Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wanajamvi, huyu mtu kwa jicho la tatu namuona anachosema ana uhakika nacho!kajitokeza na kwa hekima na busara, mwenye kujiamini amesema yuko tayari kwa lolote dowans isilipwe na kasisitioza ni...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
TANZIA YA KIFO KWENYE UCHAGUZI MDOGO WA JIMBO LA IGUNGA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Ubungo Mkoa wa Kichama wa Kinondoni Kanda Maalumu Dar es salaam kinasikitika...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani wana jamii naomba kuwasilisha tena kwamba hapa kwetu mbeya city hakuna matangazo ya clouds fm na radio one kwa muda sana sasa , na hakuna sababu yoyote ile mpaka leo na unajua inasumbua...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Makongoro Oging' na Haruni Sanchawa SINEMA imefika patamu, serikali imepanga kuwaonesha waandishi wa habari mkanda wa video wa mtandao haramu wa viongozi wa dini wanaojihusisha na biashara ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kinachonikera, ukituma text/sms wanaleta ujumbe wao ule unaosema umebakiza sms ngapi... Mimi naona bora watafute njia nyingine ya kumwonyesha mtumiaji wa simu amebakiza sms ngapi kuliko iliyopo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kiwango cha pesa kilichowekwa na chuo kikuu cha dar es salaam kwa ajili ya kukodi majoho kwa ajili ya mahafali ambacho ni zaidi ya 45000; kimeonekana kuwa tatizo miongoni mwa wahitimu wengi. mpaka...
0 Reactions
95 Replies
9K Views
Rais Jakaya Mrisho Kikwete Mwandishi Wetu RAIS Jakaya Kikwete amewataka watendaji wa Serikali yake kufanya uamuzi wa haraka kukabiliana na tatizo la umeme nchini akisema haoni kama kuna kasi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama ni usanii wa hii nchi basi huu umekubuhu, mkulu aliahidi huu mradi utakuwa live 10.10.2011 ila nashangaa hadi njia hazijajulikana!akya mungu, dallili ZAWISHO ZA HII enzi zimeanza kujitokeza!!!!
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Jamani mwenye habari yoyote juu ya mpiganaji atujuze please!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mali iliyo kutwa ndani ya nyumba ya jambazi hilo,inasemekana alikuwa anawapiga watu nondo za kichwa kabla ya kupora mali Na alikuwa ana vunja nyumba za watu Source,franciagodwin.blogspot
0 Reactions
16 Replies
6K Views
habari. yaani barabara nyingi zimekuwa kama mito. mji una hali mbaya baada ya mvua kunyesha. mifereji ya mkoloni ndio zinazofanya kazi wakati zimeshachoka. barabara mbovu sijawahi kuona. naomba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Baada ya juzi Waziri wa Fedha, Mustafar Mkulo kutangaza kuwa wizara yake haipo tayari kulipa deni kwa Dowans, kwa madai kwamba deni hilo linaihusu TANESCO, Jana TANESCO wameibuka na kusema kuwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Leo katika habari ITV nimemuona bwana mmoja akizungumzia mikakati ya shirika la nyumba la taifa NHC, nilishangaa aliposema shirika lake linafanya hayo linayoyafanya ili kutekeleza ilani ya CCM...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Sakata la kutoroshwa kwa wanyama kupitia kia limeishia wapi au hadi bunge lianze?walifikaje hadi wanapandishwa kwenye ndege?hivi usalama wa taifa kazi yao nini?polisi kazi yao nini?hiyo ndege...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hivi sasa kuna gari moja la abiria lisilo na route maalumu lipo huku External makuburi na abiria wake wote, baada ya abiria hao kugoma kushuka wakidai wanataka kupelekwa kwao. Sakati hili...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
I believe that Religion and politics are inseparable (covalent bond), they are two manifestations of the same phenomenon, two sides of the same coin. They are both sets of ideals and beliefs about...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Dar es Salaam - A city businessman dealer was gunned down on Thursday night, in what relatives suspect may have been contract killing. Onesphory Kituly, 54, was pronounced dead at the Muhimbili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimejaribu kujiuliza maswali mengi sana juu ya utofauti kati yetu WAAFRIKA NA WAZUNGU(yaani na white people)kama ilivyozoeleka na wengi.HAWA JAMAA UKIWACHUNGUZA UTAGUNDUA WANAONGOZA KWA VITU...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
The word with the most letters is a name of protein, as a name, it technically does not qualify as a word, but at 1913 characters, we just had to include it. Theoretically these names can contain...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
The following are names of first year students who were previously not allocated loans due to the following reasons: System coding problems. Differing index numbers between TCU admission list...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom