Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Yawezekana mama tibaijuka anajua uchafu mkubwa unaioendelea huko Nhc Mh sabodo ametoa hayo maneno kwa kweli ukiyasoma utahuzunika na utajiuliza kwa nini mama tibaijuka ameombwa zaidi ya mara 4 na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kulikuwa na vioja mjini Naivasha baada ya jamaa mmoja anayedaiwa kurogwa kuanza kula nyasi Man eats grass - swahili - YouTube
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari Wana JF, Nina masikitiko makubwa na majonzi makubwa sana, nimejaribu kufuatilia kwa kila hali kutaka kujua CCM, CDM, Serikali au mashirika yanayojihusisha na haki za binadamu yanasemaje...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Waziri Mkuu Mstaafu, Joseph Sinde Warioba Kama kuna kitu kimeanza kunigusa pabaya katika fikra zangu ni kauli za mara kwa mara za wale wanaotajwa kuwa ni “viongozi wa zamani” wa taifa letu...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Ikulu imekanusha habari zilizotolewa jana,na leo na gazeti la nipashe, Kwamba raisi jk aliwapunguzia kutoka kwenye hukumu ya kifo mpaka kifungo cha miaka miwili,makonstebo wa upelelezi waliomuua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zanguni wana JF nimesoma taarifa iliyopo humu kuhusu harakati za watu wabaya kupoteza maisha ya wengine kwa sababu za kisiasa, (SINA HAKIKA NA RIPOTI HIYOA) ukiisha muua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nimecheki Tbc 1 Wao wanapga kwaya za music.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama ulikuwa na modem ya Vodafone ZTE k3570 na kwa bahat mbaya sana driver za hiyo modem zikaharbika (zime corrupt) basi tiba yake leo imepatikana. BOFYA HAPO CHINI ILI UI DOWNLOAD <<ZTE DRIVERS>>
0 Reactions
1 Replies
4K Views
The African legends will be visiting TZ soon check them put here.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi kama balali alikuwa mraia wa marekani then kwa sheria zipi zilimruhusu kuwa gavana aidha kama ni mtanzania then mpaka leo dual citizenship haijapitishwa hapa tanzania........ Hiyo yote kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Inasikitisha sana 1.Hawajaonyesha habari ya zito. 2.Kuhusu pingamizi la ubunge kilwa kusini lililotupiliwa mbali na mahakama kuu,wamesema mgombea wa ccm ameshinda wakati wa cuf ndiye aliyeshinda
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu zangu habari zenu. Nimekua nikisikia matangazo kuhusu Mkesha wa kumuenzi Mwalimu ambao kuna vijana wameuandaa na utafanyika Club SUNCIRO pale Sinza. Kinachonitatiza ni kwanini wanamuenzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mnamo Novemba 9, 2005, katika Gazeti la Jitambue, ambalo halichapishwi kwa sasa kutokana na mhariri wake ndugu Munga Tehenan kuupoteza mwili, kulikuwa na makala moja iliyokuwa ikitabiri utawala wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Madiwani wa Halmadhauri ya wilaya ya Ludewa mkoa mpya wa Njombe (Iringa) leo wamegoma kuendelea na kikao cha tathimini ya robo mwaka juu ya utekelezaji wa shughuli za maendeleo katika Halmashauri...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sijui hali itakuwaje, na sijui hali ikoje kule jumba jeupe, pale mheshimiwa na mtuhumiwa wa bunge anapoamuliwa achomoke. Hope kwa jinsi ilivyo siamini kama ni maamuzi yake binafsi. Wakuu mnasemaje?
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wanachuo wa chuo cha teku leo wamegoma kuingia darasani kufuatiwa serikali ya ccm kuwanyima mikopo. Hali ni mbaya fimbo zinatembea kama masihara vile.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wote tulijua amekufa kumbe kazimia tu.amekuja kuzinduka wakati wanamuingiza kwenye jeneza tayari kwenda kuzikwa. Tukasikia sauti"nani ananiziba pua?acheni kunibanabana nipeni maji ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
FEBRUARI 8, mwaka huu, Dk. Mwakyembe alizungumza na baadhi ya viongozi waandamizi wa Jeshi la Polisi makao makuu ya jeshi hilo jijini Dar es Salaam. Baada ya maelezo hayo, polisi...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
nipo mkapa towers hapa, watu wote wamekimbia kushuka chini, moto floor ya 15
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom