Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nipe jibu nikalale jamani! Mkutano walikuwa wote ndani wapelekwe wachache chairman kala kona hili nalo neno??
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tukubali kuwa viongozi wetu wa kuteuliwa ( wenyeviti wa mitaa, madiwani, wabunge ambao huibuka na kuwa mawaziri) watungiwe sheria ya kuwa na vipindi maalumu vya uongozi kama ilivyo kwa marais wetu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CTV mlikuwa mnatuhabarisha vizuri sana wakati wa kampeni za Igunga. Bado mengi yanaendelea ambayo mi nafikiri tungepata taarifa nzuri zaidi kutoka kwenu. Vipi mbona kimya sasa. Kama tatizo pesa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilivyosema nimeoteshwa kwamba serikali imefilisika hamkunielewa .sasa nasema imeanza kuwa kweli. Kwani serikali inakopa zaidi kwenye taasisi za kibenki zaidi stanbic.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ridhiwani Kikwete Associate at IMMMA AdvocatesStudied LL.B at University of Dar es SalaamLives inDar es Salaam, TanzaniaKnows Swahili, EnglishFrom Bagamoyo, Tanzania You and Ridhiwani...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Jana niliona uzi mmoja hapa jf ukiwa na namba ambazo wachangiaji walisema ni za Kikwete,nimeutafuta siuoni tena(natumia mobile ya mchina) namba hizo zilikuwa na 777....msaada jamani kuna jafisadi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Tumo ndani ya meli, lakini meli hili inatarajia kuendelea na safari yake katikati ya jangwa. Nahodha anatupa matumaini makubwa abiria wake kuwa, tusiwe na wasiwasi. Uhakika wa safari na kufika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naona wanamagamba wamefuta post yangu!!! Naapa lazima dawa itumike kushughulikia suala la amani Arusha. Nitatumia nguvu zangu mwenyewe, Mkuu wa Polisi wilaya, Mkuu wa mkoa, Jaji Arusha kaeni mkao...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Michelle & Jim Bob Duggar Expecting 20th Child Access Hollywood – 20 hours ago The Duggars have their 20th child on the way! "19 Kids and Counting" stars Michelle and Jim Bob will...
0 Reactions
1 Replies
866 Views
Nukuu kutoka gazeti la mwananchi Nov 9,2011; ..," Kamanda Mpwapwa (OCD-Arusha) alishindwa kueleza sababu za jeshi hilo kushindwa kuwachukulia hatua vijana wa CCM, walioandamana na kufanya mkutano...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
What happens when an unstoppable force meets an immovable object?
0 Reactions
2 Replies
830 Views
RECENTLY Iceland was sold to Russia due to financial crisis. Tanzania is having crisis on revenue collection, financial instabilities, Rule of law, e.t.c! Is Tanzania heading to the same trap like...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nawapongeza kwa kufuatilia na kupata majibu ya kero za wananchi zinazopitia kwenye kipindi cha dukuduku.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Heti waziri wa elimu anashnikiza wanafunzi wa elimu ya juu waandamane kushinikiza wahtim warudishe hela ya mkopo. Kwanini hawakuwashawish wanafunz na wananch wa kawaida waandamane kushnikiza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hali inayoendelea hivi sasa katika nchi hii siyo ya kawaida. Mwenye akili tu ndiye anaweza kuona mbali lakini sio sisi ccm tunaojitahidi tu kulinda maslahi yetu bila kuwajali wananchi. Pamoja na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Serikali imekiri kulemewa na idadi kubwa ya wasomi kuliko fursa za ajira zilizopo. Kauli ilitolewa Dar es Salaam jana na waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka, wakati wa uzinduzi wa wiki ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana Jf,hiv kuna haja gani ya kuendeleza sherehe za kukimbiza mwenge mikoa yote hapa nchini tukitumia gharama kubwa,wakati kuna sekta muhimu zina bajeti finyu,sekta kadhaa za serikali hazijaajiri...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Safaricom webbox Ksh 4990 (tsh85000) vodacom webbox Tsh178,000 why the huge difference?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
JK anapenda kusikiliza anachopenda, na kuona mtu anafanya anachokipenda yeye, mbishi hawasikilizi watendaji wake. Ndio maana wako ladhi waongee kitakachompendeza. Sasa huu ubishi unanichanganya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hi JF members! Nimeanzisha private invastigative firm. Firm hii, inajihusisha zaidi ktk kuwa trace love cheaters na kukolect ushahidi wote, na kisha tunamtafuta mwenza anayekuwa cheated, tunampa...
3 Reactions
48 Replies
4K Views
Back
Top Bottom