Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
ukiachilia mbali series kama 24hrs, lost, P/Break, OZ, Merline, n.k....Jamani kuna muvi series inaitwa FRINGE, Nayo ni utamu mtupu....tena kwa wanafunzi wanopenda masomo ya sayansi hapo ndo...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
download ngoma ya mtoto mkali wa masauti ya hatari kutoka ardhi ya vipaji moro.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Leo nilikuwa nacheki Kora awards 2012 on UBC (Uganda) iliyofanyika Abidjan . Ddnt know it still exists, what happened kwa nini TV zetu hazitangazi tena Kora Awards? Nimeona nominees from TZ like...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nitakuwa mchoyo wa fadhira nikikosa kuwapongeza startimes kwa kushirikiana na serikali yetu kutuingiza kwenye zamadigitali. Ombi langu kwenu ni moja tu, jamani boresheni QUALITY ya sauti. There...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Kwa Kupiga Kura Ya Msanii Bora Wa Mwaka 2012 Nenda Jamii Celebrites Kisha Piga Kura Yako Katika THREAD INAYOHUSIKA
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima Kwenu Wakuu! Nahitaji Kujua Hilo Tafadhari Nisaidieni!!
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Video Mpya ya Steve RnB Jambo Jambo Official: kilaDay - Steve RnB Jambo Jambo Video za kilasiku kilaDay
0 Reactions
1 Replies
5K Views
2012 MYRTLE BEACH BLACK BIKE WEEK PT1. - YouTube
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Itakumbukwa kuwa katikati ya mwezi huu wa nane TBC kupitia Star Media Group ( Startime) waliongeza chanel ya Emannuel Tv. Lakini baada ya muda wakaiondoa na kuweka chanel nyingine kitendo...
0 Reactions
86 Replies
12K Views
Wakuu nimesikia juju tu kuwa leo JB MPIANA atakuwa hapa leaders club nauliza amekuja na bend yake yote au ndo kaja tu kuuza sura mwenye habari kamili juu ya ujio huu atujuze hapa jamvini wakuu.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hii ni Video mpya kabisa . Na wewe ni wa kwanza kuiona.
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari wanandugu! Nahitaji kufahamu ni ukumbi gani hapa mjini Dom huwa wanapiga sana Taarab? Maana nimehudhuria kumbi chache sijaona zikipigwa, au huku ni bongo fleva tu? Kama huwa zinapigwa bac...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale ambao tunapenda kuongelea usafiri wa mabasi ya Tanzania, kero tunapokua njiani kwenye mabasi na mabasi ya kisasa na ya zamani hapa tanzania unaweza kujiunga Facebook kwenye page inaitwa...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
MSANII maarufu wa filamu nchini, Sadick Kilowoko ‘Sajuki’, kwa muda mrefu amekuwa akisumbuliwa na matatizo ya kiafya hadi kupelekwa nchini India kwa matibabu. Baada ya matibabu ya muda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau kama kuna mtu anaweza kunipa series zifuatazo Homeland Person of Interest Ntashukuru sana
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni msikilizaji mzuri wa RFA. Nimefika hapa Iringa na kukuta katika masafa yake ya 89.9 haisikiki, nilipowauliza wenyeji wakasema haijawa hewani kwa kama wiki mbili hivi. Nauliza imekuwaje...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Personally cio fan sana wa Bongo-fleva songs cuz rhythms, dynamics na ujumbe wa hawa singers wa Bongo huwa zinajirudia sana thou cio wote. Anyways recently nimecheck video ya Kesho-Diamond,jamaa...
0 Reactions
0 Replies
837 Views
Loads of movies zimekua released ds year, but this is me top 10 ¤ 10.The Amazing spiderman-Its a shocker ila ndo hivo hii imekua #10 cause well graphics zilikua nzuri but i expected something...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanabodi.. Najua tuko kwenye soko huria na bei inapangwa na watoa huduma (japo Serikali haikubali hili).. Lakini kulipa shilingi za kitanzania 128,000 kwa mwezi kwa ajili ya huduma za DSTV ni...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Back
Top Bottom