Nachukua nafasi hii kumpa pole MPIGANAJI MACHACHARI WA MASLAHI YA TAIFA HILI....Mh. ZITTO, POLE SANA! Pamoja na hayo,uchunguzi wa kitabibu umeonyesha anasumbuliwa na malaria (vidudu 120)! Ni mara...
It is estimated that, more than a half of the total population in this country are gainfully occupied. But let us ask ourself how many of these are Actual Producers in agriculture, mining...
Mapema mwaka huu viongozi wetu wa juu wakiwemo wabunge,mawaziri, majaji , wakuu wa mikoa, watendaji wakuu wa serikali walimiminika loliondo wakitaka kutibiwa magonjwa sugu ukiwemo...
Jamani kwenye tovuti ya freemedia.co.tz inaonekana gazeti la tanzania daima linauzwa kwa shilingi 400/=, lakini mtaani linauzwa shilingi 500/=. tunaibiwa au ndo usanii?
Kwa mwenye busara na hekima...hana haja ya kufanya uchunguzi KULIONA HILI. Nchi yetu Tanzania imeuzwa sasa ni HAKIKA. Yanayotokea sasa ni kumalizia walioiuza nchi. Hivi kweli na matatizo haya...
Gari la mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe
likipita daraja la Ulayasi (Mlangali) barabara kuu iendayo Ludewa toka Njombe
Historia inaonesha tatizo kubwa la wananchi wa Ludewa ni...
Inaonekana imefika wakati viongozi wote wa TZ wawe wanatembea na ambulance kila wanapoenda,maana afya zao si nzuri.
Warudishe mashangingi na wapewe ambulance Kwa hivyo wataweza kusaidia jamii pia...
Jf members naomba nitumie fursa hii kuwaomba aidia zenu kuhusu uwamuzi wangu wa kutaka kugombea uraisi wa tanzania.>ndugu zangu uwezo ninao.>nimwachama wa CCM na pia ni mwachama wa CHADEMA...
kuanzia juzi maeneo ya sinza,na maeneo mengine jijini umeme
unakatika mara kwa mara bla mpangilio kwa maoni yangu nahisi huu ni mgao kama kawaida kimya kimya.serikali iko likizo kwani hamna...
Hali zenu wana JF. Jamani ewura kazi yenu inawahusu wafanya biashara tuu au pamoja na abiri? Leo kutoka mwenge kwenda tegeta, kunduchi, africana ni Tsh 1000 cash. Sasa mbona serikali haineni...
Nimefika Dar sas hivi nikitokea Mwanza, nafika hapa Airport nasikia taarifa ambazo nahisi ni taarifa za uzushi, eti Dr Mwakyembe Amefariki. Haraka nikaingia JF ili nipate taarifa. Lakini sikukuta...
Ndugu zangu katika kipindi hiki kibovu kiuchumi, kisiasa na kiutawala katika taifa letu napenda tena kumshukuru Mh. Edward Lowassa kwa kurudia ile kauli ya "hatukukutana barabarani" ambayo...
Hapa juz kati nimepata lesseni yangu ya kuendeshea gari. Niliona si vizur kutembea na nakala halisi maana kupatikana kwake ni shughuli nene. Nikaamua kutoa copy na baadae ku certify pale pale...
taarifa ya kiinterejensia ya polisi wetu, maandamano ya kupinga malipn ya dowans wanadai al-shabab watafanya mashambulizi je jumamosi kwenye mechi ya simba na yanga al-shabab hawana madhara maana...
Kwenu wanaharakati na wapiganaji wa haki za binadamu, tunaomba mtoe tamko kama kesho yale maaandamano yatakuwepo kama kawaida au la..hii ni kwa sababu hadi sasa mmetuacha njia panda...Wengine...
Kweli nchi hii inaelekea kubaya
Juzi maji yamlikatika tuna siku tatu hatuna maji maeneo ya tegeta
Asubuhi saa 11 najiandaa kwenye kazi umeme ukakatika mpaka natoka sa12.45
umeme ulikuwa...
Jamani nimepita mitaa ya mwenge naelekea tandika kuna jamaa wawili walikuja na basi la mbagala wanasema kuna watu wameona guruneti uwanjawa taifa.
Jamani mwenye habari kamri atujuze
Habari wanajamii, naombeni kufahamishwa hivi mtu anapokuwa nje ya Tanzania,say uganda,Kenya na sudan anaweza endelea kutumia line zake za hapa hapa nyumbani, kama airtel,Vodacom na Tigo, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.