Habari ya kazi wanajamvi,
Naomba kuwaleteeni mawazo yangu ni jinsi gani tunaweza kumjibu waziri aliyesimama juzi na kutuambia hakuna mgao mpaka February lakini sasa ninaandika hii thread kwa...
Wadau,
Naomba kuuliza, hivi ni kweli kuna mgomo wa mafuta. Maan nasikia kwenye baadhi ya vituo vya mafuta kuna foleni. Tangu jana niliona kuna email na sms zinazunguka kuwa kutakuwa na uhaba wa...
Amazing facts ABOUT Gaddafi
1. There is *no electricity bill* in Libya; electricity is free for all its citizens.
2. There is *no interest on loans*, banks in Libya are state-owned and loans...
POLISI Mkoa wa Arusha imekamata silaha 13 zikiwemo za kivita na risasi 449 zilizokuwa zikitumiwa na makabila ya Wasonjo na Wamasai katika mapigano ya kikabila hivi karibuni wilayani Ngorongoro...
ABIRIA WATEKETEA NDANI YA BASI
VILIO, majonzi na mayowe jana vilitawala eneo lote la Misugusugu katika Barabara Kuu ya Dar es Salaam - Morogoro wilayani Kibaha mkoani Pwani, pale basi la...
Najiuliza kwa nini wanachi wa Libya wameamua kumuua Gaddaffi kwa kifo cha aibu??hakuna hata moja alilowatendea walibya jema?ukisoma habari katika Biblia juu utawala wa Saulo baada ya Saulo kuuwawa...
Zaid ya watu mia 1 wamepoteza maisha mjini sirte baada ya bomba la mafuta kulipuliwa,inasemekana watu hao wamekufa baada ya kuungua kabisa
sosi:dw radio
Tayari ni kijana ambaye anapata uzoefu mbalimbali wa shughuli za kichama na siasa. Naamini kwa ajili ya kuweza kuja kugombea baadaye nafasi "kubwa" nchini anahitaji kupata uzoefu wa mambo ya...
ni juzi tu wzr wa giza alisema megawat zimeongezeka kwenye grid ila cha ajabu mimi nipo sengerema toka juzi umeme unakatika na kurudi kama taa za disco kilicho nisukuma kuandika hili ni kutaka...
Naweza sema kati ya mambo yanayomuwangusha rais kikwete ni kulipa fadhila kwa marafiki na
kujifanya muungwana kuwakumbuka marafiki zake walioteseka nae jeshini..na ndio maana wakati
anaingia mkuu...
Aiwezekani sasa ifike wakati tuseme imetosha jamani jamani
story za magazeti bila kufanyia kazi atuziitaji..kamati ya bunge imefumua wizi wa billion 1.8 za lapf wakiingia mkataba na kampuni moja...
Some countries officially accept that transactions may be made in a particular foreign currency as well as their own - expl El Salvador and Panama which officially recognise the US Dollar as a...
Dawa ya vidonda vya tumbo utata
DAWA ya Fiterawa inayodaiwa kutibu vidonda vya tumbo, ubora wake umezua utata baada ya Taasisi ya Utafiti wa Dawa za Asili ya Chuo Kikuu cha Muhimbili na Mkemia...
Asikwambie mtu bana tukiazimisha miaka 50 kwa
anaekimbia tanzania analo jambo;kamati ya hesabu za mashirika ya umma imeiagiza kituo cha uwekezaji
tanzania tic kutogusa hata sh moja sh billion 22...
HIVI
rais wangu kikwete uling'ang'ania kuingia ikulu mwaka jana mpaka wanaharakati kupigwa mabom , tukawekwa ndani katika vituo vya police halafu kitu kidogo UMEME unakushinda ?kwani kwani hili...
Nimepita petrol stations za BP (Mwenge), Bp (Mikocheni), Engine (Mikocheni), Total (Morrocco), BP (Upanga), Orx (Posta), Total (Akiba), BP (Fire) kote hakuna mafuta ya petrol. Imebidi nipaki gari...
Mwekezaji adaiwa kuwanyanyasa wananchi Serengeti
Na Mwandishi Wetu, Serengeti
SERIKALI wilayani Serengeti imeombwa kufuatilia vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu, unaofanywa na askari...
Msije panda gari hili. Ni bovu sana, toka saa 12 alfajiri sasa ndio tunaingia Dodoma.
Limejaza sana mizigo ndani, korido haipitiki.
Polisi wanaliona na tumeongea, lakini hamna hatua...
Unalipia bank unapewa kibali cha kwenda kuchukua kwa afisa mtendaji wa kijiji.kwahio unajiandikisha jina kwa mtendaji na mtendaji anaenda na list ya majina pamoja wahusika bank unasomwa jina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.