Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wadau natumaini mko salama naomba mnijuze mwenye mamlaka ya kubadili ramani ya ardhi mf sehemu ya tindiga yaweza kufaa kwa ujenzi iwapo utafuata ushauri wa kitaalamu japo utakuta kwny raman...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Waungwana salaam!! Kuna mahali nilikuta ubishi ambao kabla wala sikuwahi kufikiria endapo watu wangekuwa interested kufahamu hilo jambo!!! Ingawaje nami nilitamani kuchangia, lakini kiukweli...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
NHC now slaps 18pc VAT on rent 16th July 201 The National Housing Corporation has announced the addition of 18 per cent Value Added Tax on its due rents for residential buildings in a move...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
1. Utakuta mtu anatembea barabarani huku anavuta sigara hajali kuwa moshi wa hiyo sigara yake unakera watu 2. Mtu anatembea barabarani anatema mate au anapenga kamasi hovyo hovyo kila mahali bila...
0 Reactions
70 Replies
7K Views
Imeshapita kama miaka 14 hivi. Tukio hili lilitokea Arusha. Mama mmoja aliyekuwa anafanya kazi kituo cha afya alifikiwa na wageni wawili wanaume waliohitaji nasaha (si ushauri nasaha). Baada ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
WanaJF! Usiposiba ufa utajenga ukuta! Ni msemo ulikwisha nenwa kitambo na sasa inajidhihisha nyakati hii wakati Ndg,jamaa na hata marafiki wanavyozidi kutoweka kwa ajali ya barabarani. Basi la...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Nimeshtushwa kidogo na taarifa ya habari ya saa mbili ya ITV,kua serikali ilitoa masharti magumu kwa mwekezaji wa umeme? Ni kweli jamani,kama ni kweli basi hii serikali ni wauaji,wala hawafai tena...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu zangu jana nimesikiliza kipindi cha JUNGU KUU cha TBC taifa, kilichonishangaza ni kusikia eti wananchi wa Igunga 11 wamezimia baada ya kusikia mbunge wao kaachia ngazi, sasa kali zaidi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ni wapi hapa Tanzania kwenye baa au hoteli ambayo ukiagiza kuku mzima utaletewa pamoja na firigisi. Kwani firigisi siyo sehemu ya kuku?
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Samahani mazoea huwa ni mabaya au wakati mwingine huwa ni sheria. Nimezoea kuwaona wote katika shughuli mbalimbali, lakini katika hili kubwa bwana Yusuph anaoa EL hayupo. Kulikoni?
0 Reactions
34 Replies
7K Views
Wana JF, Wenye kujua hivi kwa nini mashirika ya ndege kutoka nje ya nchi na mengine ya ndani ya kwenye huduma zao nyingi pamoja na kuuza tiketi lazima ununue kwa dola za kimarekani, baadhi ya...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Mh. rais!!!!!!!!!! napenda kuishukuru siri kali yetu ya jamhuri ya muungano kwa kutuletea mradi huu wa kuzalisha umeme kwa kutumia mafuta mazito hapa jijini mwanza. kwa kweli hii ni faraja kwani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali ya Marekani imetangaza bayana kuwatambua waasi wa libya, Kwa mujibu wa vyombo vya habari ni kwamba pesa yote iliyopo Marekani ambayo ilikuwa chini ya serikali ya Gadaffi,sasa ni halali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Moshi ukifuka toka mgahawa wa Epidol unaowaka moto wakati huu na faya bado hawajafika... Habari zaidi baadaye kwa hisani ya Michuzi Blog
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ndugu wananchi, hasa wa Wilaya BAHI ninawasihi kwamba tusije tukathubutu kuridhia uchimbaji wa madini hatari sana ya Urani kwani madhara yake huathiri vizazi vingi sana. Kuna watafiti wengi sana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Je ungependa kupata shamba Bagamoyo-Kidomole kwenye barabara inayojegwa kuelekea Msata? Ikiwa jibu ni ndiyo hujachelewa na bei ni poa kabisa Tsh 1.2m per heka, simply just call me 0716099463
0 Reactions
10 Replies
2K Views
katika hali isiyo ya kawaida baada ya show ya chid benz kumetokea taharuki baada ya watu waliokuwa katikati ya uwanja kukimbia huku wakipiga kelele kitu kilichofanya watu wote kukimbia.kutokana na...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
tetesi eti, Dr sasa jimbo la igunga ni lake kwa hivyo kale ka mkakati ka shibuda kutoa nafasi katakuwa basi japo pale igunga Dr atafanya kazi sana kuwashawishi wale wapiga kura. Wadau hivi kwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu,wana Jf,kwa masikitiko makubwa nachelea kuituma hii post,kwa machungu!! Hii leo nchi iko kwenye aibu kubwa sana ya mgao wa umeme,usiyokuwa na kichwa wala miguu,badala yake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jumapili siku ya tarehe 10 mwezi huu kituo kimoja maarufu cha redio kilirusha kipindi kikimuhoji dada mmoja muathrika wa ukimwi aliyeombwa damu na mama mmoja ambaye anafahamiana nae. Lakini kwa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom