Wachezaji 13 wa Eritrea Waomba Hifadhi ya Ukimbizi Tanzania
Wachezaji 13 kati ya 26 wa timu ya kandanda ya Red Sea ya Eritrea walitokomea kusikojulikana baada ya kushiriki kombe la Kagame...
Jamani jamani kwa hali hii bunge linavoenda enda ipo siku tutashawishika kuingia mtaani kama kinachotokea ukanda wa kiarabu duniani....bado na shaka na uwezo wa huyu naibu spika na spika makinda...
Kikosi cha Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, kimekamata magari 10 yaliyoibwa katika sehemu mbalimbali nchini, yakiwa safarini kuelekea mkoani Shinyanga na Mara kwa ajili ya kuuzwa...
Naona kitambi kinaninyemelea, nafanya jitihada kuhakikisha kisitokee, hivi ukimuona mtu mwenye kitambi;
1. Unasema mambo yake safi?
2. Unamuonea huruma kwa hali hiyo maana flexibility inakuwa...
Smelly Socks Tested In Tanzania As Way To Prevent Malaria
In global public health, disease-fighting tools that are cheap, available and sustainable are the Holy Grail. It might be hard to top...
Leo TBC waketoa habari ya mnajimu mkuu wa kambi ya upinzani akieleza kuwa alishaandika barua ya kutaka maelezo kwa shibuda.
TBC walisema kuwa wameomba maelezo hayo kutokana na maoni ya watu...
Hivi karibuni Idara ya Uhamiaji nchini imetoa viwango mbali mbali vipya kwa huduma zake ambazo zitakuwa zinatozwa kuanzia Jualai 1 (sijui kama wameanza),lakini vinaonekana kupanda kwa zaidi ya...
Hivi jamani hawa tunaowaita waheshimiwa huwa mjengoni wanafuata nini? Kutukanana? Mf Sitta Samwel wapinzani wanafiki, na maneno kibao ya kashfa, hapo hapo wengine wao kwa wao wanakiukana, sasa...
Ni kuhusu jina hili Idd Amin Dadaa. Kama sijakosea hiyo bold. hivi hilo neno dadaa lilitokana na nini? naamini ma great thinkers mtanisaidia kwa hilo..
asanteni sana
Tangu juzi kumekuwa na taarifa mbali mbali kwenye vyombo vya habari kuwa kuna vitoto a.k.a Videnti toka Arusha vinakula gudtyme mjini bongo.....na JF member wakaanzisha topic, well, nilichangia...
Namba za simu za baraza la mawaziri Wana JF pongezi kwa uchangiaji wenu. Kwanza namshukuru Double agent kwa kutuwekea orodha ya namba za simu za baraza mawaziri kivuli(shadoq cabinet)...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida dc mmoja wa rorya bw kitenga amepata mshtuko wa gafla pale alipokuta
gari alizokamata tena kwa kujificha yeye na mapolisi kuzuia wafanyabiashara kupeleka mahindi...
Leo Majira ya saa moja na dakika 45 Asubuhi nikiwa nimepanda daladala pale kituo cha moroco kwenda kawe kwa bahati mbaya sikupata siti mpaka kwa Mwalimu, lakini tangu napanda kulikuwa na...
Ama kweli awa wazee wanazeeka vibaya
mbunge aliechukua nafasi ya karandinga mzee wetu malecela bwa livingstone amedai
barabara nyingi za waliokuwa mawaziri wakuu na marais zina lami na kushangaa...
Tumeona mwezi wa sita mwishoni na mwanzoni mwa mwezi huu wa 7 Tanzania ikitembelewa na Bill Gates ambaye ni tajiri number 2 ? duniani na pia Mukesh Ambani ambaye ni tajiri number 4 duniani.
Wote...
na Bakari Kimwanga
SHEREHE za kuzaliwa upya kwa taifa la Sudan Kusini zilizofanyika juzi mjini Juba, ziliibua hisia mpya katika siasa za Tanzania baada ya Rais Jakaya Kikwete na...
Bajeti ya wizara ya afya,Mbunge wa Tarime,Mhe.nyambari nyangwine ameomba kuwekewa kitengo cha mifupa ktk hospitali ya wilaya ya tarime, kwa sababu watu wa kule wanakatana sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.