Naomba kuuliza kwa wataalamu wa mambo ya nishati wakiomo humu? Ni wapi naweza kutapa car battery charger ili niinunue na inverter niweze kupata umeme wakati huu wa mgao. Zipo za capacity gani, na...
WanaJF ;TTCL wametoa offer kamambe tangu saba saba, Na sasa bado inaendelea pale Ubungo Plaza(TTCL Office).Wanatoa simu za mezani(CDMA) zile zenye modem wireless BURE.Unachotakiwa ni...
Nakumbuka wakati wanatangaza mgao wa umeme, TANESCO walisema kuwa mgao huo hautaathiri maeneo kama mahospitali, vyuo vikuu na maeneo mengine muhimu. Lakini cha kusikitisha...
Tangazo kwa Umma.
Ndugu Watanzania tunasikitika kuwatangazia kuwa maji yaliyobaki Mtera ni ya kuchambia tu! Sasa tuamue tupate umeme na tubaki na mavi au tuchambe tukose umeme.
Asanteni, Ngeleja.
Ni jambo la ajabu hadi leo hawajatoa majina ya wateule wa kujiunga na vyuo..kwa hali hii hata HESLB nao itakuwa siyo...AMA KWELI MAMBO TANZANIA TIA MAJI TIA MAJI!
Zanzibar wanaowawakilishi wao katika baraza la wawakilishi. kazi kubwa ya wawakilishi hao ni kuwatetea katika maswala mazima ya maji safi, umeme, kilimo, afya na mambo mengine ya msingi katika...
By Felister Peter
14th July 2011
President Jakaya Kikwete is expected to lead a Tanzanian delegation to a historic business forum slated for July 19th this year in Pretoria, South Africa.
The...
Ndugu zangu, naomba tusaidiane kwa pamoja kutambua mambo ambayo sisi kama watanzania bila kujali itikadi za siasa, dini, Rangi, kabila,kanda na jinsia; mwisho wa siku yanaturudisha pamoja kama...
Kana kwamba wanafanya siri lakini kuna upuuzi unaoendelea mahakama kuu kwa kweli ni aibu kama rais ningekuwa na mamlaka ningetimua mahakimu na majaji na kubadilisha pale mahakama kuu...jamani...
Habar JF!.
Napenda kusikiliza kipindi cha Radio Tumaini asubh kwenye Kero. Leo wameongelea kero kwenye kijiji cha Kipinga lipo jimbo la mh Lukuvi. Wananchi wanakunywa maji machafu,hapo ndio kati...
jamani Watanzania wenzangu ebu fumbuka macho na akili zetu, ona uko Mtwara mwanamke anapigwa na mmewake kwa ajili tu amepata msaada, hali ambayo mwanaume kwa ufahamu wake mdogo na kwa kuwa yeye...
Mimi hili haliningii akilini kwa nini serikali iwanunulie mafuta IPTL? Naomba kuelimishwa....halafu kuna tetesi kuwa pesa za mafuta 61bn zimetafunwa kwa kupitia RITA na Waziri wetu wa gizani...
Sasa nakaribia mjini,mwenye salam za mwisho ukiacha nilizonazo anipe kabisa,mwenye barua,zawadi kwa mjomba,mwenye maswali wakati ndio huu tafadhali,mkisikia BOOOOOM mjue ntakua nimefika.....My...
Kizazi cha cha wanasiasa kama Nyerere, Karume na wenzao wengi waliweza kuhamashisha umma wa watanzania hasa vijana wa shule kuanzia waliokuwa ktk ngazi ya shule za msingi/ sekondari na vyuo vya...
Mtambo wa kwanza kati ya ile mitatu iliyoagizwa na serikali kwa ajili ya kuzalisha umeme wa dharura umewasili.Mtambo huu unatumia gesi na una uwezo wa kuzalisha megawatts 34.Matarajio ya serikali...
Nilikuwa naangalia documentary TBC siku moja wakionyesha harakati za uhuru wa Tanganyika wahindi na masingasinga walikuwa msitari wa mbele hata walikuwa wakijitokeza kwa wingi mikutano ya nyerere...
Hellow!
Mara kadhaa kumekuwa na taarifa ambazo zinachapishwa kwenye magazeti yetu ambazo aidha ni za uongo au zimepotoshwa ukweli,naomba wadau mnisaidie hivi taratibu/kanuni/sheria zinasemaje...
Kila mara kumekuwa na chokochoko sana si bungeni tu bali ktk vyombo vya habari na baraza la wawakilishi zenji, kwa nini wabunge au wasemaji wanaotokea zanzibar wakichangia hoja wanalalama kuwa...
Hii ni wazo langu binafsi na ninahisi na kushawishika kuwa jimbo la fisadi mvua gamba sasa litakwenda CHADEMA!
Sijui kwanini ninawaza hivyo tangu jana ninajiwa na ndoto hii kuwa jimbo la Igunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.