Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
by HakiElimu on Tuesday, 01 November 2011 at 10:26 via Facebook Notes (https://www.facebook.com/hakielimu) Did you know that in Mtwara Region, Tsh. 395 million was spent on rehabilitation of...
8 Reactions
42 Replies
4K Views
Ndugu wanajamvi, Ansbert Ngurumo anasema kwamba katika baadhi ya maeneo nchini, CCM imegeuka tusi miongoni mwa vijana. Ukimuudhi mtu siku hizi, akakosa tusi la kistaarabu dhidi yako, atakwambia...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Maendeleo ya Zitto vp tuguzangu?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
TCRA on spot over mobile call congestion Saturday, 05 November 2011 23:18 By Songa wa Songa and Alawi Masare The Citizen Reporters Dar es Salaam. Tanzania could be facing an...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
niliwambia ntawaletea hali ilivyo dodoma bunge likianza kuhusu wenzake comeroon,dah kweli wameanza kutua sasa hv nmeona mmoja ametoka gest anaingia kazi
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau, Kama mtakumbuka vizuri wakati wa kampeni na hata baaday ya uchaguzi kuna kitabu kilichapishwa nadhani na Prince Bagenda na nakala zake kuchapwa sana magazetini.Naam kitabu hiki kilitueleza...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Hapo ukijiwekea na umeme jua wako kutoka IHAM SOLAR SUPPLIERS(http://www.ihamsolar.com/) huna shida na Tanesco
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani taarifa ni kuwa kesho ni mapumziko. Yaani iddi pili! Waislamu watuthibitishie
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Ndugu zangu nauliza hivi kweli huyu jamaa anayetetea ushoga naye si shoga?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Papa Msoffe kapewa siku saba awe amerudisha kiwanja alichomdhulumu bibi Devotha Mulai. kiwanja hicho alikuwa amekipata kwa njia za mjini na kukizungushia ukuta na ndani kujenga nyumba. Msoffe...
0 Reactions
47 Replies
7K Views
Mjadala mzuri juu ya mjimpya wa kigamboni leo tar 6/11/2011 saa tatu usiku.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Toka jana mji wa tabora umekumbwa na uhaba wa petrol.vituo vya kuuzia bidhaa hii misururu ya pikipiki na magari ni mirefu. Kuna mtu ameninong'oneza kuwa, kuna uwezekano ni hujuma inayofanywa na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni nani asiyejua kuwa mabishano yanohusu imani(dini) hata kama ni kijiweni kwa kawaida hayawi na hitimisho? Niseme tu kwamba kama kuna kitu watawala wetu wamethubutu, wakaweza na sasa wanasonga...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu kwa mujibu wa gazeti la mwanahalisi mh Edward lowasa bado anaendelea kula asilimia themanini ya mshahara wa waziri mkuu pamoja na marupurupu mengine kibao.Chakushangaza ni kuwa hasikiki mtu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
One guest whom the government will definitely fail to invite as the country marks 50 years of independence is veteran Kenyan academician Ali A. Mazrui, for the past four decades teaching at...
0 Reactions
0 Replies
718 Views
Habari zilizopatikana hiv+punde kutoka+katika gari la matangazo ya chadema zinasema kesho j3 kutakuwepo na mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya NMC ikiwa ni pamoja na kumpokea kamanda (mb)...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wana JF! Poleni na miangaiko ya hapa na pale katika kujenga taifa letu hili la Tanzania. Wana mie hiki kitu kimekuwa kikiniuma kiasi hata natamani hawa viongozi walio/ wanaosababisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wadau nauliza. Nimeacha kazi shirika fulani miezi 6 iliyopita. Sasa niko nafanya kazi sekta nyingine. Nilikuwa mwanachama wa nssf kabla na baada ya kuacha kazi huko. Nafikiria kufuatilia mafao...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani wenye taarifa za karibuni za Makamanda Mwekyembe na Mwandosya huko India watujuze.Makamanda hawa wenye majina yaliyofanana na asili moja "Mwa" wana nafasi kubwa katika maendeleo ya nchi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu spika sitta amesikika mara kadhaa akiipinga serikali hadharani.mojawapo ya masuala anayoyapinga ni malipo kwa kampuni ya dowans. Kinachonishangaza mzee huyu amebakia kulalamika bila...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom