Nimebahatika kuipitia pitia video zilizopo katka album ya UTAMU WA YESU ya kwake rose muhando hasa hii ya utamu wa yesu,Duh humo nimekutana na mauno na michezo ya hatari mpaka nikajiuliza rose...
mwanamuziki wa kizazi kipya Amani Temba Mh Temba amesema amerudishwa nyuma sana baada ya kuibiwa vifaa vya gari lake aina ya Verros na mikatamba mbalimbali ya kazi na vitu vingine vilivyokuwemo...
Behind Bars
Crime26 Comments
Another chance to see the BAFTA award winning presenter traveling to northern California to visit America's notorious San Quentin State Prison.
Built in 1852, San...
Wengi tunamfahamu mwanamuziki Defao kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, lakini ni wachache tunaofahamu wapi alikotokea kimuziki. Defao alianza kupata umaarufu mwanzoni mwa miaka ya 1980...
Kwa ufupi
1. "2030"
"leo Ridhiwani hafanani na Makongoro", kaskazini bila Tanga ni sawa na msondo bila Ngurumo, kwenye njaa kali kula kuku aliye chinjwa na Padri I love.......Tazama gongo la mboto...
Zaiko Langa Langa wakipiga live katika studio za televisheni nchini Zaire mwaka 1975. Quality ya video hii ni ya hali ya juu sana pamoja na kwamba imerekodiwa karibu miaka 40 iliyopita. Waimbaji...
Ni jumapili nyingine tulivu wanajamvi ndani ya mwaka 2013 ikiwa imetulia wengi wetu tukiwa nyumbani.leo nimeona si vibaya tukirudisha hisia zetu nyuma kwa kukumbuka makumbi ya starehe yaliokuwa...
Wakuu nitapata wapi kitabu cha hadithi "Adili na Nduguze"? Nafikiria kutengeneza filamu yake in 3 to 5 years from now. Nikipata kitabu cha "Kisa cha Hassan-li-Basir" nitafurahi pia. Nilivisoma...
Hello friends!
I search a partner for swap/selling coins of african countries.
I'm a Brazilian coin colletor, and find african coins. I have interest in buy coins, and swap coins.
Have a...
Mi Nakumbuka Kipindi Cha Hongera RTD kilikuwa mida ya mchana wakati ndo narudi shule nikiwa STD 1,2 hivi. Nmechoka jua kali njaa ya kutosha nmechafuka ile mbaya.. Nikifika 2 ndani friji liko wapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.