Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
palikuwa hapatoshi na inasikitisha sana kwakeli
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Nimechoka na Mikwara Mbuzi ya wanaharakati,kuanzia leo sitaki kusikia wala kusikiliza habari za wanharakati wa Bongo kwakitendo chao cha kufyata mkiaa Wamenimalizia Luku yangu ya bure kwa...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
kuna habari kuwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA itazuia haya madishi yasifanye kazi ifikapo Dec 2012 na badala yake inawataka watu watumie ving'amuzi Naomba mwenye taarifa sahihi atujuze...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tanzania ina rasilimali lukuki ingawa bado tu masikini wakutupwa, tunabembelezwa kwa kuambiwa uchumi wetu unakua kwa kasi ingawa faida haionekani kwa sisi Watanzania wa kipato cha chini tulio...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Yeye analiomba Jeshi la police kuzuia Maandamo,migomo hasa ya vyuo vikuu.ichunguzwe, Source.tbc 1
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wana jf naombeni kuuliza maana ya ku PM na inafanya vipi kazi naombeni msaada
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilikuwa sijaiona hii kama ilishaletwa naombeni radhi kwa usumbufu! kilichotokea hapa chini kwa kweli kimenikera mpaka nilijikuta kwa muda nikiwachukia waandishi wa habari wa kike. Ilikuwa kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Chuo cha mipango dodoma leo kinafanya convocation kwa kuhusisha wataalamu wa mipango kujadili mchango wao katika miaka 50 ya uhuru na mwelekeo wa miaka 50 mbele huku wakizingatia nafasi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wito wangu kwa hawa FFU, wakati wewe unampiga mtoto wa mwenzio hapa Mlimani, askari mwenzako pia anampiga mdogo wako wa Dodoma. Tuwe na ubinadamu jamani, kwani ninyi ni raia wenzetu na tunaishi na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ingawa kuwatimua uanachama magamba Andrew Chenge na Edward Lowassa haitarejesha pesa yetu. Ikifanyika itakuwa angalau ni kuanza kuvurugana kwa wezi kiasi cha kuanza kuelekezeana mitutu na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kuna tetesi zinasema kuwa rostam aziz ndie tajiri namba moja tanzania na wala sio said bakhresa kama watu wanavyojua kwa sababu ana vyanzo vinavyomuingizia pesa ambavyo kwa siku jamaa ana make...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Maoni ya katuni Serikali ilipata kuanzisha mpango wa kurekebisha mfumo wa malipo kwa watumishi wake na mojawapo ya taratibu zilizoanza kutumika ni ule wa kila posho iliyokuwa ikilipwa kukatwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU)nchini, Tim Clarke Umoja wa Ulaya (EU) kwa kushirikiana na Wizara ya Fedha, umezindua mchakato kwa Taasisi na Asasi zisizo za Kiserikali kutuma maombi ya mchanganuo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dar tightens security amid growing Al-Shabaab threat By Correspondent 2nd January 2011 Email Print Comments Tanzania has deployed more security personnel equipped with...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Wadau pole na kazi, naomba kufahamu kuhusu ili. kuna jamaa ana mke wa ndoa na mtoto mmoja.hivi karibuni amebadili tabia na kusema chanzo ni kugundua kuwa mtoto si wake baada ya kupima.cha ajabu...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
AJALI NELSON-MANDELA RD ilivyoripotiwa na IPPMEDIA.COM "The oil tanker lands onto the two saloon cars and kills two people on the spot on Mandela Expressway in Dar es Salaam this afternoon...
0 Reactions
2 Replies
917 Views
Suala la kuandamana nchi nzima Jumamosi hii litakuwa na tija kama usalama wa watu na mali utazingatiwa. Hoja kama tuandamane au tusiandamane ni lazima kuwa makini, ili kufikia malengo...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Nape Nauye na CCM yake wanasema wamemshauri JK akutane na vyama vyote vyenye uwakilishi bungeni.... je watawaomba vyama hivyo waandike barua ya kuomba vyama hivyo vikutane na JK au watafanyaje? Je...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
NAOMBA MSAADA KWA MWENYE UTAALAMU WA KU ACTIVATE WINDOW 7 PROFESSINAL INADAI BADO SIKU TANO TU :lol::lol::lol::lol: :spy::spy:
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wantanzania 29 wakwama Saudi Arabia Kuna watanzania 29 ambao wamekwama baada ya kuachwa na ndege kwa uzembe wa Kiongozi wa msafara wao. Leo hii ninavyoandika habari hii, imekuwa ni siku ya Tatu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom