Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
MLEMAVU wa ngozi aliyekatwa mkono wake wa kulia na watu wasiojulikana, Kulwa Lusana (16), amesimulia alivyojikuta akiwafukuza wavamizi hao, huku akilia na kuwaomba wamrudishie mkono wake...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Safari hii lile kundi la Al Shabab limelipua bomu kwenye basi na watu 8 wamepoteza maisha mpaka sasa
0 Reactions
32 Replies
3K Views
hii nimeikuta juzi wakati nikiwa kwenye foleni ya kulipia bili yangu pale makao makuu ya Tanesko mjini arusha.huduma kwa wateja zilisitishwa kisa umeme umekatika. my take;kumbe mgao unawagusa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
Wanaharakati wa haki za kibinadamu wa Dar es Salaam pengine kwa kusukumwa na uzalendo , ushabiki wa kisiasa au vyote wanaandaa maandamano ya kupinga kulipwa kwa tozo ya zaidi ya Ths. Bilioni 110...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wadau hapa UDOM mi nashindwa kuelewa kwa nini, chuo kimefunguliwa lakini maji ni ya shida. Hivi hawa wahusika na maji hawajuwi kama chuo kimefunguliwa au mpaka vijana waanze kuimba zile nyimbo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna siku za miezi kadhaa nilipita katika barabara hiyo nikakuta BANGO limetoa ILANI kuwa hakuna ruhusa kupita eneo hili kuanzia muda wa saa 12 jioni hadi saa 12 asubuhi kutoka eneo la ocean...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kamati ya bunge imekutana na muendelezo wa vioja vingine baada ya kukutana na kustaajabu vya musa huko lapf wakayaona ya firauni huko veta;leo gazeti zimepambwa na vituko vya veta ati pensheni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimepita leo eneo ilipo shule yangu pendwa ya Arusha Secondary, nimekuta grader inatifua kiwanja kilichokuwa cha shule na upande mwingine kuna uzio kabisa na hata material za ujenzi zimeshamwagwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hali imezidi kuwa mbaya katika kampuni ya Business Times Ltd inayochapisha magazeti ya Majira, Spoti Starehe na Business Times baada ya menejimenti ya kampuni hiyo kuwaita polisi kwa ajili ya...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Ndugu wanaJF, kwenye taarifa ya habari ya saa 3:30 usiku (October 26,2011), nilimsikia Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani (traffic police) kupitia Mlimani TV akielezea chanzo cha ajali ya Delux...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natanguliza salam kwa members wote, hasa wazowefu wa jukwaa hili. Leo nimeona swali langu nililete hapa ili ninufaike kwa mawazo yenu kama great thinkers. Katika pita pita zangu nimeona picha ya...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Hellol wana JF, nimebahatika kuuona na kuusikiliza wimbo mpya wa dada yetu Mh. MB. Vicky Kamata unaoitwa Kuku wa Mfalme.Ki ukweli mwenye akili na anayetasmini kwa kikina atagundua kuwa dada yetu...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Mimi ni mmoja ya waathirika wa rushwa vyuoni,hili ni tatizo ambalo viongozi wengi wa vyuo wamekuwa wakilifumbia macho kila kukicha. natoa mifano iliyo hai: katika chuo cha IFM kuna baadhi ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani yale mabomu kulipuka kwenye kambi za jeshi inaendelea, na sasa ni zamu ya Nevy Kigamboni!
1 Reactions
65 Replies
6K Views
Wanajf nawaombeni mtujuze yanayojiri kwenye mkutano wa IGP Mwema na wanahabari kama alivyoahidi jana. Ikumbukwe kuwa alipigwa maswali mengitu mojawapo likiwa ni hatua gani jeshi la polisi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi na amini kabisa matatizo ya kiuchumi tuliyonayo watanzania ya mesababishwa na serikali ya awamu ya tatu iliyo ongozwa na Rais mstaafu B.W Mkapa. Kwakushindwa kuweka misingi thabiti...
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Kwa muda sasa nimekua nikisikia juu juu kwamba ngorongoro,mara bustan ipo angani na pryamid uko misri zipo kati ya maajabu saba au nane ya dunia,ila sijajua vizuri nyingine ni zipi,mjuvi wa ili...
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Lori lililokuwa likisafirisha mitihani ya kidato cha nne kutoka ruvuma kwenda NECTA limepata ajali baada ya kupasuka tairi muda huu hapo Bwawani. Dereva na askari wamefariki hapohapo. Mungu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Aisee ukisoma tanzania daima unaweza jiuliza kwa nini na ninani aliemweka rais kikwete madarkani ingawa jibu wanalo viongozi wa dini wakiongozwa na mfalme mokiwa....... Turudi hapo juu kamati...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimehudhuria kikao cha haraka cha Waandishi Habari na wawakilishi wa Asasi za kiraia, Serikali za wanafunzi wa Vyuo Vikuu, wawakilishi wa wananchi wa kawaida na wadau wengine kutangaza rasmi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom