chadema wanaongoza kwa kuwa na watu 13 mpka sasa hivi waliojitokeza kuchua fomu za kugombea ubunge jimbo la igunga kwa tiketi ya chadema, ccm ni 7, cuf 1
(CNN)In a few minutes, the festive mood of a summer concert turned tragic after a massive burst of wind tore down a stage at the Indiana State Fair on Saturday night, killing at least five people...
Mbunge Suzan (CHADEMA) amewasha moto ambao serikali haikuutarajia.
Alitumia kipindi cha maswali kwa Prime Minister kuiomba majina ya maaskofu wauza unga.
Tunajua wote Pinda alisema kuwa ni...
Naomba kuuliza hivi utamaduni wetu waTanzania ni upi haswa?!
utamaduni wetu ambao watu hua wanautumia kupinga mambo kibao japo haujulikani (maana ukiwaomba wauelezee wanashindwa) huo...
EWURA kutangaza tena bei mpya kesho
Na Flora Wingia
14th August 2011
B-pepe
Chapa
Maoni
Inaweza kupanda kidogo
Mamlaka ya huduma ya Nishati na Maji (Ewura), imesema...
Ametaka serikali kushughulikia tatizo la ufisadi! Amesema serikali yoyote ile inayonyenyekea watu wachacha kwa gharama ya wengi ni ya kisaliti!
Chanzo ITV!
Je hii mipango yote bajeti yake iliyotengewa bado ipo au ndo imeingia kwenye mifuko ya viongozi wetu wajasiriamali?
1. Magari yaendayo kasi.(DSM)
2. Fly overs(Miji yenye foleni kama...
Mungu katuumba wanadamu na kutupatia akili kumiliki na kutawala viumbe vyote vilivyopo ardhini. Mwanadamu katika uumbaji alikuwa mwa mwisho na baadae Mungu akapumzika na kuangalia vitu vyake...
Niliwahi kusema huko nyuma wazungu anapokuona wewe mtu mweusi ikiwa kwenye train, busi au unakwenda kwa miguu kitu cha mwanzo kinachomjia katika akili yake ni matukio katika bara la afrika ikiwa...
Na Thobias Mwanakatwe
14th August 2011
Mikutano ya hadhara inayoendelea kufanywa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Mbeya Mjini jijini hapa, imeanza...
Mhusika tafadhali naomba ufuatilie swala hili kwa umakini.
Nondo za ujenzi ni muhimu sana na hasa pale inapokuja wakati wa kumwaga zege kamilifu lakini.
Kuna habari inayoendelea mtaani (...
Unajua mama yangu alinifundisha chizi sio lazima ushike makopo mwanangu ukikosa ufahamu ni ugonjwa
zaidi ya uchizi na heri yule anaetupa makopo akipewa dawa anatulia lakini hilila ufahamu hata...
Ni siku ya ijumaa tulimzika huyu mzee wetu huko Sae mkoani Mbeya..Emilio alikuwa baba,mwanazuoni,mwanaharakati na kiongozi mwandamizi ktk chama cha wafanyakazi mkoani Mbeya..Mzee Emilio...
Salma Said,
WAISLAMU nchini wametakiwa kuifanya misikiti iwe kwa dhamira za kuendeshea ibada na kuendeleza manufaa ya elimu ya dini na mambo mengine ya kheri ikiwa ni pamoja na kusomeshea darasa...
Kama mnavojua hapa Dubai kuna jengo lina Gorofa 170 sasa basi muda wa futari ukifika kwakuwa walioko gorofa ya 170 wao huchelewa kuona jua likizima hvo hvo huchelewa kufturu. Mpango upo hivi gora...
Katika kitu kinachonikumbusha mfungo huu ukiacha nikule mh kanumba mwaka usiojulikana
aulizwa jengo la big brother vipi mbona ulikaribu akaunga am sorry am close wewe nini kitachakumbusha
mfungo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.