Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
unauelewaje ujumbe huu?? toa maoni yako
0 Reactions
0 Replies
895 Views
Wadau kwa mjibu wa radio kahama inayomilkiwa na mbunge wa kahama ccM ndugu Lembeli imetangaza kuwa kesho kutakuwa na maandamano ya kudai maji na umeme katika kijiji cha mwendakulima km 0.2 kutoka...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kusema ukweli Vodacom ni balaaa.....simu ya wenye pesa. Nimekuwa na Voda number muda mrefu nadhani ni mmoja wa watu wa kwanza kuingia voda siku ya kwanza kuanza hapa nchini na nimekuwa mwaminifu...
0 Reactions
65 Replies
8K Views
hapa mbeya, kunandege imeanguka asubuhi ya leo eneo la nanenane katika mashamba ya kilimo, hakuna aliye fariki.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana JF kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia jinsi vituo vya TV vinavyoripoti matukio mbalimbali yanayoyahusu jamii ya TZ.,La kushangaza ni kuwa Kuripoti Kunatofautiana sanaa.Hakika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Maoni ya katuni Taifa linaomboleza msiba mkubwa wa vifo vya takribani watu 240 waliopoteza maisha katika ajali mbaya ya meli ya Spice Islander iliyotokea usiku wa kuamkia Jumamosi, ikisafiri...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
This is not a news report on an enormous tragedy. I don’t have all the facts. No one does – yet. This is me in tears writing down the terrifying reality of a capsized cargo ship, the overloaded MV...
0 Reactions
0 Replies
796 Views
Wadau leo nimefarijika sana, nilikuwa airpot kuna babu kama wa miaka 65 hvi alikuwa busy mno anachek Jf tena anavinjari kila jukwaa. Idumu JF
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Napenda leo tuchangia kuhusu hizi dawa za meno. Unapoinunua ipo ndani ya box, ukifungua box ndani kuna dawa ipo ndani ya tube, kizibo chake hakina seal, wala hakuna namna yeyote ya kumhakikishia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kagame visits his French counterpart and says he no longer wants apology for alleged French role in Rwanda's genocide Paul Kagame, the Rwandan president, and his French counterpart...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nilikuwa napita mitaa ya Ghana yani watu wengi wanaoishi pale mabaki ya vyakula wanatupa barabarani sijui kwa vile mitaa mingi ya Ghana ni vichochoro ,nashidwa hata kutambua ni kwanini inapata...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Kitopeni iliyoko Korogwe mkoani Tanga, wakiwa nje ya chumba cha darasa. Mahudhurio ya wanafunzi wa kike katika shule hii yamedorora, kutokana na hofu ya...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Nilisoma gazeti la Mwana halisi la 31August kuhusu malalamiko ya wahusika dhidi ya Mwajiri au aliyekuwa Mwajiri wao. Nionavyo mimi. Lawama hazistahili kwenda kwa Kampuni ya Barrick kabla ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
HAVE JUST RECEIVED THIS EMAIL JAMANI: >Please Be Extremely Careful especially if using internet mail such as Yahoo, Hotmail, AOL and so on. >>This information arrived this morning direct from...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimefikiria hatari ya Moto! Ikitokea magari yanaungua yakiwa kwenye msongamano! Kuna kila sababu ya kuisukuma Serkali kuiondoa haraka, kero ya Msongamano wa magari hasa Asubuhi na jioni kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
CCM walichokifanya Igunga wameniaminisha kuwa tayari wanatengeneza wananchi MAZUZU, MISUKULE, MAZEZETA...... Nasema kwakuwa sikuamini kama waarifu watuhumiwa sugu kama MKAPA na ROSTAM AZIZI...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanakijiji wa butiama wametishia kuzuia uwashwaji wa mwenge kwani ahadi waliyopewa na JK butiama kuwa makao makuu ya wilaya imeyeyuka baada ya kijiji cha kibyakari kuwa makao makuu ya wilaya mpya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamii leo mida ya saa nne kipindi cha watoto radio Praise Power mtangazaji kaongea yafuatayo nanukuu "wazaz hawamjui Mungu ndio mana walikimbia milipuko ya gongo la mboto na kusahau...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Tarehe 01 july 2011 ilifanyika sherehe ya miamba ya mitihani ya kidato cha sita 2011 miamba hiyo iliingia mjengoni dodoma na baadae jioni kwenye hafla kupewa zawadi kila mmoja laptop na fedha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna taarifa kuwa kuna ufisadi wa kutisha ambao unaendalea at the heart of Vodacom foundation Tanzania juu ya nani na sababu za watu kupewa au kusaidiwa miradi chini ya mpango wa CSR. In short...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom