hiyo ni ishara kuwa taifa halina wafikiriaji wa kina, wakati kina mwanakijiji wakionya juu ya majanga hakuna aliejishughulisha, hawa clouds wanaendeleza utamaduni wa kinafiki, wakufikiri baada ya...
Habari tulizozipata hivi punde zinasema boti ya Sea Star imekwama kwa zaidi ya masaa manne hivi sasa baada ya engine kuzimika huku ikipigwa na mawimbi makali. Source: Michuzi blog
Jana baada ya kutangazwa wakuu wapya wa mikoa nilimpigia mmoja wapo(alikuwa Dc) na kumpongeza kwa kuukwaa UrC.Baada ya maongezi ya muda aliniambia alikuwa ameona jina lake likitabiliwa kwenye moja...
Wakazi wa Uingereza kesho Jumatano watapata fursa ya kuona kupatwa kwa mwezi ambapo mwezi unatarajiwa kugeuka "mwekundu kama damu" kwa takriban dakika 100. Hata hivyo, wanasayansi wa taasisi ya...
Kata ya kiwanja cha ndege Dodoma mjini,chini ya uongozi wa Diwani Mh.kambenga,kupitia CCM. Umeifumbia macho REHEMA ACADEMY SCHOOL iliyojengwa karibu kabisa na Nyumba ya Waziri wa ulinzi, kwa...
Angalia hii "avoid use of the term 'accident' to describe events that cause injury in an attempt to highlight the predictable and preventable nature of most injuries. Such incidents are viewed...
Ni jambo la kufurahisha unapoona kiongozi wa serikali akitamka wazi wazi nia yake ya vita dhidi ya madawa ya kulevya.
Ni hivi karibuni tumekuwa tukisoma kwenye magazeti kauli ya viongozi kwamba...
Kumbu kumbu ya watoto wa mujini waliotutangulia!! Unamuongeza nani??
Jamani kama mdau wa zamani natoa heshima ..kwa kaka Michu ..HILI chapisho lipo pale kwake nimeona nililete hapa seating...
Tanzanian women especially teenage girls -- who have worked in household jobs in towns and cities have tales of extreme workplace mistreatment. Many young women, who left their poverty-stricken...
Dear all
I came across these video clips by Dr. Albert A. Bartlett, University of Colorado, Dept of Physics, Boulder Campus. USA. They are 8 Video Clips. The topic is " ARITHMETIC, POPULATION...
Study: An hour of TV can shorten your life by 22 minutes
After the age of 25, watching 60 minutes of television is like smoking two cigarettes, researchers find
Watching an hour of TV after...
Niko Kilwa Road naelekea Temeke. Kuna gari la serikali Toyota Land Cruiser, dereva wake anafanya fujo barabarani.
Aliomba apite mbele ya vitz ya mdada mmoja, dada kamnyima, anamtishia kumgonga...
kuna meli ya mizigo inaitwa Sarobo imezama Tanga asubuhi hii ya leo ilikuwa inatoka Tanga kwenda Pemba..mabaharia saba walikuwa ndani ya hiyo meli wamepatikana salama.. Kama kuna mtu mwenye more...
Habari wanajf.huwa najiuliza sana,nchi zilizoendelea,matukio ya kutisha ambayo yanale vifo vya wananchi,wahusika huwa wanawajibishwa ipasavyo tofauti na nchi zetu zinazoendelea,TATIZO HUWA NI...
Nipo live kwenye kanisa la Mzee wa Upako hapa Kibangu, haya ni machache aliyoyasema leo.Alianza kama utani, akikemea tabia ya watznzania kupenda misaada katika kujenga makanisa badala ya kutoa...
Developing story....
JESHI LA POLISI LAMSAKA KAPTENI WA MELI YA MV SPICE ISLANDER ILIYOZAMA BAHARINI
Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi-Zanzibar
ZANZIBAR ALHAMIS SEPTEMBER 15...
Hello Great thnkers?
Nimekuwa nikijiuliza tabia ya mabasi yakifika kwenye MIZANI wanawaambia abiria washuke mpaka gari lipite na kurudi tena, au kusogea mbele gari ipite kwenye mizani kwanza. Je...
Tumepata taarifa kuwa Smz imekataa misaada ya Vodacom, na tunaambiwa ofisi za Vodacom znz ziko mashakani
Inaonekana kampeni ya kuisusia Voda imeshika moto, Mahmoud Thabit Kombo ndiye anayetumiwa...
Nanukuu gazeti la mwananchi la tarehe 15/9/2011:
"Septemba 3, mwaka huu, Waziri Nishati na Madini, William Ngeleja, aliwaeleza waandishi wa habari kuwa makali ya mgawo wa umeme yatapungua kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.