Hii imetokea muda huu hapa kigonsera wilayani mbinga.Baada ya mwanafunz mmoja wa kidato cha 3 ambaye alikuwa amesimamishwa masomo kutokana na kupata mimba, kujifungua peke yake polin then kumuua...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma,ACP Frasser Kashai.
Wadaiwa kumtesa, kumpiga, kumdhalilisha hadharani
Wadaiwa kumpasua bandama kwa kitako cha bunduki Mdogo wake naye yuko hoi mahabusu kwa...
....Kuna kijana mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Sospeter Shindika anayesema atazunguka nchi nzima hususani Tanganyika kujionea maendeleo yaliyofikiwa ndani ya miaka 50 kwa kutumia pikipiki...
The folk song " Tanzania Nakupenda Kwa Moyo Wote" was probably the country's unofficial national anthem by its popularity. It was widely embraced then by many mainstream politicians and was often...
nilikuwa mbeya siku moja watu niliokuwa nao wakaanza kujadili juu ya mchungaji mwaisapile eti kuwa wagonjwa wengi walio pata kikombe sasa wanakufa kwa kasi, wakaanza kutaja watu katika mtaa wao...
Ni wakati sasa watanzania tumuombe rais huyu mstaafu afute kauli yake kuwa: "SISI NI KICHWA CHA MWENDAWAZIMU", maana kila mashindano tunaharibu. Yule mzee katulaani!
Ninamshauri Jerry Muro asipokee tuzo ya Mwandishi Bora wa Mwaka 2009 aliyopokwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT) kwa sababu walimhukumu kabla ya hukumu ya Mahakama jambo ambalo ni udhalilishaji...
Akihojiwa katika kipindi cha asubuhi hii kinachorushwa na TBC-Taifa katibu mkuu wa TUCTA, Bw .Nicholaus Mgaya amesema katika kusherehekea miaka 50 ya uhuru, watumishi wa umma wanasherehekea wakiwa...
Jana nimepewa kisa kimoja cha dogo wa Mujini anyejiita KEVIN MKAPA http://www.facebook.com/real.mkapa?ref=fs ON TWITTER http://twitter.com/#!/kevinmkapa/sta...02981513273344 . huyu mtoto ni noma...
Wapendwa wana JF,
Wengi mna uzoefu wa ubora wa haya majenereta madogo ya wachina,nataka kununua moja kwa matumizi ya nyumbani tu,bajeti yangu ni sh.300,000/ niambie brand gani ina unafuu hasa...
Ikiwa watu wote ni sawa, basi tugawane ardhi ya nchi yetu ili kila mtu afe na kipande chake. Kilomita za mraba nchi nzima zinafika 945,087, Ukiamua kuzigawa kwa watu mil 40 kwa mfano. Kila mtu...
MCHUNGAJI Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Ambilikile Masapile Babu Ambi (pichani), anaendelea kusakamwa na wagonjwa wanaodai hawakuponyeshwa na dawa yake, wapo...
Wakuu nimekuwa najiuliza hivi watu ambao ni wakulima wananafasi gani katika nchi hii
Teusi nyingi hata zile za Kisiasa kama uuwaziri , ubunge, Uuu wa mkoa, Uuu wa wilaya , nk wengi wanaopewa...
Leo majira ya saa8 mchana nilimsindikiza my wife alikuwa anasafiri na Fly Emirates....nilimfikisha JNIA(JULIUS NYERERE INT. AIRPORT) Salama salimini...niliendelea kukaa maeneo ya kiwanja mpaka saa...
Hii nimeipenda! Da yaani watoto huko Ntwara sehemu za Tandahimba wako hatarini kuambukizwa virusi vya ukimwi kutokana na mangariba wnaowatahiri kudaiwa kutumia kucha zao kama zana za kutahiria...
Nilipoona mazingira ya kufilisika kwa Sara aliyepewa bajaj na mr President, nilitafakari ya kwamba, kumpa hiyo bajaj bila msaada wa mafuta ya kuiendeshea kumepelekea, duka lake kufilisika.
Msaada...
Nakumbuka mwaka jana mwishoni wakati Shekhe na Mtabiri maarufu nchini na nje ya nchi akisema watakufa watu wengi maarufu mwaka 2011 watu walimwona kama kaishiwa.... Sasa wadau mkiangalia mpaka...
Kwa muda mrefu nimekua nikikerwa na hii tabia ya kulaumu kama sio kulaani wanyama,sizungumzii binadamu.kua ni wakatili kupita maelezo,utasikia mtu anasema fulani anatabia za kanyama,au unyama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.