Shirika la kuzalisha na kusambaza umeme Tanzania TANESCO limewadanganya wananchi kwakuwaambia mwezi wa tisa watapunguza mgao wa umeme lakini bado. Tanesco mwezi wa tano mwaka 2011 lilipunguza...
Dear Friends
Can you all please give your opinion about Quality Group Limited of Dar Es Salaam.
How big is this company?
Where can I view the financials of this company?
How good a company is...
Ni kijana mdogo ...MWIGULU MCHEMBA,lakini kwa mfungamano wake na mafisadi ....ni dhahiri wana Iramba Magharibi tumepata mbunge ambaye ana kila dalili za kufuata nyayo za BOSI WAKE JK,Ni lazima...
Msanii aliyekuwa kundi la Wagosi wa Kaya ameeleza uhasama kati ya Ruge na Sugu, na suala la mipango ya awali hadi kuwepo studio ya muziki kwa wasanii wa tzz
Msanii huyo waliowika na vibao vingi...
Jana Askofu kilaini alitoa hotuba kali sana wakati akifungua mkutano mkuu wa Chama cha waandishi wa Habari mkoani Kagera(KPC) Mjini Bukoba
hii hapa,neno kwa neno
MKUTANO MKUU WA KAGERA PRESS...
Je TFF haijali watu waliokufa zanzibar?
TFF haina utaifa?
Masikitiko yangu kwa TFF kama muendeshaji wa ligi ya "VODACOM LIGI" hakujali siku ya msiba wa kitaifa
baada ya kuziruhusu timu...
Aliyekuwa kamishina wa pollisi kamanda Abdalah Msika baada ya kustaafu sasa ni mkufunzi wa walinzi katika mgodi wa Barrick buzwagi kitengo cha ulinzi( Training security superintendent), hii...
WAKATI EWURA WAMETANGAZA BEI KUSHUKA KAMA WALIVYOONYESHA HAPO CHINI ASILIMIA 80 YS VITUO VYA MAFUTA WAMEGOMA KUSHUSHA BEI NA KUACHA KAMA ZAMANI ;;NDUGU ZANGU EWURA MNATUAMBIA NINI KWA HILI AMA...
Wana JF sasa hivi tupo hapa Igunga hospital usiku huu, kijana wa CCM aliyekuwa anabandika mabango kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za CCM kesho, ametekwa na vijana wa CDM na kumwagiwa tindikali...
Mwanamke mmoja wa nchini Bangladeshi ameukata uume wa mwanaume aliyejaribu kumbaka na kisha kukipeleka kipande cha uume wa mwanaume huyo polisi kama ushahidi.
Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka...
Wapendwa nawasalimu wote na kuwapa pole kwa mpigo katika kipindi hiki ambacho kwa uzembe tena Taifa linalazimika kuombolezea Maisha ya ndugu zetu huko Zanzibar, poleni na MUNGU awaerehemu. Amen...
Mahojiano ya awali yaliyokuwa yakifanywa na kikosi kazi kinachoundwa na maofisa kutoka vyombo vitatu vya dola dhidi ya Mwanasheria na Mwanaharakati maarufu nchini, Kainerugaba Msemakweli, kuhusu...
Rais mstaafu Mh Benjamin Mkapa kwa maneno yake mwenyewe alisema amestaafu siasa kabisa! Uwepo wake Igunga una justification gani kwa mzee huyu tunae mheshimu? Kwanini sasa asijibu kashfa zinazomuhusu?
Kufuatia ajali ya meli iliyopoteza maisha ya watu zaidi ya 200 huko zanzibar, ni vyema vyama vya upinzania hapa nchini vikaanza kujenga utaratibu mbadala wa kuonyesha kuwajibika ambapo waziri...
Wana Jf 10/09/2011 Jamhuri yetu ya Tanzania ili pata msiba mkubwa,lakini wakati msiba huo unatokea hata baada ya masaa 10 kupita bado TBC1 kituo cha Habari cha walipa kodi cha Taifa hakikuweza...
Pongezi za dhati ziwafikie wana JF wote waliochukizwa na mwenendo wa unyanyasaji wa sisi staffs wa uba pamoja na JF yote kwa ujumla.
Nilipost hapa jinsi ma boss hao walivyojihisi wako juu ya...
Na Freddy Macha
YARABI, ni saa tisa usiku. Bado niko ndani ya kiberenge. Ndiyo tumeingia mtaa wa Finsbury Park. Kwa kawaida basi lisingepita njia hii ila barabara zimefungwa fungwa. Kutokana na...
wakuu naomba ushauri wenu! Nina mahsiano ya kimapnz na huyu dada ya pata mie 9 sasa. Simjui ndg yake hata mmoja, wala hamjui ndg yang yeyote hata kw2 hakujui. Lakini ametokea kuniamini kpta kiac...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.