The "First Grader" seeks Oscar attention
The story of "The First Grader" is a classic underdog tale: an 84-year-old Kenyan man fights to be educated, even if that means attending an elementary...
Dar Es Salaam Julius Nyerere International Airport Guide (DAR)Public Transport Public transport road:
Bus: City buses are easily accessed from the airport, with stops located 500m...
CDA wajiandaa kubomoa maeneo mawili,La kwanza MLIMWA C na MWATANO,
Mpaka sasa wananchi wa mitaa hyo wako fire vby na CDA,KWA taarifa ya kamati ya watu 5 iliyoundwa ili kuonana Na RC wamesema RC...
Serikali mpya ya umoja wa kitaifa nchini Ugiriki imeshinda kura ya kuwa na imani bungeni jana Jumatano.
Waziri mkuu mpya, Lucas Papademos, anaweza sasa kuanza kutekeleza hatua za kubana matumizi...
Wale wanafunzi takribani 44 waliokuwa mahabusu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam jana walipokewa kishujaa na umati wa wanafunzi wenzao waliporejea Chuoni hapo.
Wanafunzi hao ambao walipewa dhamana...
Unaweza hisi ni mama na mwana kiipindi la hasha
hii ni maelezo ya sauti ya waziri wa mambo ya ndan mh shamsi vuai jana akiwa anaongea
na clouds fm akasema ni kweli kuna watanzania wamekamatwa...
Wasalaam wana jf.
Haya mambo ushoga na sera za mkuu David Cameron wengine tulidhani ni utani lakini sasa inaelekea utekelezaji wake usije ukawa hata umeanza hapa tz pia kimya kimya!
Nimeoina hii...
KASHFA POLISI MOROGORO KUWALINDA WAUZA MIHADARATI17/11/2011
0 Comments
Siku chache baada ya Kikosi Maalumu cha Kupambana na Ujambazi mkoani Morogoro 'Anti-Robery', kutuhumiwa kujihusisha na...
Sasa mgao wa umeme umerudi tena! kama bado mlikuwa kwenye mgao , basi umeme huo huo kidogo tulio kuwa tunawagawia mwanzo tunaugawa tena na tena!!
na kwa wale wasio na power stablelizer...
Mwenyekiti wa Taasisi ya MO Ibrahim, Dk. Mohamed Ibrahim, amesema hawezi kuwazawadia marais wezi, wauaji na wanaokiuka haki za binadamu zawadi wakati wa utawala wao, kwa kuwa kufanya hivyo ni sawa...
sina jipya ndugu zangu. nasikilizia tu jinsi nchi yangu inavyonifanyia vizuri. sukari bei chini,mafuta bei chini,kodi za nyumba kwa dola,mpaka nazi na chumvi nazo zimeshuka bei sikuizi. kweli...
Ndo kwanza nimeingia ndani, nafungua TV. kama kawaida ya TBC nakutana na
Bunge. Mbunge mmoja ambaye kwa lafudhi yake nahisi ni Mzanzibar Anasema
"......... Naomba makamu wa pili wa rais arudishe...
kweli hii ni nchi ya mfano na Viongozi wake wana nia ya dhati ktk kuiendeleza nchi yao Kiuchumi,kijamii na kielimu pia,wakati hapa Tanzania sisi tumebaki kuwa ni watu wa kupanga vyema sana lakini...
Jamani leo nilikuwa nimechelewa kufika dar natokea mbeya.kweli kuna tabu shida sana jinsi watu wanavyolala mpaka huluma sikuwah ona.tutunze kipato tukipatacho kwa maisha ya kesho.
Wapiga kura wako hatujauona na wala kuusoma huo muswada wa marekebisho ya katiba.
Tumesikia kuwa ulisomwa mara ya kwanza ukajadiliwa na wananchi halafu ukaenda kubadilishwa lugha na sasa...
hoja ni bumu. wakaenda kumkurupua rais wa chuo atoe maelezo nn sababu ya bumu kuchelewa kwa ajili ya mwaka wa pili? ilikuwa ni saa nne kasoro usiku huu. haya sasa kumbe na mzumbe wanagoma...
Baada ya kuangalia jinsi secret society zinavyotekeleza
New World order angalia mpango mwingine kuhakikisha
lengo linafikiwa utakavyokua na ujue kwamba vitu vinafanyika
sio...
WEDNESDAY, NOVEMBER 16, 2011
WATU watatu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wakiwa silaha
wamemuua kwa kumpiga risasi mwenyekiti wa serikali ya kijiji cha Kisanga kata ya pawanga wilaya ya Iringa...
hapa nipo pande za udsm, ni vurugu tupu, nim,efika na nimekuta wanafunzi wanakimbia huku na huko, nilipo pita karibu na kikundi fulani cha wanafunzi nikasikia wakisema kuna mtu mmoja wa usalama wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.