Katika siku za karibuni niliwahi kuandika juu ya wanasiasa ambao wanatumia wanataaluma wa habari katika kujisafisha na kujipigia debe kwa kuwanunua kwa kiasi kichache cha pesa waandishi na...
Wachezaji wa timu ya taifa stars, wamemtaka waziri mkuu Mizengo Pinda kutimiza ahadi yake ya kuwapatia Sh 10milioni aliyoahidi endapo wangeitoa Chad na kupata tiketi ya makundi ya kombe la dunia...
nilicheka pale nnape nauye aliposema jamani atuko kufukuzana na mbaya zaidi akaenda mbali ati kuvuana magamba sio kufukuzana bali wahusika kurekebisha maisha yao na jinsi walivyo
naona hapo...
Naombeni msaada wadau. Ninasafiri kwenda dodoma nimepanda gari ya Najmunisa inayoelekea Mwanza. Kwa kweli dereva anaendesha basi vibaya. Tumejaribu kumkemea lakini hasikii. Naombeni namba ya...
kuna tetesi zinasema kuwa rostam aziz ndie tajiri namba moja tanzania na wala sio said bakhresa kama watu wanavyojua
kwa sababu ana vyanzo vinavyomuingizia pesa ambavyo kwa siku jamaa ana make...
Wajameni,
Kwa hali tunayoendelea nayo kwa sasa katika nchi yetu inaonekana kuwa Tanzania ina maadui wakubwa wawili wanaodumaza DEMOKRASIA NA KUVIZA UCHUMI NA USTAWI WA TAIFA LETU. Si wengine...
Kuna jamaa yangu anaenda Mwanza kanipigia wametelekezwa kwenye basi hilo liloharibika huko nje ya mji wa Singida. Kondakta na dereva wamekimbia singida mjini. Wamejaribu kuomba msaada polisi bila...
Jamani wanajamvi, habari zenu. Katika hali ya kusikitisha, kuna mtu mmoja hapa Iringa amenusurika kuvunjwa miguu yote miwili na askari waliokuwa wanalinda benki ya NBC jana tarehe 23 November 2011...
Hata hivyo mchukueni mkamsulubu kama nyie mwaona mtakuwa mmetimiza yanayopasa.mie sio mwanachama wa chama chochote na sidhani kama naweza kula rushwa kutoka kwa yeyote. Ila kama baba wa taifa...
Ndugu Waheshimiwa,
Nawapa pole kwa majukumu hasa vikao vya Bunge vinavyoendelea hapo Dodoma. Nimeandika HATARI kwa sababu ni mambo ya muhimu sana nataka kuwaambieni kupitia jukwaa hili:-
1...
Kwa mnaofahamu au pengine mna exposure katika nchi za wenzetu, hivi tunaposema Hotel hii ni ya nyota 5 maana yake ni nini? Mfano nikijenga Hotel yangu sehemu nzuri tu tuseme kwenye prime area...
km mtanzania wa kawaida ambaye nilipata fursa ya elimu nina uwezo mkubwa wa kutatua matatizo na hasa vikwazo vilivyo mbele yangu, CHADEMA km chama kw ufahamu wangu mdogo ina uwezo mara dufu lakini...
Kadiri vikao vya CCM vinavyozidi kuyoyoma, ndivyo wale waliokuwa na mtazamo hasi kuwa mh EL atavuliwa gamba sauti zao nazo zinaanza kufifia. Bila ya shaka nguvu ya upako inaanza kushika kasi...
Hebu kusanya salary slip zako zote za mwaka huu na ujumlishe NET pay yako halafu jiulize upo katika kundi gani kati ya hawa....
1. Watumiaji wa hela vibaya kwa vile tu hakuna wa kukuuliza..... AU...
Katika maisha yako kuna matukio au hali ya maisha mbaya ambayo umewahi kukutana nayo wewe binafsi au kushuhudia kwa jirani, ndugu au nchi yako. Kwa kuwa tunajifunza kutokana na makosa, Je, ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.