Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
ITV kuanzia tarehe 25 mwezi huu watarusha tena tamthilia ya Kibrazil iitwayo SHADE OF SIN,kwaujumla wale waliopata kuiangalia ni nzuri sana. Katika tamthilia kuna majina maarufu...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Lady Jaydee ametambulisha rasmi kipindi chake kipya cha tv kitakachoitwa "Diary ya Lady Jay Dee" kitakachorushwa na kituo cha East Africa tv MICHUZI: KIPINDI KIPYA CHA LUNINGA CHA'DIARY YA LADY...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Msanii huyu amefariki leo asubuhi baada ya kujifungua. Mungu alilaze mahali pema peponi. Source: M/kiti wa CCM taifa kupitia TBC/ITV
0 Reactions
8 Replies
3K Views
kuna website gani au wapi naweza kupata kuangalia online au kudownload tamthilia ya La Revancha au the revenge
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WWW.LOADZOOM.COM KAZI KWAKO:bange:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati tuhuma kwamba wasanii wa kike 'wanatumiwa' na watayarishaji wa movie za kwenye kiwanda cha filamu Bongo, ndugu zetu kule Afrika ya Magharibu wamefika huku (soma post hapa chini). Mungu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimevumilia weeeh, yamenifika kooni sasa! You guys wa hiki kipindi mko poa, **** the fact that kipindi chenu ni copy n' paste ya Friday Night Live. Kuna mambo yananikera, mfano Isakwisa kudai...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
What are your best novels? Mine are Sheldon's MASTER OF THE GAME and THE OTHER SIDE OF MIDNIGHT, Mario Puzzo's THE GODFATHER, Jeffrey Archer's A MATTER OF HONOR. Add others.
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Naomba kuuliza, hivi ni kwa nini ma dj wetu wanapenda kupromote vitu vya kijinga kama bongo fleva na kuubatiza kuwa muziki wetu? Kwa sasa karibia kila mmoja hapa Tanzania anajuwa kuwa huu muziki...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii muvi inaitwa CID,ni ya kibongo yani inakatisha sana tamaa hvi inamaana hua hawa jamaa hawaangalii kazi za wenzao wa nje? hadi nikaona aibu kwa maana wenzetu wa nchi zingine wakiona...
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Je ni "BSS" au "RCS" - Rita Cash Search? Kama ni BSS wako wapi hao "mastaa" waliowasearch miaka ya nyuma? Mbona "vijistaa" vyote vinavyotamba nchini havijapitia BSS?
0 Reactions
20 Replies
2K Views
jaman,nisaidieni ni website gani naweza kupata movie ..hasa zile za nje zilizokua composed from novels kama vile ''great expectation'' by charles dickens..msaada please kwa wanaojua
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Konshens - Gal A Bubble [Official Music Video] Feb 2012 - YouTube Sokoni hatumwi mtoto hapo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ameipa jina " VILLA DELPIRLO " likiwa ni jina la mwanae kipenzi ambae siku ya uzinduzi huo ilikua ni birtday yake,huu ni mfano wa kuigwa na wasanii wetu badala ya kubanana kwenye nyumba za kupanga...
2 Reactions
12 Replies
5K Views
Wanajamvi leo ndiyo fainali za BSS 2012, Naona ITV wapo live, karibuni tujazane yanajiri kwa wale walio mbali na TV zao. Mpaka sasa wajaji wote watatu wamekwisha ingia ukumbini. Mshindi katika...
0 Reactions
363 Replies
25K Views
Nimemsikia kasema hongera kwa kuwa top 2...kakosea au ndo kamanisha
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wakuu naomba tujikumbushe tetesi ya mwanajf mwenzetu ambaye alitueleza kuwa mwaka huu anayeshinda ni mwanadada kutoka zanzibar.kweli JF ni zaidi ya habari tumpongeze na tujipongeze wanaJF...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Jumuiya ya watumiaji wa huduma mbalimbali nchini kupitia mitandao ya kijamii ya Facebook na Twitter imezindua rasmi shindano la kusaka kampuni zinazotoa huduma na bidhaa mbovu kwa wateja nchini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MANG'OMA ngoma hii ya Kinyakyusa
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wanajamvi tetesi zilizopo kwa hewa ni kwamba mshindi mtarajiwa wa BSS kwa sasa atatoka zanzibar.wadau mnanaje hili. How these speculations will affect the selected members!
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Back
Top Bottom