wakitoka pale wanakuwa wanamuziki wanapata vipaji na ajira zao kuna hawa maisha plus mwishowe mtu anafaidika na nini mbeleni...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
wakuu nimekuwa nikilitafuta hili game kwa muda sasa ila sijalipata. nafanyaje? kama kuna mtu analo ani-PM tufanye mchakato, nashukuru kwa msaada.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
wakuuu naona ni share nanyi series ambazo sita weza kuzisahau or my top 5 .kyle xy .touch .secret circle .chuck .mind your language kama umewahi kuona moja kati ya hizo je wazionaje.....
0 Reactions
1 Replies
823 Views
Mchinga Tamtam Twanga Chuchu sound Extra bongo Tot plus Anaejua site ya kudownload nyimbo za hawa jamaa anijulishe.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
movie ya kwanza (the unspected journey). ilitoka 2012. mwaka 2013 imetoka the desolation of smaug ndo nataka kuanza kuicheki ila kwa kuangalia highlight naona kutakuwa na movie tatu kama lords of...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu wana JF kuna wimbo niliwahi kuusikia miaka ya nyuma kidogo niliupenda ila simkumbuki Msanii wala Jina la Wimbo ila maneno haya yaliimbwa humo: Kama ni watoto, fika kwetu posa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nawap updates tu kwamba tune hio radio uienjoy
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Here are the conquerors from each category: Instrumentalists: Nikita from Ukraine, Lugansk Dance Groups: Stroopers from Philippines, Alilem, Ilocos Sur...
0 Reactions
1 Replies
690 Views
jamaa kajisahau akaweka beat ya ile ngoma ya kumponda dm,badala ya ngoma mpya ya dm na davido
0 Reactions
7 Replies
3K Views
In just three days, “Beyonce” sold more than 617,000 Pitia hapo www.Daily news.com .SASA hichi kitu kimenishangaza sana Mpaka nika Amua kuweka huu Uzi hapa.najiuliza after one month itakuwa kauza...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wana jukwaa habari zenu?kwa wafuatiliaji wa hii series nimefika season.ya nne cjaielewa kabisa.ufafanuzii plz maana mara waonyeshe vitu vilivyopita,mara vijavyo
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Mnapiga sebene kiwango duni halafu mnategemea washiriki wacheze vizuri?Hivi msipoharibu huwa hamjisikii raha?Halafu acheni kucheza wimbo mmoja mnaharibu sana kipindi na halafu kwa nini msiruhusu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Amefariki na umri wa miaka 69 alikuwa akisumbuliwa na matatizo ya Moyo. Ni yule aliyekuwa akiigiza kama mjomba wake na Will Smith. R.I.P.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mi naangalia emmanuel tv now..... Natoa taarifa tu kwa wanaopenda kufuatilia na kubarikiwa kiroho.
2 Reactions
1 Replies
944 Views
Ikiitwa TVT enzi hzo!!!!.....Ulijitokeza Wivu wa Kijinga wa kuona ITV ina Watazamaji wengi....Serikali ikastopisha Tamthiliya ya THE PASSION kulinda tamaduni ya Mtanzania..kiukweli THE PASSION...
0 Reactions
14 Replies
9K Views
Officially yuko china kuwaburudisha watanzania na waafrika wengine walioko china. Ni show tu!nothing less nothing more!
2 Reactions
90 Replies
8K Views
A Florida man who won a contest to watch the final episode of the drama Breaking Bad has been charged with drug possession. Ryan Lee Carroll was arrested for possessing a synthetic narcotic and...
0 Reactions
1 Replies
895 Views
'Fresh Prince' star James Avery dies Heart surgery complications caused death Actor James Avery, who played the beloved Uncle Phil on the hit 1990s sitcom "The Fresh Prince of Bel-Air,"...
1 Reactions
0 Replies
826 Views
Ndugu zanguni, Leo wengi tunajifungia majumbani na familia tukiusubiri mwaka mpya 2014. Mimi hapa nilipo nina debe la ulanzi, bakuli la bagia na jikoni kale kamnyama kanapikwa Mwenzangu huko...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Waungwana ambao washamiliki ving'amuzi vya azam tv, nimesikia kuna stesheni mpya za Itv, Eatv na Star tv wameziongeza tayari. Mwenye kujua jinsi ya kuzi search msaada tafadhari.
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Back
Top Bottom