Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Thirteen members of an Eritrean football team have asked for political asylum in Tanzania after a regional tournament, officials say. After Red Sea FC lost the Cecafa championship semi-final on...
0 Reactions
0 Replies
854 Views
Kadiri siku zinavyosonga ndivyo jf inavyozidi kuaminika na kuwa king'amuzi kikuu cha vyombo vyote vya habari! Habari yoyote yenye mashiko hapa tz lazima ianzie jf! Hata kama habari ipo tumboni...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Mh Naibu waziri wa Afya Lucy Nkya kalihabarisha bunge kuhusu LOLIONDO jioni hii bungeni kuwa Ufanisi wa Dawa utachukua Muda kuweza kuthibitisha kama inaponyesha ama la' Kwa sasa watafiti wa NIMR...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wapendwa wanaJF, kuna habari kuwa mbio za mwenge wa uhuru kwa mwaka 2011 hazitakuwepo. Naombwa kujuzwa: Je tetesi hizi ni za kweli na kama ni kweli ni kwa sababu zipi za msingi ikiwa WATANZANIA...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Baada ya michuano ya kagame cup kumalizika,imefahamika wachezaji kumi na tatu kutoka timu ya red sea ya Eritrea wamepotelea tz,wakikimbia kurudi kwao kutokana na umaskini pamoja na serikali ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kipindi cha sport kizaazaa kinachorushwa na ITV kinapoteza mwelekeo na maudhui yake. Hii inatokana na wachangiaji pamoja na waendesha kipindi kuacha kujadili michezo kwa ujumla na badala yake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwakalebela leo kafunguka kuhusu kukatika kwa umeme u/taifa ni hujuma zimefanywa na baadhi ya watu. Source: radio one Tukumbuke huyu jamaa amepita sehemu hiyo.... Na ni kwanini ameongea...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Bunge Linaendelea, muda huo wengi tupo katika mihangaiko inayoleta chakula mezani lakini tungependa kufatilia. NANI ANAJUA REDIo wanayotangaza Bunge, frequency ni ipi? Asante!
0 Reactions
5 Replies
3K Views
From Subject Date Size Rumsfeld Plans to invade Iraq are ready, but that spoil-sport Powell disagrees Sept 1 10k Hamid Karazai We need more prostitutes in Kabul, Too many GI's...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Philipa Mturano mbunge wa viti maalumu CDM anachangia bajeti ya wizara ya afya na kulalamikia dawa za kuongeza nguvu za kiume. Anasema wanaume wakitumia hizo dawa inakuwa balaa kwa akina mama...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Wana JF leo Bungeni Bajeti ya Wizara ya Afya bado inajadiliwa, Kinachoniuma kuna ufisadi mkuwa sana unafanyika katika hizi management za Afya za wilaya na mikoa maarufu kama CHMT na RHMT, na pia...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Maalim Seif awataka viongozi kuheshimu utawala wa sheria Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amewataka viongozi na wananchi kwa jumla, kuzingatia utawala...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JEDDAH: Labor Minister Adel Fakeih listed over 20 jobs that women would not be employed in, while highlighting on Monday the need for other departments to assist and promote women’s employment...
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Wana JF pongezi kwa uchangiaji wenu. Kwanza namshukuru Double agent kwa kutuwekea orodha ya namba za simu za baraza mawaziri kivuli(shadoq cabinet) tunaomba mtusaidie tuwekeeni pia namba za baraza...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
MAJIBU YA MAWAZIRI WA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TNZANIA DHIDI YA KERO ZA WANANCHI Swali alilouliza mbunge ni kweli lipo na serikali ina taarifa nalo Suala hili ni nyeti na hasa kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau ni aje? jamani kwa wlio soma kwa mikopo mmeshuudia makato ya mwezi uliopita mbona yamepanda ghafla mpaka kufikia sh 150,000/= toka sh 13,000/= naomba ufafanuzi kwa mwenye taarifa sahihi.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nijuzeni jamani ni sawa / halali spika au mwenyekiti kutoa " maksi" kwa mtoa swali au mtoa jibu katika mijadala ya bungeni. Mfano hasante kwa swali zuri sana au sawasawa hasante kwa jibu zuri au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tangu ile dk ya 112 pale yule kijana anaeitwa Asaliwamoyo alipotufunga bao la ndondokela hali yangu kiafya ilitetereka kiasi cha kuhatarisha maisha yangu! Kweli nimeamini soka la bongo nuksi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
makamu wa kwanza wa Rais wa zanzibar na katibu mkuu wa cuf amesema ni ndoto ya mchana kama ipo siku atarudisha kadi ya cuf na kuchukua ya ccm, "anasema siku makamba alimwambia anaona aje...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Chama Cha Democracia na maendeleo huenda kisifike ktk hali nzuri ya kisiasa mwaka 2015,hii inatokana na hali halis ya mgogoro uli ofichika k wa muda kati ya Zitto na Mbowe sasa umeanza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom