Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Serikali ya tanzania inampango wa kuanzisha kutoa elimu ya juu kwa njia ya mtandao ili kulabilian na tayizo la wahadhiri. Proffesa Wilbard Abeli Mkurugenzi wa Elimu ya juu Tanzania amesema hili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wachungaji wa KKKT jimbo la Iringa wamwandikia barua askofu Mkuu wa Kanisa la KKKT na kopi kuipeleka kwa JK wakimlalamikia Bishop Mdegela. Soma attachment.
0 Reactions
29 Replies
9K Views
Ndg zangu! Ahadi ni deni! Tuna ahadi toka ndani ya Bunge le2 tukufu ya waziri mkuu ya kwamba ifikapo tarehe tajwa hapo juu hakika mgao wa umeme hapa nchi imekwisha na nafikiri Watanzania wote...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Human tail: Just Nature Going Wrong! Animals use their tails in a variety of ways. They provide a source of locomotion for fish, land animals use them to brush away flies, some animals use...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Jamani habari za mchana,habari ya KAGODA imeshia wapi? sijasikia serikali kuwakamata watuhumia zaidi ya kusikia mtoa ushahidi kuhojiwa,je kuna progress yoyote katika hii kesi?naomba kujua maana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mara nyingi kila ukisikia mojawapo ya hotuba za Jk anasema kwamba" namnukuu: Tanzania ni moja wapo ya nchi ambazo uchumi wake unapanda kwa kasi sana! Mwisho wa kumnukuu. Kila siku najaribu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna ubaya gani kurudisha jina letu la Lweru kama ilivyokuwa zamani badala ya kuendelea kutumia jina la Victoria eti kwa heshima ya aliyekuwa malkia wa Uingereza?(Lweru-Ziwa Victoria)
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzanian President Kikwete Accused of Accepting Bribes September 6, 2011Dr.Shem 2 Comments...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
embu jiulize \umempa nini MUNGU unapata mlo wote na unamwaga chakula bado samahani watoto chini ya miaka 18 awaruhusiwi kuangalia
0 Reactions
12 Replies
3K Views
source: http://www.wavuti.com/4/post/2011/09/kero-za-t Daily News | Dock workers union petitions govt over TICTS shares TICTS lawamani kwa upotevu wa mizigo DOCK Workers...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
BBC imegundua kuna biashara ya wanawake na watoto wa kike nje ya nchi,biashara hiyo imeshamiri sana jijini Dar,wanawauza kwa bei ya juu kwa nchi kama,China,Korea.Saud Arabia etc,na huko wanaenda...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu habari za majukumu? Leo nimekutana na kali ya mwaka katika duka la Shivacom lilopo Samora Avenue karibu na makutano ya Morogoro road na Samora avenue, wanaopafahamu ni karibu na JJ...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Marekani imekumbwa na janga la moto,moto umbao hadi sasa umeunguza ekari 3.5 millioni na kuua mtu mmoja kwenye jimbo la TEXAS,moto huo kwa leo umeingia kwenye eneo la ekari 25,000,inasemekana kuwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna wimbo wa umefanywa na wasanii mbalimbali wa hapa nyumbani Tanzania ktk kuazimisha miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika ingawa wenyewe wanadai miaka 50 ya uhuru wa Tanzania. Jambo linalonisikitisha...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Jamani ni mtazamo tu, ila waamdishi wa luninga ya ITV wamepitiliza, suti mbaya zimepitwa na wakati kwa watangazaji wa kiume na tai za kigoloko.
0 Reactions
24 Replies
2K Views
TAFUTA SHULE BORA KWA AJIRI YA MWANAO Tembelea Schoolbook Classic | Homepage or pofya hapa Wakati wazazi wengi wanapoingiwa na wasiwasi ni vipi watoto wao watapata elimu bora ya kukidhi maisha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wapenzi wana JF, Kitendawili... Je hapa ni wapi?
0 Reactions
20 Replies
4K Views
kwa mujibu radio ujerumani,idhaa ya kiswahili leo mchana.vipande mia saba vya meno ya tembo yenye thamani ya USD MILIONI MOJA vimekamatwa nchini malaysia vikiwa katika shehena ya kontena mbili...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kiungo nguli wa kibongo anae kanyaga ndimu pale canada Nizar Khalfan leo aliitembelea white house ya tz!<br /> Akiwa sambamba na wadhamini wake aliweza kumsalimia rais na kutoa msaada wa jezi ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jana nimesoma habari kwenye gazeti la Nipashe kuwa, walinzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili walilizuia lori lililokuwa limebeba maiti wengi kutoka nyumba ya maiti hospitalini hapo, baada ya...
1 Reactions
73 Replies
7K Views
Back
Top Bottom