Kamishna wa TRA ndg E. Kitilya Ngoka?
Tanzania kwa muda mrefu sasa tumejikuta tukishuhudia watendaji wa Serikali wakiwa kwenye nyadhifa kwa muda mrefu bila ufanisi na wala kubadilishwa kwa...
Gamba limetoka ingawa kwa shinikizo ndani ya Watanzania na mchezo ya siasa za makida makida za ndani ya ccm. Yasadikika sasa mh. Rz yupo Uswisi anapumzika baada ya siasa za mchosho. Je, nikweli...
Wakuu,nimekua nikifuatilia kwa muda mrefu hizi adhabu za mahakama,lakini napata tatizo kidogo.Kwa mfano gazeti la leo la mwananchi ukurasa wa 8 wameandika habari ya Raia watatu wa China ambao...
Kuna mama mmoja Nairobi anatibu meno kwa kutumia mitishamba (sio uganga). Nilimuona kwenye Citizen pamoja na wateja wake. Kikubwa sana anachokifanya ni kusafisha meno na kuwa meupe pee.
Kuna watu...
Ivi jana ulikuwa na matatizo gan au ulikuwa unafikiria ukaweka bonge la topic eti Jf siku izi ni ze utamu_kabla hata jogoo hajawika kufuli hilo_enhe waelezee wandugu kupitia forum ulitaka...
Wiki iliyopita nikitokea Dar kuelekea Nairobi na ndege ya asubuhi sana (inaondoka Dar around saa kumi usiku), Kutokana na matatizo ya mawasiliano (Nairobi) ndege nyingi zilizokuwa zinaelekea huko...
Nawasilisha maombi kwa yeyote mwenye nakala za hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi kwa wizara ya nishati na madini kutoka kamati ya nishati na madini na ya msemaji wa kambi ya upinzani kwa...
Ndugu Zetu waislam wamekuwa wapambanaji wazuri sana kushinikiza akina mama/dada wavae nguo za staha! Sikuwahi kutafakari kwa kina sababu za hawa ndugu zetu kukomalia suala la mavazi ya staha kwa...
ni kule sauzi wanako randaranda mitaani na baba ritzi wani wakati watz wanaendelea na maisha bora kwa kila mtanzania kwa ari zaidi, kasi zaidi na nguvu zaidi.
salima alijuta alipotembela kituo...
Kuna "TRUST" imezinduliwa juzi juzi na moja ya majukumu yake ni kushughulikia madawati kwa ajili ya shule za msingi/kata. Waziri mwenye dhamana ya mambo ya nje alisema hii chenji lazima irudi na...
Mh.Nape baada ya kiini macho cha kujivua gamba kwa mbwewe CCM ilitangaza kwamba watuhumimiwa wote walipewa siku 90 kujivua magamba na kama watafanya hivyo CCM itawavua yenyewe.Lakini kauli hiyo...
Makamanda, Itv ipo Live now, na kipindi chao cha kipima Joto . ok Joto lipo Juu mada ni VIKAO VYA BUNGE, nafuahishwa na mgeni mwanaharakati Iron Lady mama Anania Nkya anayocoment Mfano anasema...
Wana JF itabidi niilaumu serikali kwa kunifanya niwe mlevi kwani kila umeme unapokatika hasa usiku by saa moja najongea kwenye baa yenye umeme napiga laga zangu mpaka mida ya...
wapendwa wanajamvi, nataka nipate kausafiri kidogo nimechoka vurugu za daladala. Kuna mtu kaniambia ataniuzia toyota PLATZ kwa sh 8mn/= Je platz ni gar nzur wapendwa na je bei ni rsonable?
Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.