Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Jamani hebu wekeni tbc sasa 22:45 naona nyimbo kibaoo za uhuru.why?si walisema hawana hela?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama Tanzania ni ya 13 kiuchumi kwa Africa na maisha ndo hivi navyo yaona, how about the rest 33 Countries?? Wanatumia vipimo gani? Labda kama kuna wachumi humu ndani ningeomba msaada. Fuata link...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Uhasama wa kisiasa umezidi
0 Reactions
0 Replies
955 Views
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dk. Wilbroad Slaa na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu wakiwa kizimbani leo jijini Arusha. Woinde Shizza wa Globu ya Jamii, Arusha Katibu Mkuu wa CHADEMA Dk...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nimekuwa nikisikia malalamiko ya muda mrefu kutoka kwa wateja wao ila baadaye nami yalinikuta. tatizo la flight delay, bei isiyotabirika, kukosa nafasi ukiwa na ticket mkononi, poor customer care...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Daktari wa MJ atiwa hatiani Send to a friend Tuesday, 08 November 2011 21:44 0digg LOS ANGELES, Marekani DAKTARI wa Michael Jackson...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tunaiomba Idara inayohusika kutupa maelezo yakina juu ya wabunge wetu wanaotibiwa nje kuhusiana na hali zao za kiafya!Aiingii akilini kuona mumekaa kimya wakati wale ni wabunge wanawakilisha watu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu salam. Napenda kujua habari za usiku wa leo (Taarifa za Habari za saa 2) nini kimejiri? Maana huku kwetu Ngeleja kaleta mgao wa giza muda huu. Nawasilisha
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jamani huku kwetu tunanunua petrol bukumbili jero halafu hakuna yanihaipatikani do hii sasa noma cement sasa ipo 20000 tutafika mbozi mbeya
0 Reactions
3 Replies
965 Views
Italian Prime Minister Silvio Berlusconi faces continued uncertainty Tuesday after parliament passed a key budget vote, but he lost his parliamentary majority. He is now meeting with President...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Askofu Zacchary Kakobe; leo katika misa na ibada ametamka kwa nguvu na kukemea juu ya agizo la Nchi ya Uingereza juu ya Sheria ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
srael’s warnings of a possible attack on Iran has increased tension between the two countries, ahead of a UN atomic agency report on Tehran's nuclear programme,*due out this week. Some experts...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hiv inaingia akilini , watu wamekaa sehem miaka 50 then anatokea mtu heti mwekezaji anadai sehemu niyake miaka 50 iliopita then anaakuwabomolea wakaz nyumba zao. Inamaana wakolon wanarud kutumia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The High Court ruled today that the Catholic Church can be sued if its priests sexually abuse children.A judge in London announced his decision in a damages action over alleged sex abuse by a...
0 Reactions
0 Replies
876 Views
Nilijiunga na benki hii takriban miaka mitatu iliyo pita, na nikachukua mkopo,lakini cha ajabu makato ya hii benki nayaona kama ni ya kijanja kijanja sana, makubaliano yaliyopo ilikuwa mshahara...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Rais aliyepo madarakani Ellen Johnson Sirleaf alipata asilimia arobaini na nne ya kura katika duru ya kwanza ya uchaguzi uliofanyika mwezi uliopita. Mpinzani wake Winston...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Soma hii nimetumiwa kwenye e-mail yangu From Ms Fatima Kamara Refugee camp is: No 21 Marcory Zone 4, Abidjan Cote d' Ivoire West Africa Please Permit me to inform you of my mind, Because...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jana usiku kwenye majira ya saa tano nilienda kupeleka mgonjwa hospitali ya kwa Dokta Mohamed hapa Tank la maji Arusha. Mpgojwa wangu alikuwa anaumwa sana. Wakati akiwa anapatiwa matibabu akaletwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kenyan student athlete missing in Alaska snowstorm (Reuters) - A search team with dogs scoured the woods around the University of Alaska at Anchorage on Monday for a Kenyan student athlete who...
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Chuo cha mzumbe tawi la mbeya,hawakomakini kabsa ktk vi2 vifuatavyo.1.udaili wa wanafunzi wake,udaili hapa mzumbe unafanywa kiholela kwa mfano walitangaza mwisho wa udaili ni wiki 1 baada ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom