Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
katika hali ya kushangaza, maeneo baadhi ya jiji la mwanza umeme umewaka kwa zaidi ya 24hrs bili hata kukatika. Ilikuwa ni juzi umeme ulikatika, ulirejea majira ya saa sita na haukukatika mpaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Aliye na charger/adaptor ya computer aina ya Accer yenye input 100-240V na output 19V..kama unayo naomba msaada wako nashindwa kuoperate kompyuta yangu,tuwasiliane kupitia 0717-522175
0 Reactions
2 Replies
992 Views
Katika kauli tata na zisizokuwa na maana ni ile ya Mkweree majuzi kwamba waliofariki kwa ajali ya meli huko Nungwi wapimwe DNA ili kuwatambua kwa urahisi. Jamani huyu rais wa ajabu kabisa sasa...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Kwa kipindi kirefu jijini Mbeya tulipumzika kukumbwa na matukio ya kikatili kama ilivyozoeleka hapo nyuma, bila shaka tunakumbuka uchunaji wa ngozi na matukio mengine, jambo la kusikitisha ukatili...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Honorary Consulate of the United Republic of Tanzania The Consulate is from today closed because yesterday Honourable Consul Robert C. Andersen passed away. Visa can be applied for at the...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Kama kwa wiki hii mmeafatilia makala za bbc swahili,kuna makala maalum juu ya biashara ya binadam Tanzania hasa wanawake,hususan vibinti,mwandish wa makala hiyo ameanza kuonesha tangu wasichana...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Hospitali ya Taifa Muhimbili ilipokea mgonjwa toka Hospitali ya Mwananyamala tarehe 18/08/2011 akiwa mahututi na hajitambui. Inasemekana kuwa mgonjwa huyu aliokotwa na wasamaria wema barabarani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Thursday, September 15, 2011, 12:44 Latest News, Rai Na Mwandishi Wetu, Butiama HALI ya mambo si shwari katika Kijiji cha Butiama baada ya Serikali kuhamishia makao makuu ya Wilaya mpya ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jana kwenye mtandao wa kijamii niliona jinsi watu walivyokuwa kiishambulia kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania baada ya kuendesha sherehe za Miss Tanzania 2011 kwakweli hali ilikuwa...
0 Reactions
115 Replies
7K Views
Vikosi vya uaokoaji kutoka Afrika Kusini wamesema wameshindwa kufikia Meli iliyozama kutoka na kina kirefu. Waokoaji wamesema Meli hiyo ipo kwenye kina kirefu cha Mita mia 300 wakati vikosi hivyo...
0 Reactions
67 Replies
7K Views
Nimefurahishwa sana na taarifa ya habari ya leo iliyorushwa na TBC1, wameonyesha demokrasia ya hali ya juu kwa kufanya coverage nzuri kwenye kampeni za vyama vya upinzani hasa CDM, ni mara chache...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani wadau nipo apa, Ferry upande wa magogoni kuna kajibaa flani apa uwaga tunakaaga tukisubiria kivuko, napiga safari yangu ya baaariidi, kaja jamaa mmoja, kajiintrojuce kwangu yeye ni forenar...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
TBC LIVE now. Mtangazaji-Mh Waziri nini cha kujivunia katika wizara yako ndani ya Miaka 50 ya uhuru? WAZIRI-MH mtangazaji mmh mmh..,shirika la ndege lilikuwa chini ya africa mashart...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana Jf nimekuja tena mbele yenu kutaka ufafanuzi kwa Habari kamili inayohusu UKWAPUAJI WA MALI ZA UMA. Ufisadi hapa Bongo land umeanza hivi karibuni ama ulikuwepo hata enzi za Mwalimu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zachary Kakobe amezidi kubanwa na wachungaji wake, baada ya mchungaji mwingine kumuasi na kuiomba Mahakama Kuu aunganishwe kuwa mlalamikaji...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
kwa mujibu wa taarifa ya habari ya ITV leo saa 2:00, katika kijiji cha chumankome. Dk slaa ameweza kuvuta wanafunzi wa shule ya msingi kuja kumsikiliza, huku akimwaga sifa za mgombea wake...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimesikitika kwa maelezo eti wa South Africa hawana vifaa vya kuokolea maiti waliozama na meli! Hapa nikiini macho kwani walijua kwamba wakiwatoa wale maiti itakuwa ni aibu kwa serikali!Maana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Niliponunuliwa dukani nilijua napelekwa kwenye nyumba ya kifahari na kuondokaa dukani palipojaa vumbi na harufu ya panya wakijitafutia riziki. Nilifarijika na kushangilia nafsini mwangu kuona...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Helo jf naomba kuuliza nitapata wapi mayai ya mbuni ama vifaranga vya mbuni?nataka kuwafuga!
0 Reactions
16 Replies
3K Views
updp yaziazimia uzinduzi wa KAMPENI IGUNGA na SEBENE a.k.a BRAKE ZA NYAU. Source.Tbc taifa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom