Mbunge wa jimbo la ubungo leo katika mkutano wa hadhara Dodoma,ametoa tamko kwa Magamba,hawawezi kukaa kuzungumzia maswala ya Uniform katika taasisi za elimu,mpaka Watoe lile bango pale UKUMBI WA...
Wana Jf,
kuna wau wanasema eti kwa jinsi mambo yalivyo kwa sasa, hili li nchi ni kama halina Rais kwa sasa. Maana kila kitu kiko shagalabagala na hatujasikia mikakati yoyote ya kukabiliana na hali...
Nijiuliza kila kukicha?
Je, Tanzania nia nchi iliyo na rasilimali nyingi kama inavyoelezewa? Kama hivyo basi, vilevile Tanznia tunajivunia utajiri wa upumbavu kwa kutoweza kuzitumia hizo...
nashangazwa sana na matangazo yanayotangazwa na radio clouds fm kuhusu miaka hamsini ya uhuru,hivi hiyo pesa iliyolipia matangazo hayo ya kila mala si niyawalipa kodi masikini wa tanzania.halafu...
Jamani wana jamii ninaombeni sana msaada wenu..jana jioni siku ya Jumapili maeneo ya Metropolitan karibu na Green heart restaurant kwa wale wanaofahamu Arusha nikiwa kwenye pikipiki nilivamiwa na...
Jeshi Wananchi la Tanzania limewakamata wanajeshi 20 toka Jamhuri ya Kidemokrasia Ya Congo walioingia nchini kinyume cha sheria.
Msemaji wa Jeshi la wananchi wa Tanzania kanda ya Kigoma amesema...
mvua balaa inatarajiwa kunyesha.mbagala ishaanza hakukaliki.wale wa k/koo anzeni kuwekea alama penye mashimo ili baadae msitumbukie coz hapo patafulika ile mbaya.si mnajua mifumo ya maji taka...
RAIS Jakaya Kikwete amesema kuwa Serikali inakamilisha mipango ya kuanzisha upya utaratibu wa vijana kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa mujibu wa sheria kama ilivyokuwa zamani.
Pia...
Kama kawaida yetu tumesindikiza Miss World kwa kutolewa mapema,even kipengele cha beauty with purpose tumeshindwa while tuna matatizo mengi ya kijamii,ghana amefanya vizuri kwa kuelezea matatizo...
Kuna nyepesi nyepesi mwamba mwana wa mfalme leo atatembelea kigamboni, wakazi wa kigamboni tujuzeni ni wapi hasa anaenda? kwa lengo lipi au ndiyo mmeamua kumzawadia ardhi lile eneo la mradi ili...
NAIBU Waziri Mkuu wa Kenya, Uhuru Kenyatta amewataka Watanzania kuiombea Jumuiya ya Afrika Mashariki ili kukabiliana na matatizo yaliyo mbele yake.
Alisema bila msaada wa nguvu za Mungu ni...
Habari za jioni wana jf, naomba mnijuze idadi na kama ikiwezekana mnitajie maraisi waliowahi kuiongoza uganda since uhuru na jina la raisi aliyewatafutia uhuru
Katika kuonyesha kuwa tz inapinga shingo upande juu ya agizo la London, Mwana mfalume na kidosho wake wamefika tz na leo watatembelea Kigamboni kufungua visima vya maji ambayo ni yetu lakini...
Wakuu,
Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki ni Mgonjwa zaidi ya mwaka sasa.
Toka Kipindi cha Kampeni alikuwa mgonjwa sana. Ni Takribani mwaka na mwezi toka uchaguzi 2010 upite.
Umekuwa ni...
Kitendo cha vyombo vya dola ambavyo ndio vyenye dhamana ya kulinda usalama na amani ktk nchi kuonekana vinatenda kazi kidhalimu,hv karibuni kulionesha kuto vumiliwa na mbunge wa Arusha mjini...
Miezi ya hivi karibuni, kampuni ya simu ya Tigo imelalamikiwa sana kutokana na tabia zao za kihuni. Wamekuwa wakiwaibia wananchi mchana kweupe, na shirika letu la TCRA kushindwa kuchukua hatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.