Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Gazeti la The African la leo Jumapili 04/09/2011 kwenye ukurasa wa mbele limechapisha picha ya ukumbi wa Nyantare uliopo Tabata Bima D'Salaam kuwa kabla ujenzi eneo hilo lilikuwa la wazi,pia...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Alabuliwa Risasi Ya Makalio Akizini Ndani Ya Gari Jeshi la polisi limekumbwa na kashfa nyingine baada ya askari wake kudaiwa kumpiga risasi msichana wa miaka 16 baada ya kumkuta akivunja amri...
1 Reactions
70 Replies
7K Views
Katibu mkuu wizara ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi Patrick Rutabanzibwa amehukumiwa kwenda jela kwa muda wa miezi 6 au kulipa faini ya sh 500,000 kwa kosa la kudharau amri ya mahakama...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kutokana na giza tororo linaloendelea hapa tz wengi wetu tumekimbilia solar na wind mil.mimi nikiwa mmoja wao tatizo linakuja hiv charger inakuwa haitoi moto unaotoka kwenye invetor nimemleta...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Dar es Salaam, Tanzania (PANA) - Tanzania's controversial opposition leader, the Reverend Christopher Mtikila alleged Friday that ruling Chama cha Mapinduzi (CCM) presidential candidate Jakaya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Surprise six-figure salaries - Spends 16 hours a day washing windows (6) - CNNMoney Spends 16 hours a day washing windows 6 of 10 Name: Alexander Tzamburakis Job: Window washer Salary...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
wote tunakumbuka kuwa kipindi cha kampeni JK na ccm waliiwaahidi waislamu mahakama ya kadhi..sasa hivi hata kabla mwaka haujaisha kawageuka ..sasa hii tuiite ni kitu gani? .ina maana hata zile...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
ndugu zangu kuna maeneo mengi nimefanya uchunguzi na kubaini wageni wanafanya kazi hata bila kibali cha nchi cha kazi ( working permitt) je ndugu zangu hili mmeshaliona? au na serikali yetu...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron ameliambia bunge la nchi hiyo (House of Common) kuwa, ujenzi wa Libya baada ya Gaddafi utatumia rasilimali za libya yenyewe akimaanisha oil reserve iliyopo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ama kweli ukistaajabu ya musaa utayaona ya masaburi nimesoma gazeti moja lyumba amekamatwa na simu gerezani jamaa wakampeleka kituo cha polisi kumfungulia jalada wakiwa wanatoa maelezo mkuu wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Askari polisi mmoja ambaye ni daktari amekamatwa na jeshi la polisi wilayani temeke kwa tuhuma za kubaka mgonjwa wake!Daktari huyo ambaye anafanya kazi kama part- tyme ktk zahanati moja...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Exclusive: Meet the human goat Miracle ... The bizarre human-like creature born from a goat THESE are the shocking pictures of the human-like creature born from a goat in central Zimbabwe...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Ni kiburudisho kilichotokea kupendwa na jamii ya kitanzania na hata nnje ya mipaka yetu,chakushangaza kiburudisho hiki kimekukuwa adimu kwa siku za hivi karibuni. Kuna tetesi nimezisikia...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Hili linawatatiza wengi hawajui au hatuelewi, je Combat ndio magwanda au ni tofauti? Kwa mwenye kufahamu hapa jamvini tunaomba atudadavulie.
0 Reactions
16 Replies
8K Views
BY FLORIAN KAIJAGE 4th September 2011 New Bahari Beach Hotel Even before its official opening, $20m Bahari Beach Hotel in Dar es Salaam stands to fall in the category of the international...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wateja wa vodacom ukitumiwa meseji hii ya promosheni usifanye chochote kwa kujibu maswali ukifikiri ni bure ukiweka pesa yako wanakata...hizi promosheni ni wizi mtupu usione neno bure ukaona...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais Mtahaahafu Nyerere ana watoto na marafiki, Rais Mtahaahafu Mwinyi ana watoto na marafiki, Rais Mtaahafu Mkapa ana watoto na marafiki. Wote walikuwa ma rais wetu,walikuwa na marafiki wengi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tangu ilipoanzishwa radio one miaka ya 1994 na baadaye ITV nilikuwa napenda sana kusikiliza habari zao kwa sababu iliingia hewani wakati wengi wetu tukiwa tunajua idhaa moja ya RTD. Ilipoanza...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Week kadhaa zilizopita wabunge wawili wa mkoa wa Dar es Salaam walimpa week mbili meya wa jiji kuwaomba msamaha kwa kile walichokiita kuwakashi na kuwatukana na kama asingefanya hivyo waliahidi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Unajua kila mtu anapozaliwa anatarajia kuishi maisha ya amani utulivu na mazuri akuna anaezaliwa na kusoma na kusema aisee nikimaliza shule natarajia kuwa na maisha magumu sana huyu kama yupo basi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom