Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Je, hata hao waliorudisha shilingi bilioni 53, shilingi bilioni 60 ooh! hakuna anayejua kiasi halisi kilichorudishwa maana viongozi ndani ya serikali namba zinawagonga, nao bado wanonekana ni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Diwani huyo anapatikana kwenye moja ya kata za wilaya ya KONDOA anaitwa "Mh Sambala" kama anavyosomeka katika a/c yake facebook, ambapo amepost kwamba anahtaji kujiunga CDM lakini kwa masharti...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ukitaka kukwepa fine kutokana na kosa ulilofanya dhidi ya TRA,POLICE,JWTZ,MGAMBO,MKUU WAKO WA KAZI AU KONDA tumia maneno haya Samahani mkuu Samahani boss Tusaidiane mkuu au boss Tuangalie...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanajamii siku zote ukombozi unaanza na watu wachache wenye nia thabiti. Si kawaida umma wote kuamka mara moja na kudai ukombozi. Nimefikiria hili vuguvugu la ukombozi linaloanza taratibu linaweza...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Lile sakata la vurugu baina ya polisi na wanachuo wa Tumaini Makumira hatimaye limepata ufumbuzi baada ya Serikali kupitia kampuni ya ROCK TRONIC LTD kukubali kujenga matuta na kazi imeanza leo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndg zangu wana Jf nimekuwa nikitafakari vurugu zinazotokea kati ya jeshi la polisi na wanainchi kila panapokuwa na ama maandamano au mpango wa maandamano kwa kile kinachoitwa kufikisha ujumbe...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Kulitikea mlipuko mkubwa kwenye mitambo ya umeme ubungo ambao umepelekea umeme kukatika maeneo mbalimbali ya nchi, sijui kunajitihada gani zinafanyika ili kurudisha umeme huu maana mlipuko huo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hii haihusini na thread ta Viwanja . Maswali na mambo mengi ambayo mlitaka kuyajua juu ya NSSF kaelezea juu ya : UMEME PROGRESS DARAJA LA KIGAMBONI MICHANGO AMBAYO INAKUSANYA SASA HIVI INVESTMENTS...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Wananchi wote wa Rorya hasa maeneo ya Shirati bila kujali Itikadi, Dini, Kabila wala Rangi tutafanya maandamano makubwa Alhamisi tarehe 17.11.2011 kuanzia saa 2:00 asubuhi. Maandamano hayo...
1 Reactions
64 Replies
7K Views
Kila mwaka huwa kuna Mkesha mkubwa wa Maombi kuukaribisha Mwaka mpya pale uwanja wa Uhuru Dar. Kwa wanaojua watuhabarishe mipango ya mwaka huu maana kuna tetesi kuwa unaweza kufanyika kwenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tbc 1 wanamatatizo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nipo hapa kituo cha polisi, kitu kinachoendelea jambazi mmoja aliyesadikiwa kuwa na silaha katika begi amepigwa na polisi hadi kufariki na kupelekwa mawenzi hospital. Kisa: coaster inayofanya...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
WanaJf ni iringa hapa mitaa ya frelimo watu wamejazana sana kwenye nyumba ya mama mmoja wanadai kuna misukule imekutwa amefungia kwenye moja ya chumba katika nyumba yake,inasemekana wananchi...
0 Reactions
73 Replies
12K Views
BilaShaka kila mmojawetu anayeitakia mema nchi yetu ambaye hana chembe ya Ubaguzi.Mh Raisi aliposema anaridhia Tanzania si Kurekebisha KATIBA bali Kutengeneza KATIBA MPYA alifurahishwa na kauli...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Tells patients that they are under no risk Permanent Secretary of the Ministry Blandina Nyoni The Ministry of Health and Social Welfare has admitted that two of the five essential drugs...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kusema la ukweli huwa wakati mwingine nakaa na kutafakari ni jinsi gani mtu unaweza kuingia pale ikulu na kumwambia yule bwana mkubwa Rais kwamba hali huku mtaani imekuwa ngumu na tunataka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ugandan traders blockaded several streets in the capital on Tuesday to protest at lengthening power blackouts they say are crippling businesses around the country, witnesses and police said...
0 Reactions
0 Replies
767 Views
wadau nimekuwa nikijiuliza maswali mengi juu ya namna vyombo vyetu vya habari vinavyofanya kazi zake hususani luninga/TVs. sote tunajua mmiliki wa vyombo/chombo cha habari ana athari kubwa namna...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Napatwa na wasiwasi na kila kukicha nakubaliana na wadau waliosema makinda kawekwa kukidhi matakwa ya watu, ameshindwa kwa njia zote kuliongoza bunge, sidhani kama ana uelewa ni wakati gani mbunge...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
naamini wabunge waliokuwa bungeni leo, hata wasingeenda. Hakuna walichofanya zaidi ya kupiga vijembe WANAHARAKATI. Sijui ndo mswada wa leo........! Tusubiri mwisho wao utakuaje!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom