Mimi naomba kuuliza vyombo vya Serikali Usalama wa Taifa,takukuru,naTAA.huyu bwana Devid ngarapi ni mwezenu au yeye ni nani tumechoka vitisho vyake pale cargo gate no 6c Julius Nyerere...
WAZO!
If Watu wengi kama hawa hapa chini wanaweza ku-browse thread mbalimbali hapa JF in realtime ni hakika MOD anapata shida sana ya kulipia garama nyingi sana za kiofisi kama vile kumentain...
Nasikia huyu dada waziri wa ardhi eti anataka kukugeuza eneo la Jangwani iwe ni bustani kubwa ya jiji la Dar es salaam.
Hivi itawezekana kweli au anataka kututia changa la macho tu ?
Believe you, me, there are a whole lot of contradictions between Islam
and human rights whatever the 2003 Nobel Peace Prize winner Shirin
Ebadi...
Believe you, me, there are a whole lot of...
Akihitimisha hoja za bajeti ya Wizara yake 12/08/11 Dr. Nchimbi amesema kuwa kipindi cha Big Brother ni kero na serikali haikuingi mkono. Wakati akisema hayo wabunge wengi walionekana kupiga...
Mimi naomba kuuliza vyombo vya Serikali Usalama wa Taifa,takukuru,naTAA.huyu bwana Devid ngarapi ni mwezenu au yeye ni nani tumechoka vitisho vyake pale cargo gate no 6c Julius Nyerere...
In most of families of African origin when chicken is served the gizzard is taken by the father only or given to the very important male visitor. Why this part of chicken is only served to men in...
Kwa wale wakazi wa mikocheni maeneo ya kwa nyerere kalibia na clouds fm
kuna jengo moja kubwa inasemekana ni Night club ya kisasa ambayo itaifunika
billicans ya mbowe.
Hii ni nght club ambayo...
Ni muda umepita na umeanza kusahaulika,lakin ujasir wako ktk maamuzi ya manufaa kwa askari wadogo,inatufanya tukukumbuke AFANDE MAHITA,mwenzako huyu kwa vile ameteuliwa KISIASA,yaani ndio...
Wana Jf habari zenyu.
Kuna mwl mmoja wa international school moja Moshi alimteka mwanafunzi wake ili alipwe pesa. Ilitawala sana media mwanzoni mwa mwezi huu. Je huyo mwl alikamatwa?
Mtoto...
Mwalimu anayetuhumiwa kulawiti wanafunzi wa kiume katika shule ya msingi Kwamaksau, katika kijiji cha Mengeni chini, Wilaya Rombo alianza unyama huo miaka 20 iliyopita, imeelezwa.
Uchunguzi wa...
Jamani sina elimi ya juu sana lakini nina miradi inayonifanya niishi mjini. Je nikienda ughaibuni nitaboresha maisha na kipato changu au nitayaangamiza? Wenye uzoefu naombeni msaada wenu.
Nimeamini nchi hii inaendeshwa na wafanyabiashara,yaani ndani ya wiki moja Serikali imetangaza punguzo la bei ya mafuta, baada ya wafanyabiashara kugoma kuuza kwa bei iliyotangazwa na serikali...
Wandugu habarini za w/end?naishi Arusha nategemea kusafiri na kuelekea Dar kesho,nia na mazumuni ni kutaka kujua wapi haswa nikiwa Dar naweza kupata hizo suruali kwaajili ya wamama...
nimekuwa kwenye mpaka wa malawi na tanzania, kufika jioni mpaka unafungwa eti hakuna tena muvumenti za malawi tz. kibaya zaidi funguo za gate anazo inchaji halafu hayupo getini. inapotokea...
Nikiwa maeneo ya Sekei nimesikia risasi zikirindima sehemu za ikulu ndogo.
Baada ya kuulizia nikaambiwa kuwa kuna vijana walitokea kwenye vichaka vya mtoni wakapanda juu ya paa la ikulu bila...
Watanzania ni vizuri mafuta wanunue kwa wale tu ambao hawakuweka Mgomo... Wale waliojifanya kuweka Mgomo nao wananchi vizuri wafanyie mgomo na mafuta yao sababu hawana upendo kwa Watanzania.
Arsenal have reached an "agreement in principle'' with Barcelona for the sale of captain Cesc Fabregas, both clubs have confirmed.
GettyImagesCesc Fabregas will undergo medical in Barca
Pep...
Mlianza na mgao wa maji tukakubali,ukafuata wa umeme tumekaa kimya,mmeleta wa mafuta tunaumia, chondechonde msilete mgawo wa bia, hapo hatutaelewana coz hizo ndo zinazo tusaidia kuduwaza akili...
Nimejaribu kujiuliza kwanini malipo ya kituo cha matangazo ya television cha DSTV yanafanywa kwa dollar! Ina maana hata wao(dstv) wanalipa kodi kwa USD? Kwa kifupi ni kwamba hawa jamaa bei zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.