The UK has more obese women than any other country in Europe, according to European Union figures. Data agency Eurostat, which looked at 19 countries, found nearly a quarter of UK women - 23.9% -...
Katika Gazeti la Mwanahalisi la leo (30 Nov. 2011) kuna makala moja inayozungumzia jinsi taasisi moja iitwayo K.A.I (Khatamul Anbiyaa) ilivyoanzishwa katika Kijiji cha Mtimmoja - Monduli mwaka...
next week nitasafiri kwa Shughuli binafsi kwenda Johannesburg, South Africa. Nitakua hapo kwa wiki moja, natafuta sehemu affordable ya kufikia
shughuli yangu itakua Protea Hotel, Fire & Ice...
Wadau, leo asubuhi nikiwa mtwara stendi kwenye bus la sumry kabla ya safari ya kuja dar kuanza, aliingia ndani ya bus askari (trafiki) mwenye cheo cha koplo akajitambulisha na kuanza kutoa...
Iwe mvua inanyeesaha au hainyeeshi kunanuka,mifereji ya mavi katika soko tegemezi na makazi ya watu je wanaishi watu?na mabwana afya wapo? reporti za kila mwezi zinaaandikwaga?zinaandikwa nini...
Wakuu heshima mbele. Nimeanza mwezi wa kumi na mbili kwa faraja kuu. Kwamba ifikapo tarehe 09 natimiza umri wa miaka 50-sambamba na uhuru wa Tanganyika. Kwa kweli ni safari ndefu sana, na naomba...
Leo nimepokea msg zaidi ya 50 kupitia line yangu ya VODA ,Mojawapo ya msg inasema <KAMPENI ZA VITISHO KWA WAGOMBEA WANAWAKE>
Zingine"WANANCHI WAPENDEKEZA KURUDIWA KWA HOTUBA ZA NYERERE ZIHUSUZO...
Hawa jamaa kwa ukiritimba walio nao sasa kila kitu wanafanya wanavyotaka wao mteja hana kauri, hawamjari mteja kabisa customer care ni zero kabisa, walichonifanyia natamani kutukana lakini ngoja...
Vijana katika kongamano lililoandaliwa na Bavicha wilaya ya Bukoba wamelalamikia kudhalilishwa ndani ya miaka 50 ya Uhuru kwa kutoa zabuni ya kuwamiliki vibarua katika bandari ya Bukoba.
Kwa...
Namnukuu maneno ya waziri Mkuu ndani ya bunge alipo waeleza wabunge kuwa watu wanaosadikiwa kuwa ni mafisadi wana uwezo wa kulitikisa Taifa ,hilo limesibitika katika kikao kilichomalizika juzi...
Kuna mijadala ya chinichini huko Zanzibar kuhusu anavyoonekana bungeni ni sehemu za wazi kwa mama huyu.wengi wanasema hawajawahi kumuona mama wa Kizanzanzibar sio tu baraza la wawakilishi hata...
MBUNGE wa Lindi Mjini, Salum Barwani (CUF) amesema anatekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010/15 kwa kuwa chama chake hakikushinda uchaguzi mkuu wa urais.
Barwani alisema hayo jana...
Mamlaka ya usafirishaj nchi kavu na majini(SUMATRA)imeamua kuyafungia mabasi ya kampuni ya SUMRY,TAQWA,MOHAMED TRANS na MASTER CITY kutokana na kusababisha ajali,adhabu hiyo itaanza nov 19 mwaka...
Nimesoma gazeti la Rai la leo kuna habari kwamba kuna mwanamume mmoja alimpachika mimba binti yake na amejifungua mtoto. Ninajiuliza huyo mtoto anamwita Babu au Baba?
Mm nazungumzia hawa wajasiriamali wauza chips mitaani(take away).hivi hawa jamaa mbona huwa hawajali wateja wageni?
Mfano;unaagiza wa kwanza tena unakuta hakuna mteja hata mmoja,wakati unasubiri...
Mkazi mmoja wa Songea vijijini mkoani Ruvuma amemuua mkewe katika ugomvi wa kugombea shuka la kujifunika lenye upana wa futi moja na nusu. Kamanda wa polisi mkoani humu amethibitisha kutokea kwa...
Habari wanajamii,
Mimi nimefunga ndoa weekend iliyopita yaani jmosi ya November 26, 2011. Katika zawadi nilizopewa zote zilikuwa nzuri lakini zawadi mbili zilinishangaza jinsi zilivyokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.