Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wana JF poleni na majukumu Nashindwa kuelewa kuhusu hiyo inayoitwa nyongeza ya mshahara ya mwaka huu, wataalam tusaidieni, hivi hii ni nyongeza ya kawaida ya mshahara ya kila mwaka au ni nyongeza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
na Hellen Ngoromera na Grace Macha MGAWO wa umeme unaoendelea nchini hivi sasa umepungua hasa katika Jiji la...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimekuwa nikishangazwa na hili,ni kwa nini gazeti la Mwanahalisi huwa halipewi nafasi na almost formal institutions zote? kama vile vyuo(serikali na private),maktaba mbalimbali za mikoa n.k,kwy...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba tuongelee maadili kidogo. Katika taasisi zetu kuna maboksi yamewekwa kwa ajili ya kuwekea condom. Kwa maana ya kwamba wanasogeza huduma karibu na watu. Inawezekana ipo maana na lengo zuri...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Are you considering yourself a failure just because you have failed to attain a goal you set to achieve? Do you think successful people we know today never failed before? Never quit,join me in...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Picked this from somewhere, thought I should share with you: ---------------------------------------------------------------------------- I don't know what you guys are paying for petrol...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Watanzania waishio japan wameomba serikali kuharibu samaki za japan na kudai zina sumu polen sana ahsanten kwa hilo ingwa too late wengine wameanza kupasuka miudomo na miguu siku nyingine...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wandugu kuna wanajeshi watatu wanakamata pikipiki hapa lugalo wasio na helmet na ambao wanapita pembeni mbaya hata wakiovertake wakiwa barabarani wanwasimamisha alafu wamewatenga wa kulia na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Pamoja na bajeti ya kambi rasmi ya upinzani bungeni ya wizara ya mambo ya ndani ya nchi kulitaja jeshi la polisi kuwa ndio taasisi inayoongoza kwa kuomba na kupokea rushwa na changamoto...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jana na leo magazeti yamekuwa ya kitangaza kuanza mpango wa kuuza viwanja vya Tabata Kinyerezi! Lakini cha kushgangaza ni hizo bei! Hakika mtanzania wa kawaida kiwanja kilicho pimwa atakisikia...
0 Reactions
81 Replies
15K Views
Naamini hii siyo mpya wazee. Serikali yetu yaendeleza uovu dhidi ya wananchi wake. Kama kuna mtu hajaipata hii basi soma ... Guardian on Sunda | 3rd July 2011 By Henry Muhanika An...
0 Reactions
2 Replies
880 Views
Fikiria: Ni sawasawa na kwenda mpirani halafu refa anakataza chenga zisipigwe, mashabiki wasishangilie, furaha isioneshwe na magoli yasifungwe. Na yakifungwa, mfungaji asishangilie kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Closed
Ndicho pekee anachoweza kwa sasa,Hivi kaoa au ndio anakwenda kuchagua Mke jamani,hata kama ameoa,atakuwa anampango wa kuongeza,kwa hiyo anataka kwenda Kuchagua kama MSWATI!!Lakini atakuwa pia...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Ndugu wapendwa ni wiki mbili tu baada ya kuiba pikipiki sasa waheshimiwa wameamua kuiba gari <br /> gari moja imetekelezwa asbh ya leo muda si mrefu baada ya watu wasiojulikana kuiiba na kuja...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Bus la sumry limepata ajali na kuuwa jana mbeya (gazeti la leo mwananchi)
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna sms nimetumiwa kuwa vituo vya mafuta kesho vitagoma rasmi kuuza mafuta baada ya kupokea barua ljumaa kutoka wizara ya nishati na madini kuwaelekeza washushe bei. Nunua mafuta ya kutosha leo.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Just read it....
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rwanda Civil Aviation Authority (RCAA), yesterday, honoured a police officer for his outstanding honesty after he handed to authorities a bag containing US$40, 000 (approx Rwf24m), which had...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimekuwa nikiona katika vipindi vya habari vya ITV watu wenye matatizo mbalimbali wanaomba misaada kutoka kwa wasamaria wema. Je ile wizara ya ustawi wa jamii ipo? Na kama ipo kazi yake ni nini?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Salaam Alyeikum Tunakaribia kuanza mwezi mtukufu, mwezi wa toba na kumrudia Muumba, nikiwa kama Ndugu na jamaa wa karibu wa ndugu zangu waislamu nawatakia maandalizi mema na saumu njema kwenu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom