Wakati wa msiba wa Mwandishi Mwandamizi wa New Habari 2006 Ltd ilisikiaka ahadi iliyotolewa na mmiliki wa kampuni hiyo Mh. Rostam Aziz kwamba ataendelea kumlipa mke wa marehemu mshahara wa Danny...
KATIBU MKUU OFISI YA RAIS AMBAYE ANAKARIBIA KUSTAAFU AMEKUWA NA MIKAKATI MINGI IKIWEPO KUWAPA NYADHIFA WATU WA MKOA WA IRINGA HATA KAMA PALE WANAPOKUWA HAWANA SIFA STAHIKI.
HIVI SASA AMEANZISHA...
zembwela muda huu ninapoandika hii post yupo east africa radio akiwaponda wabunge wa chadema,akisema labda akina lisu wamekulia ktk mazingira magumu,sasa mbona huyu zembwela jamani hata hafanani...
Kuendelea kuwa na viongozi kama katibu mkuu kiongozi bwana Philimon Luhanjo ni mzigo kwa maendeleo ya taifa. Tunahitaji watu wenye maono na wa kweli katika kulitumikia taifa. Hoja za kinafiki na...
Wana JF nimekosa Forum ya kushare hili ila nimeona ni la muhimu kwa Watanzania wote.
Scientist 'smuggled woman from Africa to work as slave in her home' A scientist at one of the world's...
Scientist 'smuggled woman from Africa to work as slave in her home' A scientist at one of the world's leading medical research institutions smuggled a young woman from Africa to work in the...
Kwa baadhi ya members kuanzisha thread za kichokozi na hasa zinazoudhi pia wengine posts zao zinatoka nje ya mada husika.
Tubadilike ndugu zangu.
Ni vyema tukahabarishana matukio muhimu na pia...
Ningetaka kujua msimamo wenu kuhusu utoaji wa mimba. Binafsi, ninyi ni kwa au dhidi yake? Unadhani ni bora abortion iwe legal au illegal? Kwa sababu gani? Kama ungeshika mimba ila hutaki kuwa na...
Hivi jana nilikutana na mtu mmoja akaniuliza kama kweli watanzania wanaipenda nchi yao kwanini wanaficha ID zao kwenye JF. Akadai unapoamua kuwa patriot utakiwi kujificha mnasemaje wana JF je hoja...
Chama cha Mapinduzi.(MAGAMBA)..wana mpango wa kufungua Tv yao..Itakayoitwa UHURU TV...
na hawa ndio watakaosimamia kazi ya uanzishwaji wake
1.Abdulahaman Kinana
2.Zakia Meghi
3.Wiliam Lukuvi...
The Al Jazeera Media Network in Doha, Qatar will be establishing Al Jazeera Kiswahili, a new, regional news and current affairs media network in East Africa. The network will produce regional news...
Badra Masoud funguka mdada, tuambie wananchi kama mgao kwishnei au ni aje maana tunaona siku hizi umeme hatukatiwi....Ndo kusema bwawa Mtera limeshajaa au huu umeme watokea wapi??!!
wakuu na waajamvi.
serikali ya CCM ina jaribu jaribu kugusa gusa mambo ili uboresha utendeaji wa serikali. Kuna mambo mengi na mradi inaazishwa, inafanyiwa mareekebisho iwe ni umeme, elimu...
Kuna jamaa kutoka Zambia alikuja kuhudhuria harusi ya rafiki yake wa kufa na kuzikana mtoto wa Jaji Mark Bomani, Clement Bomani, amekufa baada ya kupiga mitungi ya nguvu pale kwenye ukumbi wa...
Mwanamke mmoja ameunguzwa na mumewe ambae alimtuhumu kuwa alizima simu kwa sababu alikuwa akifanya uzinz,tukio hilo limetokea moshi,ambapo mwanaume huyo aliporud alikua amelewa chakali,alimkuta...
Haaaa haaa kumbe na wao inawakumbuka niko kuelekea nyumban nasikia clouds fm wanasema mh zitto kabwe
amekatwa nywelenusu kichwa baada ya umeme kukatika na baada ya hapo ilibdi msamaria mmoja...
Mwalimu Mkuu msaidizi wa shule ya Msingi Mchuchuma, wilaya ya Ludewa, mkoani Iringa Bw.Joseph Thomas Lugome (58), akionyesha darasa la saba ambalo limekuwa likisomewa pia na wanafunzi wa...
From FINNIGAN WA SIMBEYE in Dodoma, 30th July 2011 @ 20:00
DAILY NEWS
TANZANIANS who have assumed foreign nationalities will get permanent resident permits starting next year as government...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.