Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Jana kwenye taarifa ya habari itv, hawa Winlot wamesema kuwa tz ina mazingira mazuri ya kuchezesha bahati na sibu. Nikaenda mbali zaidi na kugundua kuwa wamefanya kautafiti wakagundua kuwa watz...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
panya a.k.a koyo....panya buku, symbils a.k.a ndezi panya na maduduwasha a.k.a viwavi ni chakula cha enzi kwa jamii ya wafipa. Niliwahi tembelea kijiji kimoja kilichopo mpakani mwa zambia na TZ...
1 Reactions
71 Replies
13K Views
Ni bomu tu linasubiri kulipuka kwa sasa
0 Reactions
7 Replies
1K Views
kijana mmoja umri miaka 15 - 17 amenusulika kufa ktk ajari ya gari maaeneo ya isamilo mwanza baada ya kupinduka (kichwa chini miguu juuu) na gari la baba yake alilokuwa ameliiba kwa muda ili apige...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
ni maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani ambapo sherehe hizo zilifanyika katika kijiji cha ihayabuyaga kwa ushirikiano wa kata za kisesa na bukandwe, ambapo kivutio kikubwa kilikuwa ni kikundi cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pesa yote imeishia kwenye miaka 50 ya umasikini,ujinga na wizi. Hivi kwa nini hawakubali nchi imewashinda? At MUHIMBILI NATIONAL DISPENSARY ct scan, x ray, ogd na vipimo vingine vingi havifanya...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Thursday, 01 December 2011 20:42 Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Gratian Mukoba akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam jana , kuhusu mgomo wa walimu nchi nzima...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Sio kwamba hamsikii kila tukiongea kwenye makongamano, migongano ya hoja, vitimoto na maandamano ni kwamba tu mnaziba masikio na hamfikirii kuwa na mipango dhabiti ya maendeleo zaidi mnawaza kula...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sidhani kama watanzania waleo niwazalendo! Uzalendo kwetu nimsamiati mgumu sana kamusi zote sidhani kama zaweza kutoa tafsiri ya uzalendo wa watanzania.Naomba nitoe mifano kuntu mitano halafu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna ajali mbili zimetokea barabara ya Mandela majira ya saa 5 usiku huu, moja maeneo ya Tabata Matumbi, ikijumuisha Semi-Trailer ya DAF na Starlet ndogo ambayo ni taxi, lori limehama njia na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nashukuru kwa hii miaka 50 ya uhuru kwani imeleta baraka ya umeme na mgao wa mara kwa mara umepotea. Kama vipi Tanzania uwe kama wanachuo ambao husogeza birthday zao ili na wao wafanye sherehe na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naipenda sana Tanzania Television.Ina vipindi bomba kweli na vyenye mpangilio.Watangazaji wake(Watumishi wa Serikali na Wakuu wa Chama cha Magamba) ni mahiri mno.Wanaweza kucheza na akili za watu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nigeria wamepitisha Muswaada Unao tambua ndoa za jinsia moja kuwa ni KOSA LA JINAI. Adhabu kifungo Jela Miaka 14. Wale watakao saidia kufanyika kwa ndoa hizo ni JELA miaka 10 Source,Mwanananchi
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mchina mmoja YUXIAN WENG hati ya ukazi RPA O31266 ISSUED DSM 28.7.2O1O amempiga afisa Uhamiaji cpl Mussa Mkubwa Abdallah wa Ilala hadi umepoteza fahamu hadi sasa. Amepelekwa Muhimbili Hospital na...
2 Reactions
81 Replies
7K Views
Nimekutana na mdau mmoja mzito wa Tucta wakiongelea kupanga kuaandaa mgomo mkubwa kutokana na kucheleweshwa mishahara ya wafanyakazi. Mpaka sasa wafanya kazi wengi kwenye halmashauri hawajapata...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jana niliongozana na basi dogo limeandikwa nyuma 'Masana Nursing College' likiwa limebeba akina dada na sare za manesi. Kila kituo cha dala dala walikuwa wakirusha vitu kama pakiti hivi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Patricia Kimelemeta na Aziza Masoud SHIRIKISHO la Wenye Viwanda nchini (CTI) limesema Sh40.5 bilioni zimepotea serikalini na viwandani mwaka huu kutokana na makali ya mgawo wa umeme. Upotevu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je iwapo watu wanakutana na uizi ambao siyo rahisi kuushtaki,ni mikakati ganiambayo vyombo husika vinaweza kupanga kuchukua dhidi ya makampuni husika?Unaibiwa 10,000 katika systeem,na unapiga simu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Pesa imemwagwa ausiri za Jakaya zimefichuka kiasi cha CCM kuamua kuyamaliza kifisadi. Kimsingi,tumenufaika kujua kuwa kumbe Richmond ni wawili yaani Lowassa na Jakaya Kikwetewanaomtumia mwarabu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwanini salary asikue kwani yeye andunje jamani!!!
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom