Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
? Shirikisho la Soka barani Afrika Caf limetangaza mechi za awali za kuwania kucheza Kombe la Mataifa ya Afrika 2013. Baada ya vigogo kadhaa kushindwa kufuzu kucheza fainali za 2012, kuna...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Fifteen suicides take place every hour in India and a majority (69.2 per cent) of the suicide victims are married while 30.8 percent un-married, according to latest government statistics. One...
0 Reactions
2 Replies
985 Views
Wana JF nimesikia kupitia magazetini kwamba madaktari kadhaa toka India (Apollo) waliwasili nchini jana kwa ajili ya kutoa matibabu bure kwa wananchi wa nchii hii. Lakini pia nimesikia Waziri...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
NSSF ilikuwa wainunue Kiwira kwa shilingi 1 toka serikalini ..waziri wa Usiku aka NGELEJA akaamua kuwapa wa China NSSF waliandaa business plan ya kupanua pipeline mpya ya gesi toka...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Aga khan ni hospitali kubwa inayoaminika sana Dunia nzima kwa huduma nzuri na pia hasa ni kwa watu wenye uwezo (kwani huduma zao ni za ghali). Ninaposhindwa kuelewa ni pale mliposhindwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
A man tries to locate Nairobi on a computer through the Google Earth programme. TPersonal computers have changed the way that we work, and lovely as they are it does mean that developing countries...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Siku kama ya leo, Jumatano ya Oktoba 30, 2007, gazeti la Raia Mwema lilianzishwa na kuingia sokoni, leo ni siku maalumu kwao na kwetu wana JF maana wamekua na mchango mkubwa katika mijadala yetu...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakati Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Mstahiki Yusuf Mwenda, akiwa tayari amemuagiza Mkaguzi wa Ndani kuchunguza mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari Hananasif, tayari suala hilo limefikishwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni malaria gani ya namna hiyo ambayo hata Agha khan hawakuigundua? Mbona waandishi wa habari hawawahoji Agha khan ili waseme kwa nini vipimo vyao havikugundua Malaria ya Zito? Huyo daktari wa...
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Nimekuwa mwanafunzi wa elimu ya juu kwa miaka minne sasa at least nimekuwa na uzoefu wa nini kinaendelea na nimeshiriki kwenye harakati nyingi za kubadilisha maisha yangu na wanafunzi wenzangu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sakata la viongozi wetu kuugua magonjwa limeshika kasi na kila anaye ugua anachukua hatua za kujitibu kwa nafasi yake. Wapo watu wanao singizia kuwa magonjwa yanayo wakabili...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Super coach syllsaid mziray mzee wa ngebe leo amefikisha mwaka mmoja rasmi tangu atutoke mwaka jana uongozi na wachezaji wa yanga unawapa pole kwa ndugu na jamaa wote wa mziray na ushindi wetu wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa mdau wa kijambo cha wiki kiasi ambacho siwezi kukikosa nimekipenda hasa cha leo , kimeonyesha vile wasira akibwajaja juu ya mgogoro wa Arusha kwa upande mwingine wenzao CDM Dr.Slaa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana jf habari za jumamosi? Mimi kuna wakati huwa napata wasiwasi na taaluma zetu kwa mfano kama hosiptari kubwa kama muhimbili inashindwa kumtibu mgonjwa wa malaria mpaka anapelekwa india...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
The United Kingdom is to donate £643 million in aid to Tanzania over the next four years. According to Andrew Mitchell, Secretary of State for the Department for International Development, the...
0 Reactions
2 Replies
875 Views
habari nilizozipata hivi punde zinasema basi moja lijulikanalo kama deluxe line lililokuwa likitokea dar kwenda dodoma limepinduka na kuwaka moto katika eneo la misugusugu mkoani pwani na kuua...
0 Reactions
176 Replies
24K Views
Kwa mara ya mwisho ulisafiri wapi na lini na safari yako ina kumbukumbu gani ya kusisimua au kuhuzunisha au ni funzo gani umepata katika safari hiyo. manake safari ni hatua na ina mambo mengi.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
jamani tanesco wanakera!!!!!!!!! Mara wamesema mgao miezi 3 hakuna ,sasaivi wanakata umeme ghafla tu na kuurudisha HAWAJUI VYOMBO VYETU VINAUNGUA????? Waache hiyo tabia.
0 Reactions
3 Replies
989 Views
Je unafahamu nini kitakacho jengwa plot opp. Holiday Inn ? Stay up to date with all the proposed and under construction projects in Tanzania on this FB page. This will surely be interesting...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi natumia dish kupokea matangazo ya tv (free on air). Tbc1 inashika lakini inakwama mno. Nimebadili LNB mara kadhaa bila mafanikio. Tatizo ni nini?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom