Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Tarehe 25 julai itakuwa ni siku ya Mashujaa,ambapo mashujaa waliomwaga damu kwa ajili ya Tanganyika yao wanaenziwa,mashujaa hawa walipinga ujio wa utawala wa wakoloni kama vile wajerumani na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Viongozi wa Dini Wakiri Kuhusika Na Dawa za Kulevya Viongozi sita wa madhehebu ya dini wanaojihusisha na biashara haramu ya dawa za kulevya nchini, wamejitokeza mbele ya Kamati ya Maadili ya...
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Serikali kupitia shirika lake la umeme inawabagua wananchi wake kwa vigezo vya wenye nacho na sisi wabangaizaji, maeneo ya wakubwa mgao kiduchu lakini huku uswazini kila siku mgao, hata watu wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Saturday, May 8, 2010 MPIGANAJI ATHUMANI HAMISI APATA MAPOKEZI YA KISHUJAA Mpiganaji Athumani Hamisi ambaye alikuwa matibabu sauzi kufuatia ajali ya gari mwaka jana akipokea maua toka kwa Bi...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Itakuwa vizuri tanesco na serikali ya CCM zibaidiliehse majina ya miradi yake inayoendelea hivi sasasa vijijini ma wilayani. Badala ya kuitwa mradi ya Kusambaza Umeme iiitwe Miradi ya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
pole sio wewe hii sijui ni kaugonjwa jamani ama niwatanzania tuko wavivu atupendi kufanya kazi..nani amekwambia kubeba zege sio kazi kuna watu wanaishi kwa kuzibua vyoo na watoto wanaenda choo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
za asbh wana jf mmeamkaje najua si woe awapendi kwenda kkanisan wengine wanafanya kazi na wengine wamejawa na mawazo bila kujua leo ni siku ya jumapili kumwabudu Bwana Mungu si mbayaa kukumbusha...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuna wimbi kubwa la viongozi wa kisiasa na wasomi wa kitanzania kuingizwa mjini na watu wanaojidai kutoa tiba mdala. Imekua ni kawaida kusikia mtu anatibu na kumaliza kabisa magonjwa sugu kama...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mhariri wa gazeti la Rai, ambaye pia ni Naibu Mhariri Mtendaji wa New Habari (2006) Ltd, Danny Mwakiteleko, amefariki dunia. Habari ambazo blogu ya Beda Msimbe, "Lukwangule Ent." alizozipata...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana jamvi habarini za leo. Nilikuwa napitia financial report za kampuni ya TanzaniteOne (ambazo hazijakaguliwa bado) inayofanya shughuli za uchimbaji madini ya Tanzanite Mererani Simanjiro. Kuna...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Muda mfupi uliopita rais Jakaya Kikwete amehudhuria mazishi ya Mbunge wa kwanza wa Muleba David Bakanyoma Zimbihile(80) katika mtaa wa Bugombe kata ya Muleba akiwa na My wife wake.Kinachojadiliwa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Naibu Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya New habari (2006) Danny Mwakitereko amepata ajali ya gari jana usiku, jijini Dar es Salaam. Amefanyiwa upasuaji wa kichwa, katika Taasisi ya mifupa Muhimbili...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Yule msanii aliyenusulika katika ajali ya 5star amepatwa na msiba mwingine baada ya mke wake kukutwa amekufa Guest house.Musiba umefanyikia kwa Baba yake Issa ambaye anaishi k/koo na maziko...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hali ilivyo sasa ktk nchi hii nadhani sijakosea kusema yakuwa tuko vitani na adui tunaekabiliana nae ni GIZA.Wakati huu ambao adui ametuzidi nguvu kamanda wetu ameondoka kwenye uwanja mapambano na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa siku kadhaa nimekuwa nikifuatilia nyendo za rais watanzania Jakaya Mrisho Kikwete. Mwezi huu huu alikuwa katika mji wa Bukoba kwa ajili ya kufunga maonyesho ya ushirika yaliyofanyika Bukoba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siku chache baada ya ccm kutangazia wanachama wake ambao wamekua wakitajwa kuhusika na vitendo vya ufisadi kwamba wanatakiwa kujiuzulu nafasi zao za chama katika muda wa siku tisini,kuna habari...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Nimejaribu kusikiliza muelekeo wa michango ya wabunge wetu,baraza la mawaziri na wadau mbalimbali kuhusiana na budget 2011/2012 napata masikitiko.miaka 50 baada ya uhuru bado tumejikita katika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani angalieni mabega na mtu mwenyewe alafu tuone kama hatukufanya kosa ambalo linatutesa hivi sasa.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukifuatlia kwa umakini sana utaona kuwa viongozi wa Nchi Masikini sana duniani kama vile Tanzania (Ikumbukwe kuwa Tanzania si masikini isipokuwa ni ubinafsi wa viongozi wetu ndiyo maana tunaitwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kauli hizi kwa hakika zinanikera.... I. Wakulima kuzuiwa kuuza mazao yao eti kisa huenda kukawa na uhaba mkubwa sana wa chakula baadaye! kauli hii huwa inatolewa na viongozi katika namna ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom